The 1 difference is here:
Look at the extended hand (the one reaching toward the bottom-left in each panel):
Left panel: The fingers are more spread out and relaxed, with the hand positioned slightly lower.
Right panel: The fingers are closer together (almost as if lightly curled), and the hand sits a tiny bit higher.
Semeni wenyewe wazee wa kusoma lugha za picha utagundua hawa watu wanaujinga mwingi sana. Hawa watu nyuma ya @godbless_lema wametoka wapi na yale magari kule mbele yameenda wapi?
@HecheJohn@godbless_lema@ChademaTZ2 Mnatumia Vibaya Ai Hii Dunia ya Technology huwezi kuwahaada watu kwa viedit vidogo vidogo 😂.
Lengo muonekane mnawatu?😂😂
Hiyo ni jana nikiwa hospitalini mloganzila ndugu zangu nilienda kwajili ya vipimo vikubwa vya xrei tumboni niomeona utumbo ulivyo jaa kinyesi, tatizo lingine linakuja dakitari alipo jaribu kunafanyia kipimo Cha haja kubwa akuta chembechembe ya kinyesi kinatoka akasema.
@Mrs_Pappi Niliandika same thing 2 years ago. I think packaging ya Asas mtindi inawaangusha
Binafsi kwenye mtindi nimehamia Kilimanjaro (Sijawahi kuta shida katika bottled packaging yao)
Upande wa fresh bado nipo na Asas
@ahmedsalimasas possibly hamieni katika bottled packaging ya mtindi
@Getrude_mollel Maana yake unasapoti watu waingie barabarani kwa wingi?! Kwanini usifurahie kuwa watu wamekuwa waelewa kwa serikali yao? Kwahiyo unataka waingie wengi ili ikunafaishe nini?! Acha kuingiza watu kwenye chuki na mamlaka..
⚖️ Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) iko mikononi mwa mataifa machache yenye nguvu, Hakimu wa Mahakama ya Katiba ya Uturuki aliiambia Sputnik Afrika.
ICC imegeuzwa kuwa zana ya kushinikiza na kuadhibu mataifa dhaifu, kwa mujibu wa Profesa Engin Yildirim.
x.com/sputnik_swahil…