Master of whispers 🤗 retweetledi
Master of whispers 🤗
6.3K posts

Master of whispers 🤗
@LordVarrys
| SouthPaw| Left-handed | Libertad o nada. | |Patria o muerte.| MtAnGaNyIKa🚩 |#TeamSimba | #TeamManU
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2013
2.6K Takip Edilen1.5K Takipçiler
Master of whispers 🤗 retweetledi

@lifeofmshaba Sasa wameweza kuhesabu kura 33+m ndani ya siku 2 bila internet,unadhani hii ni kubwa mno?
Indonesia

KESHO Kutwa Chande anakuja kusema
-- Walihojiano ya Ana kwa Ana watu 1,323, na wakaweza chukua viapo Mashahidi watu 553, .... Hakuna ushahidi wowote kwenye hawa 1,323 waliokutana nao ana kwa ana kwamba walichukua viapo vyao, kama ni viapo lazima ni kwa hawa Ana kwa ana, uzuri mikutano yote ilikuwa na watu wanai record, hakuna sehemu yoyote Chande alionekana kuchukua viapo au kuwepo wakili anayeshukua viapo mwenye sifa za kufanya hivyo,
-- Kitu ni kwamba hapo juu wamechukua viapo kisha wakatengeneza ushahidi mwingine wa wasiojulikana yaani kina Mafwele na maCCM hawa ni wale watasema ni watu bila kutaja jina lake ni 4, 891 .... Hawa watu tuambiwe walisema nini, data ya hawa watu yote inafanana wametupia lawama kwa CHADEMA, waandamanaji na wanaharakati, wote hawa wamempongeza Samia kwa kuunda tume na wamelaani vurugu za uchaguzi
-- Kivutu ni pale Chande anasema alifanya mikutano na makundi 202 na na bado akawa na muda wa kupiga simu na kutuma ujumbe mfupi kwa watu 56,445. ... Chande hizi namba ulitoa wapi? hiyo tume ilikuwa na watu wangapi kupiga simu na kusoma sms ? nani alikuwa anaamua huyu tuna mpigia simu na vigezo ni nini? namba za waliopigiwa zilitoka wapi ? kuna utaratibu gani ambao ulisha tangazwa kwamba tume ilipata mamlaka kupata namba za watu na aina gani ya watu walitafutwa ? Je Tume ilikuwa na mamlaka ya kufanya sampling inaongea na nani , nani inatuma message , walikuwa wanapata vipi muda wa kupiga simu kama walikuwa na vikao vingi hivi?
Au walimpa nani jukumu la kusoma hizo message na kupiga simu? hizo simu zilisikilizwa na wajumbe wote wa Tume ? walijua nini kilizunguzwa ?
Mnatuona ndondocha
Hakuna Tume ambayo uwa inafanya mambo yaliyo juu ya uwezo wake, njia pekee ambayo hii Tume ingeweza tumia na kuchambua data ni ya mahojiano tu, hizo story za simu na message ni za LUMUMBA

Indonesia

@Rottadomsi Vijana mnafanya matangazo kwa ubunifu sana
Indonesia

@HecheJohn Alafu mnawashauri waweke viwanda vya magari,wakati wanaweza wakakusanya hela ya gari bila hata kuwa na kiwanda cha magari.
हिन्दी

Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi…
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi…
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.

Indonesia

@Twaha_Mwaipaya Wanasema eti huyu wa pembeni ni jasusi mwitu wa kigamboni😂😂😂
Indonesia

“Najua watu wengi nchini Kenya wanaendelea kuuliza kwanini wakati mwingine bei ya mafuta nchini Kenya inatofautiana na ile ya majirani zetu. Kenya ni nchi ya kipato cha kati. Majirani zetu ni nchi zilizo kwenye kundi la nchi zilizoendelea kwa kiwango cha chini. Kuna tofauti kubwa. Kama unataka kulinganisha Kenya kwa haki na nchi nyingine, linganisha Kenya na nchi nyingine za kipato cha kati." - William Ruto, Rais wa Kenya

