TAI MWEUSI

982 posts

TAI MWEUSI

TAI MWEUSI

@Taimweusii

Katılım Eylül 2025
930 Takip Edilen137 Takipçiler
TAI MWEUSI retweetledi
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
1.Jina lake kuwekwa kwenye orodha rasmi ya wakiukaji wa haki za binadamu ya US ni doa la maisha kimataifa. Inamfanya atambulike ulimwenguni kote kama mtu hatari jambo linalofuta heshima yake ndani na nje ya jamhuri
Ibraah@JumaIbrahi75232

@Maestrowafact Mkali hivi hii Ina matokeo gani kwa kwa huyo mzito aliezuiliwa ilihali inawezakena hata state hajawahi dondoka na mpango wa kudodoka state Hana nieleweshe wade

Indonesia
5
4
17
718
TAI MWEUSI retweetledi
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Kwa mantiki hiyo mzito anaweza kushindwa kufanya miamala ya kimataifa au kumiliki akaunti za kigeni kama atakua anataka kuficha madolali
Indonesia
0
2
2
96
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mtu unauza matunda unajiona umepigwa na maisha ushawahi shinda kwenye mraba kibarua ya kulima kudadadeki warundi nilipo uliza wanalipwa shilling ngapi eti elfu tatu mpaka elfu tano kule kigoma kwa bibi nikawaongeza pesa kwa huruma mazee walishangilia.👏👏
Filipino
4
6
18
460
TAI MWEUSI
TAI MWEUSI@Taimweusii·
@MarekaMalili Nyumba za masikini huwa haziishi ni mdogo mdogo! 10M najenga na nyumba naingia!
Indonesia
0
0
1
17
Mateo
Mateo@luganomwakimi·
@MarekaMalili Hii issue ni utani au serious kwamba nyumba haikamiliki kwa 20M?? Hiyo ni nyumba kali sana hapa Bongo. Mfano kule kyela tofali za kuchoma elfu ishiri ni million mbili Ukiweka Dirisha sita Kuchomelea Tsh 120k - 150k kila moja Bati Bandle sita 2m + Fundi tusem nae 2M+ Ila Humu
Indonesia
2
1
8
542
Mwanaharakati
Mwanaharakati@MfiaNchi255·
Yoyote mwenye video ya huyu Swaumu aniwekee hapo kwa comment Nasikia anachakatwa hadharani na wala hawazi 👇👇👇
Mwanaharakati tweet media
Indonesia
12
4
26
2.3K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Ooh Mzito anaumwa ooh mzito anakata moto hata mzito wa Kaki yupo CCP moshi anafanya yake kumamake zenu😅😅
Filipino
9
7
43
1.9K
TAI MWEUSI
TAI MWEUSI@Taimweusii·
@FamWorld2025 @Mikumifinest Yeah mwaka juzi nilinunua kiwanja 8.5M after 6 months jamaa kaja kukinunua 45M nikajiona mjanja sana, aiseeee kumbe Airtel walikuwa wanapahitaji kawakodishia Airtel anakula pesa nzuri mamae 😂😀
Suomi
0
0
1
66
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Unanunua kiwanja 10m mtu anakuja kukitaka kwa 25m we unafurahia kumbe kuna madini nini watu wasiri sana hii nchi😆🙌🏾
Indonesia
8
4
50
2K
TAI MWEUSI retweetledi
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Ila Vitisho vingine, "ETI FUTENI VIDEO KWENYE SIMU ZENU zile za Oct 29 ukimatwa nazo ni kosa KISHERIA". Ama kweli tuna vyombo vya kupikia sio vya ulinzi.
22
87
775
16.1K
TAI MWEUSI retweetledi
Rio Ferdinand
Rio Ferdinand@rioferdy5·
England squad announced before announcement… thoughts??
English
1.2K
1.4K
29.3K
1.1M
TAI MWEUSI
TAI MWEUSI@Taimweusii·
@kasesco_tz Huyu ni Parasaurolophus (au dinosaria aina ya "duck-billed dinosaur" yenye kilemba kichwani).e4c5dd Ni moja ya dinosaria maarufu za familia ya hadrosaurid (dinosaria wenye midomo kama ya bata) walioishi karibu miaka milioni 75 iliyopita wakati wa kipindi cha Late Cretaceous
Indonesia
0
0
0
101
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Huyu ni mnyama gani tumemkuta katikati ya shamba wakati tunavuna.!?
kasesco☆ tweet media
Indonesia
79
56
324
29.4K
Hon.Kawessi
Hon.Kawessi@Honkwawessii256·
Congratulations my people this is my fast analysis on clsi won😊 Congratulations to me Join my bio all my games
Hon.Kawessi tweet media
English
66
8
122
39.7K
TAI MWEUSI
TAI MWEUSI@Taimweusii·
RT @Twaha_Mwaipaya: Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitek…
Indonesia
0
2
0
48
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : Alfajiri ya 20/05/2026 Polisi DSM lilimkamata msaidizi wa Lissu, David Jumbe kwa Makosa ya mtandao akiwa anapelekwa kituo cha Polisi Mbweni akiwa kafungwa pingu David aliruka ndani ya gari. Ila nimesikia yuko na @IamLyenda na muda wowote atajitokeza
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
46
9
211
31K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
“Mimi bado najiuliza Mtangazaji mkubwa kama yule alikosa vitu vya kumuonesha Rio hadi amuoneshe goal la chama..” - @GuzmnChapo1 Kuna Maswali Hata Admin Anashindwa Namna ya Kujibu…!😅 #VisitMOSHI🇹🇿
MeaMswahili tweet media
Indonesia
8
0
58
2.8K
TAI MWEUSI
TAI MWEUSI@Taimweusii·
@Maestrowafact Ukimkuta talatala Dodoma anavyovimba huwezi jua kama unaparform kwenye grocery 😂
Indonesia
0
0
1
555