Sabitlenmiş Tweet
MTINDO
1.2K posts

MTINDO
@MTINDO_S
Since then | @ChelseaFC
Am Here Hearing Katılım Kasım 2010
154 Takip Edilen129 Takipçiler

🚨Calling all #Chelsea fans. Drop your handles, REPOST and make sure you all follow each other.
Turn on 🔔 for regular gains 🔵🥶

English

Ila nikipost nguo hamrepost mbwa nyie mnapenda tu kutembea na nyota za mastar wenu🚮
EAST@Prince_Urio
Usiwe unajipost post wengine tukikuona tunashindwa kula kabisa.
Indonesia
MTINDO retweetledi
MTINDO retweetledi
MTINDO retweetledi
MTINDO retweetledi
MTINDO retweetledi
MTINDO retweetledi

Ndugu wateja unataka kununua kitu hata kama unakifahamu weka ujuaji pembeni sikiliza maelekezo ya muuzaji.
Leo mapema amakuja mteja anataka charger🔌 ya #Oraimo na hapa ofsn kuna mzigo feki tulipokea nilipogundua ni feki ikabidi niuweke kwenye Boksi kwaajili ya kuludisha kwa supplier so kuna mzigo wa zamani ambapo namalizia kuuza ambao ulikuwa og
📍Mteja:Nipatie charger 🔌 ya Oraimo
📍Me : Nikampatia charger 🔌 Oraimo ilikuwa imebaki rangi nyeusi
📍Mteja: Sitaki hiz nyeusi huwa n feki nataka ile nyeupe inawaka kitaa kwa juu
📍Me : hiyo sio feki Madam nakuhakikishia ikisumbua unaludisha hapa
📍Mteja: Hapana nipatie ile nyeupe tu
📍Me : Nikazma kwenye lile Boksi lenye mzigo feki nikamtolea inayowaka kitaa🙅🏿
📍Mteja: hiyo ndo nahitaji
📍Me : Nikampatia akalipia safi kabisa
Saizi kaludi nasema hii charger kitaa kina waka mara kinazima halafu inapata sana moto , nikamwambia ndomana nilikuwa nakupatia ile na nikakuhakikishia kwamba ni Og ila ulibisha so nikamwambia siku nyingine aache ubishi na nikampatia charger 🔌 nyingine ambayo ni uhakika
Indonesia















