Maureen C

6.6K posts

Maureen C banner
Maureen C

Maureen C

@MaureenC2025

HakiyaKUISHI, NapingaMAONEVUya RAISI BATILI na chama chakeCCM. Na-support KATIBA BORA YA WANANCHI. NapigiaKELELE, NANUNIA SERIKALI BATILI

Katılım Eylül 2024
92 Takip Edilen240 Takipçiler
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Hii ni orodha ya wafanyabiashara & mabilionea wenye ukwasi mkubwa Tza. Swali langu ni hili: Kwa nini, katika nchi yenye wazawa weusi wengi, orodha hii kwa sasa haina mzawa mweusi hata mmoja? Sababu ni malezi, mfumo wa elimu, mwamko mdogo, au nini hasa? Ninatafuta kujifunza tuu.
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
28
9
65
6.3K
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Kuhusu utekaji na kupotezwa kwa watu Sitaacha Kuzungumza - Bishop Dr. Josephat Gwajima. @jgwajima
Indonesia
4
45
398
22.7K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
'MAMA ANASEMA TUCHAPWE MIKWAJU, TUTALINDA DEMOKRASIA KAMA WATOTO WATOVU WA ADABU!'- SIFUNA AJIBU KAULI YA SAMIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezua mjadala baada ya kutoa kauli akitaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya kile alichokiita “vijana watovu wa nidhamu” wanaojihusisha na harakati za uanaharakati katika ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza wakati wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Tanzania, Samia alisema suala hilo lilijadiliwa kati yake na kiongozi huyo wa Kenya, akipendekeza mamlaka katika ukanda huu zichukue hatua madhubuti dhidi ya wanaharakati anaodai huvuka mipaka na kusababisha fujo kwa jina la demokrasia. Alisisitiza kuwa hatua kali zinahitajika, akionya kuwa neno demokrasia halipaswi kutumika kuvuruga utulivu wa nchi. Kauli hizo zimeibua mjadala, huku baadhi ya viongozi na wanaharakati kutoka Kenya wakijibu hadharani. Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna alijibu kupitia mtandao wa X, akipinga kauli hizo na kusisitiza kuwa kulinda demokrasia si kosa. "Mama anasema tuchapwe mikwaju…tutalinda demokrasia kama watoto watovu wa adabu!” aliandika.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
4
36
120
5.8K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@rose_mayemba @didierdrogba Naongezea hapo, Weee @didierdrogba Why are You meeting up with the killers and legitimizing the illegitimate government? We, Tanzanians are not HAPPY with you @SuluhuSamia killed over 10,000 Tanzanians on the 29th October 2025. There was NO ELECTION Huyo Makonda see below
Maureen C tweet mediaMaureen C tweet mediaMaureen C tweet media
English
1
0
0
56
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
@didierdrogba You knew exactly that what you came to do was globally unacceptable. Ndio maana hakuna account yako imepost ujio wako Tanzania. Unaogopa nini kama unaona uko sahihi kushabikia regime ya wauaji? Shame on you. NB. Ndugu zangu watanzania, huyu jamaa dunia hata haijui kama yuko Tanzania, kama lengo la Bashite lilikuwa ni kuihadaa dunia basi imekula kwake.
Rose Mayemba tweet media
Filipino
5
20
53
1.2K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@EduTalkTz Huku kwetu sasa ….. Tobaaaaaaaa Kwanza wee @didierdrogba Why are You meeting up with the killers and legitimizing the illegitimate government We, Tanzanians are not HAPPY with you Go google Tanzania election October 2025 #justiceforMo29
Maureen C tweet mediaMaureen C tweet media
English
0
0
0
23
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa miaka minne mfululizo nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu Bunge la bajeti la Singapore. Sijawahi kuona drama, business business business ndio order. Hata wakati Waziri Mkuu anasoma bajeti, makofi ni nadra sana. Kuna institutional decency fulani hivi ya kipekee sana.
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
5
13
101
5.7K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@baraka_asege Hatuna BUNGE ! Hilo ni kundi la wahuni wamejiweka hapo kupigia UHUNI wao makofi ! Hatuwatambui Na wewe @didierdrogba Why are You meeting up with the killers and legitimizing the illegitimate government ? We, Tanzanians are not HAPPY with you Go google Tanzania Election 2025
