Kwa Wivu Mkubwa

4.1K posts

Kwa Wivu Mkubwa banner
Kwa Wivu Mkubwa

Kwa Wivu Mkubwa

@MPictuss

Jisomee vitabu vya kiswahili

Tanzania Katılım Nisan 2021
4.5K Takip Edilen2.3K Takipçiler
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
@Jymesjohnes @BarakaMaviatu Sahihi, ila hiyo ya miaka 70(Tz 50) ni kwa kazi za mtu binafsi kama michoro, uandishi nk. Familia inafaidika miaka 50 baada ya kufa kwa mmiliki. Kwa Tz movies zote zinaexpire miaka 50 baada ya kutengenezwa.
Indonesia
1
0
1
33
James (Baba Kaylor)
James (Baba Kaylor)@Jymesjohnes·
@MPictuss @BarakaMaviatu Niliona sehemu kama sikuona vibaya ni 70yrs, key actor akifa familia inakuwa na umiliki wa kazi zake kwa miaka hiyo, lakini wanaweza kure-new ownership. (Kama sikunukuu vibaya)
Filipino
1
0
2
35
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Hati miliki ya katuni kama Madenge, Baba ubaya, Sugu, Pimbi au Kipepe. Ukihitaji kuwanunua unaumuona nani? Spiderman kama Character ana thamani ya $28 billion. Kuna hela imezubaa kwa atakaewahi kuwanunua hawa vikatuni. Kwenye hii biashara mtu anaeonekana kusanuka ni Kipanya.
Filipino
29
27
449
20.1K
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
@BarakaMaviatu Copyright huwa ni automatic. Ukishaandaa kazi unakuwa na hakimiliki yake duniani kote. Huhitaji hata kusajili. Labda mtu aje na ushahidi kuwa uliiga.
Filipino
1
0
3
339
Kenyans.co.ke
Kenyans.co.ke@Kenyans·
Sabastian Sawe gifts President Ruto the exact shoes he broke the World Marathon Record with
Kenyans.co.ke tweet media
English
185
218
2.7K
301.4K
Living Tricks
Living Tricks@LivingTricks_·
What would you do in this situation? 🤔👇
Living Tricks tweet media
English
1.4K
141
1.8K
1.3M
Big
Big@Zephania_Ndaki·
2015 Mimi Na Rafiki Zangu Tulikuwa Tunatoka Kukata Mkaa Ghafla Tukawakuta Mbwa Porini Wadogo Wamenyeshewa Mvua Tukawa Tumewabebea Ikabidi Wenzangu Wanipe Mimi Nikawafuge Nilivyo Fika Masikani, Nikawaweka Kwenye Banda Nikaanza Kuwapa Msosi Ila Kadri Ya Mda Unavyo Kwenda
Indonesia
93
35
499
49.8K
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
Josiah Kariuki anasimuliwa miaka saba ya maisha yake akiwa kama mfungwa wa kisiasa wakati wa machafuko ya Mau Mau. Kisome hiki kitabu ndani ya app ya Maktaba Sauti. Link ya playstore👇🏿 play.google.com/store/apps/det…
Kwa Wivu Mkubwa tweet media
Indonesia
0
0
1
31
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kuna video nimeangalia TikTok jamaa anaelezea kwanini misaada haileti mabadiliko Afrika. Akatolea mfano misaada ya nguo za mtumba anasema ndio sababu nchi nyingi za Afrika hazina viwanda maana viwanda vya ndani haviwezi kushindana na bei ya nguo za mtumba so viwanda vina kufa👇
Indonesia
10
10
182
13.6K
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
@SwahiliRealTalk Bila kutaifishiwa mali huyu ndiyo angekuwa Bakhresa. Alikuwa na kampuni kubwa ya nafaka. Ikataifishwa. Baada ya kwenda hovyo Nyerere akamwita aiendeshe tena.
Filipino
0
0
6
