MahengeJr

4.7K posts

MahengeJr banner
MahengeJr

MahengeJr

@MahengeInlove

Remember the sabbath day, to keep it holy Exodus 20:8

Katılım Mart 2017
2.5K Takip Edilen616 Takipçiler
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Hapa wachambuzi wanapita kama wanaaga maiti 😂
Trica Online Store tweet media
Indonesia
3
1
53
1.4K
MahengeJr
MahengeJr@MahengeInlove·
@Elisalinah31 Matendo yao lazima yaendane na Neno kutoka kwenye Biblia takatifu, Kama si hivyo wao ni manabii wa uongo
Filipino
0
0
0
34
JORD-𝕏
JORD-𝕏@Mwakyagi_·
…Kumbe “Backshots” sio picha za mgongo. Poor me🤣🙌🏻…
English
5
4
11
335
JORD-𝕏
JORD-𝕏@Mwakyagi_·
😂😂 mbona sijawahi kukuulizia juu ya hili? Uliniona wapi kwani?👀
Indonesia
2
0
2
168
MahengeJr
MahengeJr@MahengeInlove·
@Mwakyagi_ Hizi ni dalili unataka kuuza shamba la urithi la migomba
0
0
0
10
JORD-𝕏
JORD-𝕏@Mwakyagi_·
Mungu kaniambia unipe namba yako.🙇‍♂️
Indonesia
3
1
3
175
MahengeJr
MahengeJr@MahengeInlove·
@1960Remija Maumivu uliyonayo ni makali sana
हिन्दी
0
0
0
69
DJIGUI DIARRA 🐐
DJIGUI DIARRA 🐐@1960Remija·
CAF wanakuja na vifaa maalumu vya kupima uwanja & kugundua bado kuna shida kubwa, badala yake mkaamua kuwekeza kwenye kelele na siasa na kuanza kuwalaumu CAF wakati sote tunajua mapungufu ya uwanja lakini mkaamua kuacha kusema ukweli na kupiga propaganda. Mnastahili kilichotokea.
Indonesia
10
31
294
5.7K
Kishoka Mdogo, Ph.D
Kishoka Mdogo, Ph.D@DanielKishoka·
@haxo_runaz @udsm_finest Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. Mathayo 7:14 Muwe mnasoma Biblia, acheni kukaririshwa vitu vya uwongo.
Indonesia
2
0
1
33
NOW YOU KNOW
NOW YOU KNOW@udsm_finest·
Ellen G. White, mwanamke ambaye aliwasha taa ya Kanisa la Wasabato, Lakini pia alizua wingu la "siri" zinazochukua nafasi kwenye mioyo ya watu hapa Tanzania. Je, alikuwa nabii wa kweli aliyepewa maono ya kimungu, au kuna ukweli uliofichwa nyuma ya hadithi yake kama siri ya kale? Siri za Ellen G. White Thread/Uzi Follow @udsm_finest
NOW YOU KNOW tweet media
Indonesia
65
174
699
153.7K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Kada ya uuguzi miaka ya nyuma kabla ya kuvamiwa na midume ilikua poa sana. Usafi, huduma ya breakfast, lunch, Ukitaka mke and etc. Sasa hivi midume imevamia kila kitu inapinga. Hebu achieni wenye kada yao tuishi nao.😎
Filipino
30
8
118
3.8K
MahengeJr
MahengeJr@MahengeInlove·
@MiriamMkanaka Umenikumbusha mbali, Ukiwa na sh 100 unakua bosi siku hiyo
Indonesia
0
0
0
29
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Vidonoso Mbeya sijui walikuwa wanatengenezea nini vimetumalizia sana hela 😂😂
MIRIAM💜 tweet media
Indonesia
45
11
280
14.2K
Dr. Chris
Dr. Chris@petersonchris_·
A mixture of cinnamon & clove has been my most favorite drink lately kama vile @hamzaalbhanj na kahawa za Masaki. This combo appears to be a game changer. Nimechelewa kuijua.
English
1
0
9
1.2K
Eng. Ndembo Jafari
Eng. Ndembo Jafari@ndembo255·
Niliambiwa waamuzi wa ile Match ya mkondo wa pili kule South Africa walikua Jijini Daslam, nikachukulia kawaida, Baada ya Kubadilishwa kupangwa wengine ndio nimeelewa sasa.
Filipino
47
21
483
55.1K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mtu mwenye utaalamu na Magari aanzishe ukurasa ambao new car owners watakua wanapata tips mbalimbali kuhusu magari yao.
Indonesia
76
65
924
66.8K
بو سالم 🇹🇿
بو سالم 🇹🇿@Rahim_Meghji·
Kwamba Kwacha ya Malawi ina thamani zaidi ya Shilingi ya Tanzania? 😅
Indonesia
41
16
490
67.3K