
LORD ABWOGA
6.4K posts

LORD ABWOGA
@LoyrdA
More FAITH,Less FEAR. Tournament Director Junior World Rugby Trophy 2023🇰🇪. Deputy Chief Safety officer WRC Safari Rally 🇰🇪


















Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu mwingi wa rehema kwa siku hii kubwa na muhimu kwangu, kwa Watanzania na kwa Taifa letu, ambapo nimeapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ahsante kwa Watanzania wote kwa imani kubwa kwangu na kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ridhaa ya kuendelea na kazi ya kulitumikia Taifa letu. Uchaguzi umekamilika na sasa tunarejea kwenye kazi ya kuijenga nchi yetu. Kama ambavyo sote tunafahamu, nguzo muhimu ya mafanikio ya Taifa letu ni amani. Tutaendelea kuweka mkazo katika kudumisha nguzo hii muhimu, na kamwe hatutokuwa na muhali na yeyote atakayejaribu kuivunja, kwani huyo atakuwa si mwenzetu na huo si Utanzania. Mungu atubariki sote. Mungu Ibariki Tanzania.

















