Sabitlenmiş Tweet
Magige
1.2K posts

Magige
@Magige_mc
Am minding my business and God is my witness...
Bariadi, Simiyu Katılım Temmuz 2022
565 Takip Edilen170 Takipçiler

@ErickKamihanda @princemunisi Chukua mda tena Sikiliza Iceman... Je not like us ilikua na ubora upi tofauti na kumzungumzia Drake.?
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi

Greatest video ever😭😭😭
BEING OLAMI⚪@shogbadun
Where’s the video of that City fan drinking Arsenal fans tears?
English
Magige retweetledi
Magige retweetledi

@MrBoldOne @EmiratesFACup Enjoy your quadruple, pal.
English
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi

Mzee mmoja mwenye busara aliwahi kuniambia kuwa mwanaume anafanana na bulldozer au caterpillar linalotengeneza barabara nzuri na ya kuvutia. Lakini mara tu linapomaliza kazi yake, haliruhusiwi tena kupita juu ya barabara hiyo. Huja gari kubwa, hulibeba na kuliondoa kabisa barabarani kwa maelezo kuwa likibaki litaanza kuharibu barabara.
Hivyo ndivyo ilivyo kwa wanaume wengi. Unajinyima, unakopa, unavaa nguo moja kwa miaka ili watoto wasome vizuri na wapate chakula. Unateseka kimya kimya kwa jina la familia.
Baadae watoto wanakuja kuimba nani kama mama😖

Indonesia
Magige retweetledi

#TajiriLaKihaya
Sema dunia ya saivi ukipata mwanamke mzima kiafya shukuru sana.
sikuhizi kukutana na mwanamke mzima ni very rare, mara ana ulcers, au Asthma, au kifua kinachosumbua sana, au mara miguu/Tumbo mara moyo mara kizazi mara haingii period mwaka mzima na ukimpata aneingia basi zikianza hazikati mwezi mzima 💔
yaani kila mwanamke ana tatizo lake!
Akiwa mzima ni mlevi, Single maza au Msimbe 💔
Indonesia
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi
Magige retweetledi




































