Lucк

16.5K posts

Lucк banner
Lucк

Lucк

@Luckiest255

Luкє 1:47 // β|£$$3d αnd G®αt£fu| // Tęâc#£ŕ

Singida, Tanzania Katılım Ağustos 2015
2.1K Takip Edilen1.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Lucк
Lucк@Luckiest255·
Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Indonesia
1
3
15
0
Lucк
Lucк@Luckiest255·
@bajabiri Dhambi kubwa sana hii haitasameheka mbele za Mungu.
Eesti
0
0
0
22
The SPECIAL ONE ™️
Nitoe pole kwa familia ya Mwalimu huyu aliyeuawa kwa ujinga na uhuni wa watu huko S/wanga. Alitoka Songwe kwenda Sumbawanga kuuza sabuni za maji, mteja aliposhindwa bei akamuitia "mpoteza nyeti" wajinga wakaja wakampiga na kumuua mtu aliyekuwa anapambania Ugali na familia yake
The SPECIAL ONE ™️ tweet media
Indonesia
13
9
122
9.4K
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Mahuni ya CCM yakiamua kukuharibia hayabahatishi ni either yakuweke wewe karibu au Mke wako kisha yabutuweee... 😂🚮
Aruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet media
Indonesia
19
22
275
41.5K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Tuwachanganye wakishua, kwenu mnaitaje hii kitu hapa..👇🏾
kasesco☆ tweet media
Indonesia
38
31
93
2.6K
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Leo hi Ndoa imetengana baada ya majibu ya DNA kutoka mtoto sio wa Nikki nimeumia sana kwa kweli.
Joyce Evaristi tweet media
Indonesia
171
85
1.9K
157.4K
Lucк
Lucк@Luckiest255·
@Elsukay0 Kwenye wimbo wa NICOME ile video alipata sifuri kwenye show
HT
0
0
0
194
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Jamaa katupa somo kubwa sana la kuwa kila mtu anagongewa
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Filipino
47
34
631
31.3K
Lucк
Lucк@Luckiest255·
@zoetjesheeftX Visingizio haviishagi panapo mafanikio ya mtu
Indonesia
0
0
2
167
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Mashabiki wanasema kwasasa Alikiba hana uwezo wa kushindana na Diamond Platnumz anatembelea upepo wa Bien kutoka Kenya, wanasema kama anajiamini aachie wimbo wake asitembelee upepo wa Bien. Je, wewe unadhani Alikiba amepoteza uwezo wa kushindana na Diamond kimuziki?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
11
1
114
7.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, leo Jijini Dodoma ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa na baadhi ya Watu kuhusu madai ya kupotea kwa sehemu za siri za Wanaume pindi wanaposhikwa mabega ambapo amesisitiza kuwa matukio hayo sio ya kweli na ni uzushi unaolenga kuleta taharuki. DCP Misime ameeleza kuwa uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kuwa baadhi ya Watu waliodai kupoteza sehemu zao za siri wamekutwa na sehemu hizo baada ya kukaguliwa hivyo Wananchi wanapaswa kupuuza taarifa hizo zisizo na ukweli. Aidha, amewataka Wananchi kuacha kuamini imani za kishirikina ambazo zimekuwa chanzo cha hofu na taharuki hiyo na kuonya kuwa imani hizo zimesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo vya baadhi ya Watu waliouawa na Wananchi wenye hasira kali wakihusishwa na tuhuma hizo zisizo na msingi. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
36
13
350
29.8K
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
Hapa ni tukuyu kiwira msenge huyu ndo wale waiba nyeti katembea na mazaga ya mtu hapa yupo anapatiwa wastani kwa idadi Ambao hamuamini sawa subiri likutokee 💔🙌🏾
MAESTRO 🎭 tweet media
Indonesia
102
65
685
63.4K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Eti ghetto kwako umeweka sheria gani kwa wageni na washkaji zako..?
21
28
185
7.8K
Lucк
Lucк@Luckiest255·
Sikuhizi watu wanaweka imani zao kwa viongozi wa dini kuliko Mungu mwenyewe SO SAD 🤐
Indonesia
0
0
1
18
Lucк
Lucк@Luckiest255·
@joeselasini Sidhani kama ni MAAGIZO bali kaeleza ukweli uliopo.
Filipino
1
0
0
87
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Huo ndio msimamo na maagizo ya mfariji mkuu. Pandisheni kila kitu kwa kuwa mafuta yanapanda bei. "Kazi iendelee."
Filipino
20
12
82
6.2K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kiufupi sana hili lilikuwa KUSANYIKO la wanaume WASENGE.
SATIVA tweet media
Filipino
172
165
1.6K
49.2K
🎼Xpecial onex🎶
🎼Xpecial onex🎶@Xpecial_onex·
Huyu ni Msanii Gani??, Kuna Watu Watasema Nandy eti😆😆😆
🎼Xpecial onex🎶 tweet media
Indonesia
16
14
47
3K