Sabitlenmiş Tweet

🧵 1/8:
Leo ni Siku ya Kisukari Duniani!
Kisukari ni ugonjwa au hali ya mwili kushindwa kudhibiti kiwango cha sukari katika damu.
Hebu twende pamoja kujifunza aina za kisukari, dalili, na matibabu yake. #SikuYaKisukari
Like, comment, repost.

Indonesia

