Maureen C tweet mediaMaureen C tweet media
English
0
0
0
8
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Nielekezwe kwa upole. Hivi ni ipi faida na ulazima wa kumleta DROGBA Bungeni? Kaenda kuongeza nini? Jokate nae anapiga makofi Kwasababu ipi?
Mr.Mbeya tweet media
Indonesia
73
42
603
40.9K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@MwananchiNews Weeeeee. @didierdrogba Why are You meeting up with the killers and legitimizing the illegitimate government We, Tanzanians are not HAPPY with you @SuluhuSamia government killed over 10,000 Tanzanians on the 29th October 2025. We didn't elect her nor her people.
Maureen C tweet mediaMaureen C tweet mediaMaureen C tweet media
English
0
0
0
18
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Nyota wa zamani wa Timu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya Ivory Coast Didier Drogba ameteka ukumbi wa Bunge baada ya kutangaza jina lake na Spika. Drogba (48) amekuwa nyota katika kikosi cha Chelsea ambako alicheza kwa mafanikio makubwa. Drogba ametambulishwa bungeni kama mgeni wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiwa miongoni mwa wageni katika siku ambayo hotuba ya wizara hiyo inasomwa leo.
Indonesia
11
11
65
24.9K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@swahilitimes Wananchi wenzangu . Na sisi tushikamane kama wao. Tuone nani atashinda ?
Maureen C tweet media
हिन्दी
0
0
0
17
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Tumezungumza kufanya vizuri kwenye mipaka yetu, kuongeza ulinzi, kuongeza umakini kwenye mipaka yetu ili watu waovu wasiwe wanavuka kufanya uovu upande wowote ule kati ya nchi zetu mbili." - Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya, William Ruto wakizungumza na waandishi wa Habari
Swahili Times tweet media
Indonesia
14
7
115
7.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imejipanga kikamilifu kuhakikisha ujenzi wa Arena ya kisasa unatekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kukuza Sekta ya Michezo na ubunifu Nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda leo Mei 04, 2026 Bungeni Jijini Dodoma wakati akihitimisha hotuba ya Wizara hiyo ambapo pia amejibu suala la ujenzi wa Arena lililoibuliwa na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamisi Taletale huku akieleza kuwa maandalizi muhimu ikiwemo upatikanaji wa eneo na michoro ya awali tayari yameanza. "Mh. Mwenyekiti, Wizara ya Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni imejipanga kikamilifu na ukisikiliza hotuba ya Waziri wetu alizungumzia mpango wa ujenzi wa Arena ndani ya Bajeti ya miaka mitano, lakini pia Ilani ambayo Ndugu yangu Sanga hakuisoma imeeleza kwa kina Ilani ya mwaka 2025 hadi 2030, mpango wa ujenzi wa Arena upo wazi kabisa na tayari kwenye Bajeti ambayo leo mmeipitisha, tumeweka zaidi ya Shilingi bilioni moja kama sehemu ya fedha za awali za upembuzi yakinifu (feasibility study).." "Mh. Mwenyekiti, naomba niwahakikishie kwamba ndani ya miaka hii mitano, arena itakuwepo na studio pia itajengwa, nimewasikiliza kwa makini michango ya Waheshimiwa Wabunge, hususan Ndugu yetu ambaye ni Katibu wa masuala ya chama aliyeeleza kwa kina kuhusu mavazi na vifaa vya wasanii..." Waziri Makonda. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
1
5
48
3K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DODOMA: Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, leo Mei 4, 2026, amewasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, akiomba Bunge kuidhinisha Tsh. Bilioni 525.3. Kati ya hizo, kiasi cha Tsh. Bilioni 39.07 kwa ajili ya mishahara, Tsh. Bilioni 28.06 ni matumizi mengineyo, huku Tsh. Bilioni 458.19 zikitengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Kwani nyie Wadau wa Michezo, Habari, Sanaa na Utamaduni mnasemaje? Soma jamii.app/BajetiWizaraHa… #JamiiForums #Utawala #Governance
Indonesia
3
4
33
2.8K
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