Indonesia

@safarimlevi Ile ya kutoa mamba kwenye ziwa hivi imetekelezwa😂😂😂
HT

@BlackSingapore2 Karne ya 20 hii,jamii inahimizwa kujenga choo na kutumia,kunawa mikono,watu mnavaa pini kulinda nyeti alafu mnaita japan wenzenu??
Indonesia
Master of whispers 🤗 retweetledi

@Engkabora wanakuita hiv kama kuku, wanaamini kwa siku na muda huo huna ratiba nyingine?
Indonesia

@kavishePb Ukifuatilia, wengi wanaovaa majuba sio kwa ajili ya kujisitiri, wengi ni kuficha nywele zao ndefu hawataki kunyoa.
Indonesia

@Therealngassa Sio kama ni mazuzu,wengi wao wana thinking capacity ndogo mno(wengine hawana kabisaaa), wameletewa nyeti kupotea wameruka nayo, wameletewa upuuzi mwingine wameruka nao, yaan hakuna mtu anaezungumzia kupanda kwa gharama za maisha, report ya cag au uteuzi wa kiziga 🚮🚮
Indonesia
Master of whispers 🤗 retweetledi

@WaridaYahaya @ChademaTZ2 @HecheJohn Kama huna hela ya kuchangia tuliza qundu lako, sisi tutachanga.
Indonesia

@ChademaTZ2 @HecheJohn Vitu vimepanda Bei ,Chadema nao wanataka tuwape Hela, mbona hamna huruma na wananchi
Indonesia

"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn
Indonesia

@mangekimambi Wacha kwanza lissu atoke, wakileta usenge kitawakuta kilichomkuta zuberi kabwe,hatuchek na kima ata awe nani
Indonesia

Ahsante sana kwa kuandika hili maana hata mimi nimeona kama Chadema wameanza kuingia mtego wa maridhiano na hawa wauwaji ili Lissu atoke ndani.
Yani Chadema kama vile wameanza kuwa normalize CCM na uuaji wao kwa kuwapa matuamaini ya kufanya nao maridhiano.
It’s seems now Chadema wanataka Lissu atoke ndani kwa cost yoyote ile hata kufanya maridhiano na wauwaji, which is unacceptable kwa Watanzania, itakuwa ni betrayal kubwa kwa Watanzania zaidi ya ile ya Lowassa.
CCM kwa mara nyingine wanacheza mchezo wa ku buy time mpaka 2030 na Chadema almost kama wanataka ku play along for the sake of Lissu’s freedom.
So itakuwa kwamba Vifo vya Watanzania vya October 29 haki iliyopatikana ni Lissu kutoka ndani na Chadema kuruhusiwa kufanya siasa?????? Kweli????
Hapana aiseee Chadema needs to stand their ground na sio kufanya maridhiano na Samia Suluhu, watatuumiza mnoo.
Hata hiyo Chadema kushinda kesi kama alivyosema Kihongozi juzi kuwa CCM ndio imefanya washinde kesi, ni kweli. Kimama ndio kaamua waachiwe wafanye siasi ili wamsafishe kwa kukaa nae mezani. Wakikaa nae mezani tu basi wamem legitimize kama Rais wa Tanzania.
CHADEMA WAKIKAA MEZANI NA SAMIA MAANA YAKE NI WANAMTAMBUA KAMA RAIS WA TANZANIA!! NA WANAUTAMBUA UCHAGUZI WA 2025z HAKUNA KUPEPESA MACHO KWENYE HILI!!!!!!!!!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki
1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa 2. TAL atatoka soon!! 3. Then watakaa mezani 4. Tume ya J.Chande itakabidhi report. 5. Report itakuwa iko balanced, Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali) 6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!! Lengo kuu ni 👇🏻 Let’s buy time till 2030!! Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!! Sasa unajua mchawi ni nani? Mchawi ni ile namba 3 pale juu 👆 Pale kwenye kukaa mezani pale ndio panaenda either kusupport au kuvuruga hii plan!!
Indonesia




















