Patrick Malogoi

758 posts

Patrick Malogoi

Patrick Malogoi

@MalogoiPatrick

Former Prosecutor and current Energy and Corporate Lawyer

Dodoma, Tanzania Katılım Ocak 2019
70 Takip Edilen88 Takipçiler
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Steve Biko, the young African with the heart of a lion. He was full of passion and love for Africa. On 12th September 1977, exactly 49 years today his blood was spilled to give voices to many of us. His only crime was that he was against the oppression of his people on their own land. Never forget for your oppressor and enemy is, when you forget your history it will repeat itself today and again tomorrow. An Icon and a hero of African. Rest in Power Biko, you are our hero! 💔🕊
Zoom Afrika tweet media
English
29
482
956
24.3K
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Watu wa Dar ukiwaambia unaenda Dar kutoka Kanda ya Ziwa wanavyo weka oda za samaki utafikiri huku kanda ya ziwa samaki tunaishi nao ndani. Hawajui kuwa kuna mtu yupo Mwanza anaweza maliza mwezi hajala samaki na ziwa liko nyuma ya nyumba yake tu Huyu samaki hapa kwenye picha bila Tsh 30,000/= huongei na muuzaji 😁
S t e w a r d tweet media
Indonesia
17
5
74
7.1K
VERYDARKMAN
VERYDARKMAN@vdmempire·
WOW 🥹❤️❤️ Will Smith has been in Africa now for over a month , he allegedly reveals that Africa is one of the best places to live your life and also one of the best places to raise your kids. People born in Africa are naturally respectful, they are raised with good morals and determination to succeed. They are also FREE . You’ll hardly see an African kid stand up to his or her parents shouting or publicly disrespecting them or even calling the police. Will smith visits clubs , dances and ends up spending almost nothing . He is having his best time If you have money, Africa will be your best place.
VERYDARKMAN tweet media
English
27
33
443
23.2K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi unaweza kula chakula mazingira machafu kama haya kweli..
kasesco☆ tweet media
हिन्दी
196
38
305
24.5K
Nature Unedited
Nature Unedited@NatureUnedited·
Cow being in love with the new brush installed for her
English
240
1.5K
18.6K
1.8M
Black Pearl 🖤
Black Pearl 🖤@LyndaUdoji·
The day I took this photo, a student walked into my office, hopeless. He was a final year student who had finished his exams but had a missing result. I saw a young boy break down in tears, right in front of me but what caught my attention wasn't just his tears, it was
Black Pearl 🖤 tweet media
English
291
119
2.7K
662.6K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Serikali imesema takribani wilaya 50 hazina magereza, na kwamba ujenzi wa kila moja utagharimu takribani bilioni 8.
Indonesia
76
6
206
52.4K
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc@ridhiwankikwete·
Furaha kukutana na rafiki yangu na DAS Kilwa Bi. Azilongwa Bohari Pembeni ya mkutano wa Wadau wa mawasiliano.
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc tweet media
Indonesia
33
8
245
19.2K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Tumeisha tumeisha tumeisha kabisa sasa tutajua hatujui umeme utapanda bei na bomba la mafuta litafanyiwa figisu Rostam atauwa gas ya kutoka kusini atakomaa na gas ya kuleta kutoka nje hasa Iran TISS kumejaa wapumbavu watupu Amenunua hii kampuni kuiuwa kama aivyonunua media kuziua, kuna wakati Rostam anapata faida kwa kununua washindani na kuua kisha kuendesha biashara kwa monopoly atakavyo
Think Different tweet media
Indonesia
31
62
411
32K
Elliot
Elliot@elliot_solution·
This South African cop buried her sister and cashed out $38,000 in insurance money. Then she buried her boyfriend. 76 stab wounds. Collected $22,000. Then her niece. Her nephew. Her cousin. One by one. 6 people dead between 2012 and 2018. $75,000 total collected. Constable Nomia Rosemary Ndlovu. Tembisa Police Station, South Africa. She got caught because the last hitman she hired refused to burn a 5-month-old baby alive. He went to the police instead. Undercover cops filmed her in the car buying petrol for the fire. Giving instructions. She didn’t flinch. In court she wore makeup. Threw peace signs at cameras. Asked if they got a good shot. Judge sentenced her to 6 life terms. Africa’s most cold-blooded insurance killer was the person sworn to protect you.
Elliot tweet media
English
352
1.9K
5K