uko ndani Hapakaliki Hadi Nchimbi anaongelea mambo ya Kung'atuka ni dhahiri moto unawaka huko #Tutakuwepo
Filipino
7
29
176
10.4K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@TheCitizenTz Weee. @didierdrogba Why are You meeting up with the killers and legitimizing the illegitimate government We, Tanzanians are not HAPPY with you @SuluhuSamia MAKONDA and KIKWETE are killers; they killed over 10,000 Tanzanians on the 29th October 2025. We didn't elect THEM .
Maureen C tweet mediaMaureen C tweet media
English
0
1
2
9
The Citizen Tanzania
The Citizen Tanzania@TheCitizenTz·
Chelsea and Ivory Coast football legend Didier Drogba has arrived in the country today, May 3, 2026, following an invitation extended to him by the Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda instagram.com/reel/DX475fmuH…
English
2
8
41
13.9K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@MariaSTsehai @didierdrogba Weeeeee. @didierdrogba Why are You meeting up with the killer and legitimizing the illegitimate government We, Tanzanians are not HAPPY with you @SuluhuSamia and KIKWETE are killers; they killed over 10,000 Tanzanians on the 29th October 2025. We didn't elect them.
Maureen C tweet mediaMaureen C tweet media
English
0
0
0
10
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
“ Sikiliza Albart , hili ni tukio la kumpa heshima Prof Jay na ni starehe kwa watu wote , nikiingiza siasa hapa , nyie CCM mpo na CHADEMA wapo, itabidi na Mnyika au Heche aje kuongea hapa , kitakachotokea hapa, kesho utafukuzwa kazi, halafu uanze kulilia. Matako yako”
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
23
87
709
16.8K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale (Babu Tale) amemuomba Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, apambanie kujengwa kwa Arena ili Vijana wapate eneo zuri la kufanya shughuli zao iwe ni wakati wa jua na hata mvua. Akiongea Bungeni Jijini Dodoma leo May 04, 2026, Tale amesema “Hatuwezi kila siku tunazungumza arena halafu Waziri amesimama hapa amemaliza maneno yake yote sijaona akizungumza bajeti ya arena, Ndugu yangu Makonda leo kama Mama anakuombea dua nyumbani mshahara wako naondoka nao, mshahara wako naondoka nao Mwana FA” “Ndugu zetu wa Dar City wanakwenda kufanyia mazoezi Zanzibar, Mzenji anapambana, Taifa kwanza udugu baadaye , nataka kuona arena inajengwa, uzungumze, usimame na utupe ushahidi Vijana wamechoka, msimu huu wa mvua Watu wanaoigia mashehe mvua isinyeshe Watu wapigane mvua” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
17
4
143
16.3K
sultan
sultan@chapanombombwi·
Huyu mzee wakimpa tena uchaguzi ujao, atairudisha Kenya ilipokuwa kabla ya 2007. Amini ninachowaambia!
sultan tweet media
Indonesia
13
17
109
2.8K
MWENYENCHI 🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿@mwenyenchii·
Chande kama taifa hatutakusahau kwa kejeli uliyotuonesha, ushahidi ulikuwepo na uliukusanya wewe hadharani, hawa watu walipigwa risasi na Polisi, unakuja kusema humjui muuaji?
Indonesia
8
48
189
8.1K
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
Dalili za kuwa shoga nikumpigia goti mwanamke tena Ambae ni Muwaji huu usenge apeleke huko kwa WAJINGA wenzake Lwanda mwanalieni mPuzi huyu analiaibisha TAIFA la lwanda
NKENJA_7 tweet media
Indonesia
24
4
51
8.3K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@millardayo Weeee @didierdrogba Why are You meeting up with the killer and legitimizing the illegitimate government We, Tanzanians are not HAPPY with you
Maureen C tweet media
English
0
0
0
7
millardayo
millardayo@millardayo·
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na mshambuliaji wa kihistoria Chelsea Didier Yves Drogba Tébily amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakao shuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 #MillardAyoUPDATES
Indonesia
86
35
351
40.7K
Maureen C
Maureen C@MaureenC2025·
@zed_officially Umeongea point 💯 Weeee @didierdrogba Why are You meeting up with the killer and legitimizing the illegitimate government We, Tanzanians are not HAPPY with you
Maureen C tweet media
English
0
0
0
13