“GSM amekubali kumiliki uwanja kwa asilimia 50/50 na Yanga. GSM hana tamaa, angekuwa na tamaa basi angesema anataka asilimia 80. Tunajua wapo wenye tamaa na tunawajua. Ukiacha msemo wa Yanga Bingwa, hatimaye GSM ametupatia msemo mwingine, kuanzia sasa Msemo wetu ni “GSM HANA TAMAA” Ally Kamwe
🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆
Miaka 16 iliyopita msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz 🦁 aliweka bayana mahusiano ya kimapeni kati ya mwanadada Mwasiti na mtangazaji Sam Misago kupitia mitandao Yake ya Kijamii.
Kipindi hicho Diamond Platnumz ni mzee wa mipasho tu hafichi white, Alikua Kama Carry Mastory 😄 Mambo yanaenda kasi sana.😂
#MeaMswahiliTRENDING
Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea katika mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema maandalizi ya timu yetu yamekamilika na tumejipanga tofauti na mchezo uliopita.
“Tumekuwa na siku tatu za kujiandaa na tunautazama mchezo huu kivingine kabisa, tutakuwa na mpango mwingine tofauti na ule wa mchezo uliyopita kwa kuwa haya ni mashindano mengine,” Pedro.
KARIAKOO DERBY BACK TO BACK
Tarehe 29 Simba vs Yanga kwenye fainali ya muungano
🟡 Yanga anaingia na faida ya kufunga magoli mengi
🔴 Simba anaingia na faida ya kufunga na kutokuruhusu bao hata moja
Baada ya hapo mmoja anarudi na kombe Dar es Salaam kabla ya kukutana tena May 3, 2026
Hii sio fainali ya kugombania Milioni 100, ni fainali ya kutaka kukaa kurasa ya mbele kwenye magazeti na heshima
Ukoloni ni mbaya kwa ujumla au ni mbaya katika mambo fulani na mzuri katika mengine?
Kwa mfano, kuna teknolojia nyingine iliyofanikiwa kusambaza dini ya Kikristo kama ukoloni?
NB: Credit kwa jamaa aliyecheza movie ya JESUS ile ya 1970s, naye ana mchango wake kwenye Ukristo.
@YoungAfricansSC Tactically, let's speak the reality we have a big problem ahead, i predicted last tym and now here am putting a mark, we are too slow, we are not causing any threads as we used to be,again, what wrong with yao,the best left back in NBC ?can someone tell us.
👉Israel imeanzisha shambulio la ndani ya Iran, awamu hii Israel misheni ya kuishambulia Iran imeipa jina la "Operation Shield of Judah"
👉Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz ametangaza hali maalum ya dharura amaeneo yote ya Israel.
👉 Wazayuni Kwani wametangaza dharura tena au bado hawajiamini🤔
The B-2 Spirit specs align with official sources: length ~21m, payload ~18 tons, speed ~1,010 km/h, cost ~$2B per unit.
For the Xian H-20, details are unconfirmed estimates due to its developmental status. Sources suggest length 24-30m, payload 20-45 tons, subsonic speed (~1,100-1,200 km/h), and cost varying widely (no official figure). Recent reports indicate possible first flights in 2025.
@CAFCLCC Refereeing in Africa is a complete disaster. Every match shows the same problems: inconsistent decisions, poor management, weak use of VAR, and a lack of professionalism