GOST🇯🇲
2.3K posts

GOST🇯🇲
@Major_Bundala
Peasant Child⛈️
kingston Jamaica Katılım Ekim 2023
1.1K Takip Edilen845 Takipçiler
GOST🇯🇲 retweetledi

GOST🇯🇲 retweetledi

BACK BENCHA BORA za MUDA WOTE TANZANIA,
Comments shule uliyosoma unaweza ukampata schoolmate wako then mfolo nae akufolo baki.
✍🏿TAMBAZA
✍🏿PUGU
✍🏿AZANIA
✍🏿TOSAMAGANGA
✍🏿MZUMBE
✍🏿ILBORU
✍🏿MINAKI
✍🏿MILAMBO
✍🏿JITEGEMEE
✍🏿JANGWANI
✍🏿KIBAHA
✍🏿BWIRU
✍🏿KIBASILA
✍🏿KANTALAMBA
✍🏿LYAMUNGO
✍🏿KIGONSERA
✍🏿MALAGARASI
✍🏿NDANDA
✍🏿KWIRO
✍🏿RUNGWE
✍🏿IYUNGA
✍🏿KIBITI
✍🏿UMBWE
✍🏿IFUNDA
✍🏿LUGALO
✍🏿NJOMBE
✍🏿TABORA BOYS
✍🏿ENGUTOTO
✍🏿GALANOSI
✍🏿KILAKALA
✍🏿CHIDYA
✍🏿MUSOMA
✍🏿PAMBA
✍🏿SONGEA BOYS
✍🏿NSUMBA
✍🏿KARATU
✍🏿KIGURUNYEMBE
✍🏿USAGARA
✍🏿MALANGARI
✍🏿SHY BUSH
✍🏿BIHAWANA
✍🏿MAZENGO
✍🏿TARIME
✍🏿SENGEREMA
✍🏿MARA
✍🏿IHUNGO
✍🏿MWAKALELI
✍🏿GEITA
✍🏿MOSHI
✍🏿TANGA SCHOOL
✍🏿MTWARA TEC
✍🏽TUKUYU
✍🏽AIRWING
✍🏽MAKONGO


Indonesia
GOST🇯🇲 retweetledi

GOST🇯🇲 retweetledi
GOST🇯🇲 retweetledi

@Taimweusii @EsirEid Wasanii kila siku wanafanya promo kwenye nyimbo zao sembuse wakamalia wazee
Indonesia

@EsirEid Wanakuja na promo code mda sio mrefu! Kuna mda huwa najiuliza kama mtu kila siku unabet unashinda million 6,8,3,6,2 kama tuonavyo kwenye mikeka yao unaanzaje kuhangaika na mambo ya promo code 😀😀😀. Humu kuna usenge mwingi sana!
Filipino

#TajiriLaKihaya
WANAHARAKATI UCHWARA….
Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao…
Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA….
Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING!
Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅
NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽
Indonesia
GOST🇯🇲 retweetledi
GOST🇯🇲 retweetledi
GOST🇯🇲 retweetledi

Mungu awasaidie vijana wanategemewa na familia zao wana mizigo mizito kuliko umri wao
Unashangaa ni kijana wa miaka 16 tu lakini analo jukumu la kusomesha wadogo zake wawili Inyalikungu.
Mama ni mgonjwa wa figo anapaswa kusaidiwa matibabu na kijana huyo huyo💔
Baba ambae ndio nguzo ya familia alishafariki au kufungwa jela.
Huyu kijana ana matumaini ya one day yes lakini moyo wake una maumivu mazito sana.
Hana connection ya mjomba au ndugu mwenye pesa maana hata nduguze waliwatenga kwa sababu ya kipato chao.
Kijana kama huyu mtetezi wake ni Mungu pekee💔🥹
Kila anapoomba kazi hapati hivo vyeti ameviweka nyumbani anajishughulisha kuuza mkaa kulisha familia na biashara ni ngumu.
Indonesia
GOST🇯🇲 retweetledi

Kaka, ishia hapo hapo kwenye sigara…
Tutaku disappoint sana ukienda ule upande mwingine 😁😁
SIR TIVA@Sativa255
Kuna wale watu wanaheshima zao kwenye Jamii afu gafla unakuja kumuona live anavuta SIGARA—huwaga inachosha sana. Mfano kuna siku niliona video ya LUGUMI anavuta sigara nilichoka aisee. Kipindi hicho nafuatilia kandanda, mtu niliekuwa namkubali ni HAJI MANARA, nae nikaja kuona anavuta SIGARA nilichoka. Kuna siku tena nikamuona yule Gerald Hando anavuta vile vivespa sijui msibani mbele za watu—vile ni ishara ya kukata kiu ya FEGI nilichoka. Hii starehe ya kuvuta CHIGA (SIGARA) ni ya kipumbavu—hili halina MJADALA.
Filipino
GOST🇯🇲 retweetledi

Hey guys (@IRANinUGANDA and @IraTanzania ) it seems that Ugandans and Tanzanians are also on board


English





















