MiriamMkanza_phd

8.8K posts

MiriamMkanza_phd banner
MiriamMkanza_phd

MiriamMkanza_phd

@MMioneer

Put'God'First | VisionedLady FoodScientist | LabScientist Leader | PublicSpeaker Activist | Analyst #Mioneer 🇹🇿Ayubu 42:2

Katılım Aralık 2022
430 Takip Edilen101 Takipçiler
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Warumi 8:28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
MiriamMkanza_phd tweet media
Indonesia
0
0
0
2
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Kwa marafiki zangu ambao tulikuwa tunapiga story za soka, mliokuwa mnanitumia links, tuliokuwa tunaenda uwanjani pamoja na tuliokuwa tunataniana mambo ya SOKA, those were truly some of the best moments. Ahsante sana na kila la heri kwenu. MM✍️
MiriamMkanza_phd tweet media
Filipino
0
0
0
4
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Nimekuwa shabiki wa Simba SC, Chelsea na Barcelona. Situation za ushabiki zimenifundisha mengi ambayo mengine ni applicable in real life, Soka limenipatia wadau, SOKA imekuwa burudani bora sana kwangu.
MiriamMkanza_phd tweet media
Indonesia
1
0
0
22
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Baada ya miaka miaka 16 ya Ushabiki na Mapenzi ya Mpira wa Miguu yaani SOKA. A good dancer knows when to leave the stage. Mimi Miriam Mkanza (Mioneer) bila kulazimishwa wala kushawishiwa na yoyote leo natangaza Rasmi kustaafu kushabikia SOKA
MiriamMkanza_phd tweet media
Filipino
1
0
0
11
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Nilipitia wakati mgumu zaidi peke yangu huku kila mtu akiamini nilikuwa sawa. Nikaja kugundua kwamba adui mkubwa wa maisha yetu ni Overthinking na Depression yani kuwaza kupita kiasi. Kama na wewe ni mtu wa kuwaza sana fungua huu uzi nimekuwekea tiba yake ya kisaikolojia. 🧵
Indonesia
14
31
175
10K
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Historic 🙌 Kutoka kuwa Kiungo wa Football kipindi akiwa mchezaji hadi kuwa Kocha Mkuu tena katika timu ya Wanaume Ligi kuu bora duniani. *Marie-Louise Eta*, miaka 34 tu leo ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya Union Berlin kutoka Ligi kuu ya Ujerumani. Mwanamke wa kwanza.
MiriamMkanza_phd tweet media
Indonesia
0
0
1
12
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
He is Risen “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.” Yohana 3:16
MiriamMkanza_phd tweet media
Indonesia
0
0
0
12
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Happy Easter from My Family to You.
MiriamMkanza_phd tweet media
English
0
0
0
5
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Mapito yanaweza kukuchafua ila Thamani yako ikabaki vilevile.
MiriamMkanza_phd tweet media
हिन्दी
0
0
0
3
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Hivi mtu akiwa na elfu tano anaweza kwenda wapi kujivinjari bila show off and everything?!
Indonesia
11
1
29
2K
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
After 7 years of trusting you, today I say goodbye for security reasons. You were more than an app, a silent protector keeping my phone safe through alerts, motion detection, and more. Thank you for the protection and peace of mind. Goodbye, and thank you for everything.
MiriamMkanza_phd tweet media
English
0
0
1
8
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
Ayubu 14:1-2 ● Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe. Mistari hii inasisitiza ufupi na udhaifu wa maisha ya mwanadamu duniani #Farewell #RIP Dkt Mwambe.
MiriamMkanza_phd tweet media
Indonesia
0
0
0
15
MiriamMkanza_phd
MiriamMkanza_phd@MMioneer·
EID MUBARAK to you and your Family.
MiriamMkanza_phd tweet media
English
0
0
0
11