Loise Wangui

8.2K posts

Loise Wangui banner
Loise Wangui

Loise Wangui

@Loise_Wangui

Christ is my favourite; Family first ! Loving thy neighbour as i love mysef.

nairobi,kenya Katılım Mart 2011
1.3K Takip Edilen8.8K Takipçiler
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Je, unakubaliana kiasi gani na Rais Ruto kwamba baadhi ya wabunge ni wafisadi? Jiunge na @Loise_Wangui #NTVMashinani
NTV Kenya tweet media
Indonesia
5
2
9
4.3K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Je, kina mama hujitolea kiasi gani ili kulea watoto wao katika kaunti yenu? Jiunge na @loise_wangui #NTVMashinani
NTV Kenya tweet media
Indonesia
0
1
3
3.4K
Loise Wangui retweetledi
Loise Wangui retweetledi
Calleb Wasike
Calleb Wasike@wasike75318·
@ntvkenya @Loise_Wangui Wangu hakuna,mp , governor, senator mca , northing have done surely in my bungoma county it's only to fight natembeya ,ndo job kubwa ,iven speaker has done nothing kabisaaa wote wntam
English
0
1
1
162
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Wakazi Wafurushwa Kwao Kakamega: Wakazi ambao wamekuwa wakilipa na kuishi kwa nyumba zinazomilikiwa na serikali kwa miaka wamefurushwa kwenye nyumba hizo. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Filipino
1
4
9
5.2K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Vijiji Vyapata Lami Kabete: Raha kwa wakazi wa vijiji vya Kibiku, Gathiga na Njathaini baada ya serikali kuu kukamilisha ujenzi wa barabara ya lami inayounganisha maeneo hayo. Mradi huo umetajwa kuwa wa kihistoria. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
0
2
8
4.5K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Barabara Mbovu Kipsitet: Wakazi wa Soin-Sigowet wameelezea hasira zao dhidi ya mbunge wao Justice Kemei kwa kushindwa kukarabati barabara licha ya kuahidi kufanya hivyo wakati wa kampeni. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
0
2
3
4.2K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Chemichemi Ya Yala Yazozaniwa: Wakazi wa maeneo yanayopakana na chemi chemi ya Yala wamesisitiza kuwa wataendelea kukaa na mwekezaji katika chemichemi hiyo ikiwa tu ardhi hiyo itasajiliwa kama ardhi ya jamii. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
0
1
5
4.8K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Kisima Cha Matumaini Molo: Afueni kubwa kwa wakazi wa Tayari baada ya kisima ambacho kimekuwa kikiwasaidia zaidi ya watu 3,000 kufanyiwa ukarabati. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
0
1
4
5.3K
Loise Wangui retweetledi
James Smart
James Smart@jamessmat·
EXCLUSIVE: Rogue police officers. Government enabling goonism and gaslighting Gen-Zs. No justice for victims of police excesses; this is the rule of LOW. @jageyo hosts former Chief Justice David Maraga TONIGHT, LIVE on @ntvkenya at 9pm. The Law Under Siege: #MaragasVerdict
English
5
156
296
18.2K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Swali: Mahakama iliharamisha mzazi mmoja kumpa mtoto jina. Je, jamii yako inasemaje kuhusu hilo?#NTVMashinani @loise_wangui
NTV Kenya tweet media
Indonesia
0
1
2
3.9K
Brygettes Ngana
Brygettes Ngana@NBrygettes·
Guys! We won the Journalist of the Year Award at the 2025 Annual Journalism Excellence Awards! Grateful to everyone who allowed us to share their stories. Thankful to the entire management and the editorial team @NationMediaGrp . To more impact-led journalism 🙏🏾🙌🏾
Brygettes Ngana tweet mediaBrygettes Ngana tweet mediaBrygettes Ngana tweet mediaBrygettes Ngana tweet media
English
40
40
208
5.7K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Kifo Cha Mwanafunzi Ziwani: Mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Meru aliyeuawa alipokuwa akivua samaki Homabay wapatikana ziwa Victoria. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Suomi
0
2
5
3.5K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Hali ya wasiwasi imezidi kutanda sehemu ya Todonyang Turkana Kaskazini huku wakazi wakizidi kuiomba serikali kuimarisha usalama baharini ili warejelee kazi zao za uvuvi. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
2
4
10
4.3K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Vijana na wasomi katika kaunti ya Bungoma wamebuni vuguvugu litakalohakikisha kuwa viongozi wanawajibikia majukumu waliyopewa na wananchi Huku lalama zikiendelea kutolewa na wakazi kuhusu utendakazi duni wa viongozi. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
0
2
6
3.6K
Loise Wangui retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Hata baada ya runinga ya NTV kuangazia hali mbaya ya Barabara ya Cereals inayounganisha maeneo ya Nyagacho na Mjini, serikali ya kaunti ya Kericho bado haijachukua hatua yoyote ya kuondoa mchanga uliomwagwa barabarani. #NTVMashinani @Loise_Wangui
Indonesia
1
21
93
24.2K