271.5K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:BASI LA ABOOD LAKAMATWA LIKIWA NA KILO 101 ZA MIRUNGI Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni kilogramu 101.2 za mirungi zilizokuwa zimefichwa kwa ustadi mkubwa ili kukwepa kugundulika. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema basi hilo lilikuwa likifanya safari kati ya Mombasa, Kenya na Dar es Salaam. Ameeleza kuwa dawa hizo zilifichwa katika maeneo mbalimbali ya basi, ikiwemo ndani ya mfumo wa hewa wa kiyoyozi (AC). Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, watu watano wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo. Waliotajwa ni dereva Ramadhan Mohamed (52), kondakta Salma Sanga (26), pamoja na Twahilu Athuman (38), Mohamedy Mikidadi (37) na Ibrahim Mohamed (39). Katika tukio lingine, DCEA ilikamata paketi 141 za bangi aina ya skanka katika hosteli ya wanafunzi iliyopo mtaa wa Nzasa, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mtuhumiwa Semvua Sangi (31), ambaye ni msimamizi wa hosteli hiyo, alikamatwa baada ya dawa hizo kupatikana ndani ya chumba chake. Kamishna Lyimo ameongeza kuwa katika operesheni zilizofanyika nchi nzima mwezi Machi 2026, mamlaka hiyo ilifanikiwa kukamata jumla ya kilogramu 1,983.31 za dawa mbalimbali za kulevya, kilogramu 3,012.5 na lita 17,960 za kemikali bashirifu, pamoja na vidonge 286 na chupa 1,001 za dawa tiba zenye asili ya kulevya. Operesheni hizo pia zilisababisha kukamatwa kwa jumla ya watuhumiwa 77.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
26
20
297
37.3K
Herboria
Herboria@Herboria1·
Cut a lemon in 4, add salt and place it in your room, THIS trick will change your life.
Herboria tweet media
English
105
443
3.9K
993.3K
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
I decided to tweet today! After sharing an image with Justice Chande while calling for accountability (which actually made a difference as I thought it will), some with limited thinking rushed to push false, narrow narratives za kitanzania-so I blocked them- I block here all nosense and gain nothing from this social spaces than sharing my truth. Yaani, picha ya mwanaume na mwanamke mnafikiri ngono tu? Some of us use our brains, not our bodies 🙄. So let me share more pictures na ninazo nyingi zaidi-let me break it down for you-I have made a difference in my own way, and how I will continue to do so. Natumia akili…. As a mother, sister, and friend, I tweeted after October 29th, after seeing images and reports of young lives lost. It became deeply personal. I couldn’t sleep for days, mourning lives that were gone too soon. It is hard to accept that this is the same country I once proudly called home. I share photos and my own narrative always for a good reason-it’s personal & I can only defend what I know. I am deeply committed to humanity and do not follow any rule beyond what is in my heart and what God wants me to do…I don’t share tweets- one fits for all-. Those who truly know me understand I am deeply rooted in humanity. Ujinga sipendi. Pictures don’t lie, so I will continue to share them. I have lost so far businesses and relationships because of my stance, but I still stand firm. I only care about accountability. The more these thieves try to discredit or smeared me, the more I will continue to expose the truth. Through my years in the fashion industry, I have been fortunate to meet people from all walks of life-from presidents and leaders to changemakers-but my strength has never been appearance(hata kama urembo ulifungua milango); it has always been my mind (a sharp, deep thinker-a reason I am to publish a 6th book) and my commitment to people. Never underestimate what I stand for, what I have seen, and what I continue to do for Tanzania in my own way. I helped shape Tanzania’s media landscape and global image-whether some want to admit it or not. I was there before Clouds had TV, when it was only radio, and I strategized alongside Ruge, Kusaga & some who are currently supposedly speaking for ikulu mawasiliano🤔. I understand how narratives are built, carried, and sustained…I just don’t agree with injustices. In my last interview with The Chanzo, I spoke about how after October 29th, we lost people we had known for years. This is not abstract-it is personal for many of us as well and communities still grieving. Anyone who chooses to stand with systems or narratives that disregard innocent lives and the pain of citizens, we simply operate on different values. Kwa heshima, tuepukane-we serve a different God. My God is fair and just. And yes, Bakari Machumu-leo nilikuita- whom I once knew and respected from the journalism space we go back over two decades-is now in Ikulu Mawasiliano. I personally warned you Mara chache nilipoona huu muelekeo. Now hata oil and gas messaging to wider media narratives being questioned by many, I only say this: leadership communication carries weight. Kwa heshima, mnapaswa kujirekebisha. This is not about individuals-it is about truth, accountability, and the dignity of human life. May we never become numb to suffering. May we choose humanity, always. Tulikuwepo zamani- tutakuwepo Mungu atapotuweka.
Tausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet media
English
12
36
225
15.2K
Patrick Malogoi
Patrick Malogoi@MalogoiPatrick·
@Royal_Tv_Tz Wanapenda kutengeneza sintofahamu tu kwanini hawajajiuzuru sehemu moja!
Indonesia
0
0
1
538
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa msimamo wake kuhusu uteuzi wa Bi. Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikieleza kuwa hatua hiyo iko kinyume na matakwa ya kisheria. LHRC imebainisha kuwa uteuzi huo uliofanywa hivi karibuni unagongana na Ibara ya 50 ya Mkataba wa Kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa mwaka 1999. Kwa mujibu wa tamko lililotolewa leo Aprili 09 ,2026 na Kituo hicho, imefafanuliwa kuwa Ibara ya 50 ya mkataba huo inataka Bunge la nchi mwanachama kuchagua wajumbe tisa kutoka miongoni mwa watu ambao si wabunge wa Bunge la kitaifa ili kuwakilisha nchi katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA). LHRC imesisitiza kuwa hali ya sasa iko kinyume na mkataba huo na inapaswa kutolewa ufafanuzi wa kina na Serikali ili kulinda misingi ya kisheria ya jumuiya. Kufuatia hali hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga, ameitaka Serikali kueleza hadhi ya sasa ya Waheshimiwa James Milya na Ng'waru Magembe ndani ya Bunge la Afrika Mashariki. LHRC imekumbusha kuwa Tanzania ina wajibu wa kutekeleza kikamilifu masharti na kanuni za msingi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kama zilivyoainishwa katika mkataba wa kuanzishwa kwake. Kituo hicho kimehitimisha kwa kutoa wito wa kuzingatiwa kwa utawala wa sheria katika michakato yote ya uteuzi wa wabunge. LHRC imesisitiza kuwa kufuata miongozo ya kisheria ni lazima ili kufikia malengo ya ushirikiano wa kikanda na kuhakikisha kuwa taratibu za kidemokrasia zinaheshimiwa bila kuleta mkanganyiko wa hadhi za wawakilishi.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
7
20
138
14.1K
Stephenblaq
Stephenblaq@Steezehuman·
Who is this? Wrong answers only
Stephenblaq tweet media
English
8K
254
3.3K
539.3K
Roderick
Roderick@KyaloIntel·
The moment when Gachagua took the microphone in Olka-lou, Ruto was pretending to read the eulogy while Soprano pretended to pray. But still i don't understand how can an ordinary man walk into a Presidential function,,,take over and introduces however he wants ,,,,,lecture the President,,,tell the MC of the moment(Governor Kiarie to sit down),,,and even has the audacity to sing a song(just for his pleasure)! Respect this man Gachagua!
Roderick tweet media
English
22
20
271
30K
Mbalila K.
Mbalila K.@Jkmbalila·
@PMadeleka Hata hiyo euro 400 au dola 800 ni kwa lita au gallon au ni kwa kipimo gani? Bado unamsingizia Mhe. Rais wewe! Pitia hotuba kwa makini bhana wewee..
Indonesia
1
0
4
2.8K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuna watu WANASHANGAZA SANA. Kila mtu AMEMSIKIA Mheshimiwa Rais 👇 akiongea “LAIVU” kwamba; ni 600 na 800 na SIYO 6,000 na 8,000 na AMEOMBA MREKEBISHE. Lakini, bado kuna watu WANAKOMAA na 6,000 na 8,000 KWA LITA 1. Jamani, ULIMI HAUNA MFUPA.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
82
17
289
38.6K
NBS Television
NBS Television@nbstv·
PHOTOS: Okello Christopher Onyum, the prime suspect in the attack on a daycare centre in Ggaba that left four children dead, has been brought to Makindye Chief Magistrates Court to face the charges. 📸: @francis_isano #NBSUpdates
NBS Television tweet mediaNBS Television tweet mediaNBS Television tweet mediaNBS Television tweet media
English
207
76
951
138.1K
Patrick Malogoi
Patrick Malogoi@MalogoiPatrick·
@ummuh_Zahra The right person will show up at the right time. Be patient and wait on the Lord.
English
0
0
0
2
🤍I’m Sanwo_Fatimah
🤍I’m Sanwo_Fatimah@ummuh_Zahra·
I thought I had found the man I would marry. We were together for 2 years. He had a good job and always said he loved my intelligence and drive. Last week, he finally agreed to visit my family in the village. My mum was so happy. She spent her last money to cook a special meal and even borrowed a better seat so he would be comfortable. But when he arrived, his attitude changed. He barely spoke, barely ate, and just looked around. Two days after he left, he sent me a message I’ll never forget. He said he’s “a man of class” and can’t marry into a family where he’ll become the only hope. He said my background would “pull him down.” Before I could even respond, he blocked me everywhere. He didn’t see the love in the food my mum cooked. He didn’t see the sacrifices she made to raise me. He only saw where we came from. My heart is heavy. Is it now a crime to come from a humble home? Does my hard work mean nothing because of my background? 💔
🤍I’m Sanwo_Fatimah tweet media
English
1.8K
257
1.7K
288.3K