
FUTURE ME
5.2K posts


@gabyconscious na wana Elimu mbalimbali katika vyeti vyao. diploma wood work in house structure, degree political science chuo oxford in washngton, masters engineering,agriculture, vyuo vyao sass😀😀😀
Čeština

@MarekaMalili kachelewa sana kuanza huyu alitakiwa aanze 10yrs ago.pombe walidhani sifa
Filipino
FUTURE ME retweetledi
FUTURE ME retweetledi

@MALLY2809 Amgefariki kwa kuka kuku/mbuzi/ng'ombe aliyepigwa arisasi ingekuaje?
Indonesia

@gabyconscious umaarufu unafaida sana vijijini huko usione watu wanajitoa akili wafahamike then warudi vijijini mwao wakawadanganye wananchi
Indonesia

@Paul_Sweezy1 @EsirEid si ni kazi tu kama kama kazi nyingine. Je anawachoma wana X humu kwa kazi yake?anasapoti mambo ya hovyo? vijana pambaneni acheni roho za kimasikini mkizeeka mtakuwa wachawi.
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Daah!
Nmekuja kugundua humu ndani kuna Polisi wengi kishenzi😂. Alafu wapo kimya kimya handle za followers chini ya mia tano…
Nmefika Central… shughuli zimesimama Kama dakika 10 hivi…
“Tajiri la Kihaya… nakufuatilia saana pale X…”
“Kiboko ya wasimbe upo…”
“Mtetezi wa Iran…”
“ Tajiri Leo umefika… Lazima Tuokote”
“Tajiri la kihaya Ni Mmoja tu”
“Na hii ndio maana Halisi ya Tajiri la kihaya…”
Yaani imekua vurugu mechi kuanzia Reception Hadi 3rd floor😅
Mapoti tuliokutana Leo mni Dm basi nipate handle zenu😅😂
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid
#TajiriLaKihaya Nani Yupo haya Maeneo ya Central Police… Tuone Tunafanyeje???
Filipino
FUTURE ME retweetledi

Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao, rasilimali zao na mshikamano katika kumtetea Mwenyekiti Lissu. Mmeonyesha kuwa mu marafiki wa kweli katika vita dhidi ya Mamumiani na mafisadi wa demokrasia ya kweli katika nchi yetu.
Katika harakati tunazoendesha tofauti lazima zijitokeze na hata kutiliana mashaka. Msikatishwe tamaa hata mara moja tusonge mbele kwa pamoja. Kama mjuavyo sasa tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Mwenyekiti Tundu Lissu. Taarifa hizo zitatolewa na uongozi mkuu wa chama, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa Sheria baada kushauriana na Mwanasheria Mkuu.
Jopo la Mawakili wa Mwenyekiti Tundu Lissu ni hawa wafuatao:
Orodha ya mawakili:
1. Mpale Kaba Mpoki
2. Dr Rugemeleza Nshala
3. Peter kibatala
4. Jeremiah Mtobesya
5 Hekima Mwasipu
6.Gaston Garubindi
7. Jebra Kambole
8. Deogratius Mahinyila
9. Paul Kisabo
10.Sisty Aloyce
11. Nashon Nkungu
12.Catherine Michael
13. Ikoti Lissu
14. Emanuel Chengula
15. Gloria Ulomy
16. Deus Singa
17. william Maduhu
18. Fredinand Makore
19.Jacob Mogend
20. Dorice Kafuku
21. Michael Mwangasa
22. Pastory Kong’oke
23. Matojo Cosata
24. Mzee Alute Mughwai Lissu.
25.Dickson Matata
26. Edward Heche
27.Maria Mushi
27. Selemani Mohamed Matauka
28.Michael Lugina
29. Melchiory Sanga
30. Edson Kilatu.
Naomba tuwatie moyo Mawakili hawa wote na tusonge mbele kwa pamoja na kwa moyo mmoja (tiyende pamodzi, ndi mtima umodzi) kama Mzee Kenneth Kaunda alivyotufundisha.
Aluta continua Vitoria e certa!
Indonesia
FUTURE ME retweetledi

@TMnyama4_ wote wanapiga pesa,inategemea na hospitali uliyopo. hupo hospital ya rufaa utapigaje hela?mshahara 2m haufiki
Indonesia
FUTURE ME retweetledi

Kidole cha kati kinanipa kila sababu ya Kupiga Deki bila wasiwasi ..,Upo wapi kwani Aggy Jamani nataka viatu.😊😊
Muuza viatu🌹@Agnesskanje
❤️
Filipino

@Ninja_Damour katika rappers wakali wa Tamaduni kwangu Nikki hayupo. ni ONE, Chunda bad, songa. Nikki alijua yeye ni mkali ame relax sana amekuwa fala fala tu amebaki kujisifia ye mkali.ukali wake haonekani.growing up nimewasikiliza tanaduni/lunduno ila nikki hamna kitu.beat mbovu
Indonesia

Wanao wakipewaga show za viwanjani hali ndio inakuaga kama hii 😃😃 Mkiona Mkato ananyanyua hao hua mnadhani analoga sio.
PABLO@PabloYende
@KINGLUDA18 hamtaki maoni ya Wadau 🤠🤠 maana kila show aliekalisha mkato ni ya clouds au kill music
Indonesia

@Mangiurio12 @chapo255 kitu kinawaangusha ni beat. kuna mchungaji mmoja alitufundisha kuhusu WAKATI. ukielewa kuhusu wakati na ukazingatia maisha sio magumu kivile
Indonesia

@chapo255 wanakosa Chorus na beat, wanapenda beat za kizamani mtu anachagua beat ngum, wakubali mziki umebadilika.
Indonesia
FUTURE ME retweetledi

Welcome to my new venture — BASEPRO ENGINEERING LIMITED.
We provide:
Civil & building construction | Industrial real estate solutions | Industrial development & planning
Motto: Your Industrial Vision, Engineered into Reality.
Connect with us:
info@baseprotz.com
baseprotz.com

English
FUTURE ME retweetledi

"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn
Indonesia

@FredrickMulla muziki ni kama katuni za kipanya kila mtu ana tafsiri yake. ila mstari mkali kabisa kauelezea kisanii
Indonesia


@JitulaMtumba12 @MTENGENEZSAFINA 😀😀😀😀😀 kwa hiyo wakina messi waliokuwa inspired na wachezaji wengine sio ma GOAT??.mtu anaku inspire unajishape na unaweza ukawa bora zaidi yake
Indonesia

@MTENGENEZSAFINA Dizasta ana mzidi vipi Nikki mbish! Wakati wakina Niki mbishi ndo waliowainspire wakina Dizasta! Acha kuleta mahaba yako kwenye Harakati
Filipino

Kuna kamdomo akipata tu interview utasikia on top on top anaenda kwenye ufalme wake
Ana Quantity pipa na quality kisoda
Dizasta yupo top zaidi yake na hakuna clip za interview za kubwabwaja kusema yupo top
Rspect wakubwa,Hapo anamsema baba ake wa mziki utapata mikosi tu.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
DIZASTA VINA ndo Emcee pekee huezi kumsikia anasema kwa interview sijui nna goma kali, sijui mashabiki wanifollow, sijui kasubscribe wapi Na bado maguru hawajamsainisha lebo Mashabiki ndo wanafanya hiyo kazi. Put some respect on his name #VINA😎🫡
Filipino















