Kwenye mechi 4 zilizobaki kwa Arsenal mechi ngumu kuliko zote ni Vs West Ham, playing against a relegation battling club nyakati kama hizi ni very tricky. Uzuri ni kuwa West Ham hawawezi kucheza low block kwa sababu they need a win at all costs ambayo ni advantage kwa Arsenal.
Kwanini hii haikuwa penati maana janja kacheza mpira ukaenda off target halafu kipa akamgonga na kiatu usoni ndani ya 18.
Au sheria zipoje kwenye situation kama hii.