Makha Kifundo
3.9K posts


Inawezekana dogo vitu alivyo kuwa akifanya Instagram ilikuwa kama kujifurahisha tu, hakuwa na mpango wowote Wala Dira, ila kumbe MUNGU naye ni nani, mara Vuuuu,, makampuni makubwa ya mavazi pamoja na Instagram wenyewe wakamuona.
Jana Moja ya kampuni kubwa ya mavazi pamoja na Instagram wame enda kumchukua dogo kwao Ethiopia.
Dogo Kwa Sasa ndo mtu maarufu zaidi Instagram anaye fuatiliwa Kwa Sasa, mwite Kaluptics dogo aliye kuwa anajifanyia vitu kama kufurahisha nafsi yake tu.
Inawezekana hata wewe hicho unacho kifanya unaona kama ni kawaida tu ila MUNGU siku akiamua utabaki unajishangaa.

Indonesia

@Hon_KibayasiF Champion_Daraja la kongowe mtaa wa Bamba ilikuwa hatari hiyo
Indonesia

@IgoraIrene32964 @Adventure_36 Kasema mtambo siyo gari, mwanetu usimfokee
Indonesia

@Adventure_36 Mi hata hunionagi nimezaliwa 99 dear ex fala wewe
Indonesia

@thomas_yona_ Kila mtu anawasha mziki wake, mikelele pilikichi
Indonesia

@kibaha_finest Uliona wapi boss wa yas akamlipa mfanyakazi wa voda
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Hapa #ARSENAL tushindwe wenyewe tu🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ila Njia NYEUPE saana hadi FAINALI…..
Wasumbufu woote wanatoana💯💯💯

Indonesia

@free_f0ll @tonymaster01 Kwanza wenzetu wanachoma Sindano ya kuzuia sumu mzee

@tonymaster01 Wenzetu hata wakiona nyoka kaingia ndani ya nyumba awe mkubwa na mkaki kiasi gani huwa wanachukua hatua ya kupiga simu sehemu husika na wahusika wanakuja kumkamata kiumbe wao na kumrudisha porini.
Kibongobongo, hatoboi mtaa mzima watakuja kuhakikisha anakufa na kichwa kinakatwa.
Indonesia

@EngMapundajr Ukitema mate kabla ya kufika chini, Chuma ishafika uyole
Indonesia
























