Eng. Ndembo Jafari

60.1K posts

Eng. Ndembo Jafari banner
Eng. Ndembo Jafari

Eng. Ndembo Jafari

@ndembo255

Yanga 🔰| Arduino | Electrical | Electronics | Telecom | Android,Windows Desktop App Developer | Embedded System Developer.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2014
1.4K Takip Edilen15.3K Takipçiler
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Wanaharakati mm nashindwa kuwaelewa… Hapa Nchini wanasema LISSU asikubali kuingia kwenye Meza ya Mazungumzo na Serikali… Ila Duniani wanamtaka IRAN akubali Matakwa ya Marekani 😃😂😅 Yaani mtu ameua viongozi wako wote… wanajeshi wakuu…. Kalipua Raia wako Hadi watoto wa shule… miundombinu yako… Bado mnataka wayazungume yaishie MEZANI 🙌🏾🙌🏾🙌🏽
Indonesia
52
42
336
13.8K
Eng. Ndembo Jafari
Eng. Ndembo Jafari@ndembo255·
Hivi hizi Unbeaten za Yanga mnazihesabu kweli?
1
1
83
1.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mnauwakika hii ni Pamba jiji kweli? Mbona wakicheza na Simba huwa wanacheza tofauti sana 🫤
Filipino
22
12
155
4.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Aliyetuaminisha Aragija ni mwamuzi bora nchini ni nani lakini?
Indonesia
23
9
197
13.3K
Eng. Ndembo Jafari
Eng. Ndembo Jafari@ndembo255·
@chapo255 Haina watu kabisa yani…. Kibongo bongo inaweza isiwe na watu 10, Masters Degree yake ni kama ka USD 15K, miezi 18
Indonesia
1
0
1
111
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Umeme wa magari au umeme wa majumbani?
Română
27
16
271
16.8K
Eng. Ndembo Jafari
Eng. Ndembo Jafari@ndembo255·
@chapo255 Kuna Umeme wa Magari (Auto Electrical/Electronics) EV eclectical (Umeme wa Magari ya Umeme Evs)
Română
1
1
0
119
Eng. Ndembo Jafari
Eng. Ndembo Jafari@ndembo255·
Kinapigwa leo hapa Mjini Rabat, Kila la Kheri Wananchi.
Eng. Ndembo Jafari tweet mediaEng. Ndembo Jafari tweet mediaEng. Ndembo Jafari tweet media
Filipino
1
3
126
3.7K
Eng. Ndembo Jafari
Eng. Ndembo Jafari@ndembo255·
Dua ni Ile ile Waminshar Hasidin idhaa hasad. Kila la kheri Wananchi
हिन्दी
1
0
35
1.1K