1.1K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Mwaka 2017 aliyekuwa mfanyabiahsra maarufu wa Tanzania na kiongozi wa ‘Freemason’ Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji “Andy” Chande amefariki dunia huko Nairobi nchini Kenya. Jayantilal Keshavji “Andy” Chande alizaliwa May 7, 1928 Mombasa Kenya, na wakati wa utoto wake aliishi Bukene mkoani Tabora ambako ndiko alikopata elimu yake ya msingi. Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya St. Peter’s School iliyoko Panchgani, walaya ya Satara, Jimbo la Maharashtra nchini India. Baada ya kufanya vizuri katika mitihani yake ndipo alipopata jina jipya la ‘Andy’ ambalo ndilo alikuwa akilitumia mpaka mauti yalipomkuta. Baada ya kumaliza masomo yake, alirudi nchini Tanzania na kuendelea kumsaidia baba yake katika shughuli za kibiashara. Mnamo mwaka 1967 wakati azimio la Arusha lilipopitisha sera ya utaifishaji, mali nyingi zilitaifishwa na kuwa za serikali. Ujuzi aliokuwa nao Andy ulimfanya Mwl. Nyerere amteue kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Taifa la kuhifadhi nafaka (National Milling Corporation) Mpaka kufikia mwaka 2015 alikwa na utajiri wa dola za kimarekani milioni 892 sawa na TZS trilioni 1.9. Wakati wa uhai wake amewahi kupokea tuzo mbalimbali ikiwemo ya (Knight Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) KBE mwaka 2003 ambayo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kupewa raia wa Tanzania. FOLLOW ME @SwahiliRealTalk kwa historia nyingi zaidi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
15
26
138
27.5K
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
Kuna wimbo wa kibongo ambao title ya wimbo haitajwi wakati wa kuimba?
Filipino
0
0
1
68
39K🇰🇪
39K🇰🇪@washa_kingwelo·
mbona watu wengi wakona h. pylori
Indonesia
58
94
465
24.7K
Benjamin Fernandes 🇹🇿
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes·
Tanzanias very own Sabastian Sawe breaks two-hour barrier and world record. Hongera Sana kaka, we are proud of you! 😀
English
224
179
2.5K
356.8K
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
@Adventure_36 Yoyote anaweza kuwa na kosa hapo. Upande waliogongana hauwezi kuleta jibu kamili. . Ukiacha hayo, mabasi yamekuwa hatari barabarani kama malori tu.
Indonesia
1
1
2
24
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
@Adventure_36 Mabasi ya masafa marefu nayo ni moja ya vyombo hatarishi vinavyosababisha ajali nyingi sana.
Indonesia
1
0
1
1.5K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Hii ajali imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Same apo ikihusisha basi la Kampuni ya Tahmeed na Land Cruiser hiyo, Poleni sana. Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.
Adventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet media
Indonesia
38
25
244
24.7K
Sam Cargos
Sam Cargos@samcargosltd·
@TheNarraback @Iithosphere Am not talking about the individual but rather the protection that there animals are offered when they are alive. Where are the guards to make sure they are not killed? Its pointless standing in front of murdered animals looking mean.
English
2
0
0
176
📎
📎@Iithosphere·
A Kenyan anti-poaching ranger stands guard over confiscated ivory
📎 tweet media
English
144
3.5K
34.8K
857.3K
Jerry Msechu
Jerry Msechu@Pie44LH·
Ila Tanzania tuna machaguo machache sana ya Common foods. So vyakula vinavyopatikana kwenye maeneo ya kawaida ni ugali, wali na chipsi tu? 💔 😂
Filipino
38
40
531
23.5K
Kwa Wivu Mkubwa
Kwa Wivu Mkubwa@MPictuss·
@BarakaMaviatu Wengine hadi leo wanaamini. Mara anakuingiza ulimi puani na kunyonya ubongo. Mara nyongo ya mamba sumu.
Filipino
0
0
1
31
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Bodaboda ni kijana aliyekata tamaa na maisha bongo💔
हिन्दी
26
68
642
13.4K