ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ

5.7K posts

ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ banner
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ

ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ

@MaverickAds

Mtanganyika - A True Patriot, Independent-Minded. Man Utd & Young Africans SC Fan. BSc (Hons) MSc.

Tanzania Katılım Kasım 2020
401 Takip Edilen465 Takipçiler
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
13
122
509
19.7K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨 Michael Carrick in four months as Man United interim manager… ➖Defeated Pep Guardiola’s Man City. ➖Defeated Mikel Arteta’s Arsenal. ➖Defeated Arne Slot’s Liverpool. ➖Defeated Liam Rosenior’s Chelsea. ➖Defeated Unai Emery’s Aston Villa.
Fabrizio Romano tweet media
English
2.8K
13.3K
90.5K
2.2M
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
JUMA MIRIGO
JUMA MIRIGO@JumaMurigo·
TANGANYIKA INASALITIWA NA WATANGANYIKA WENYEWE. HISTORIA ITAWAHUKUMU.
JUMA MIRIGO tweet media
Indonesia
18
69
447
15K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
Manchester United
Manchester United@ManUtd·
⭐️ Monday: Stands out against Brentford ✍️ Thursday: Signs new contract ⚽️ Sunday: Late winner against Liverpool Quite the week for Kobbie 😮‍💨
English
429
4.6K
31.6K
362.4K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Mwaka huu mtaona mbumbu wote Huyu ni Daktali wa online ambaye ajawahi kanyaga chuo chochote Tusipoamka tumeisha Tutalelewa watu wanafanana na mteuzi TISS ile mbwa kabisa nyie
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
15
25
147
10.6K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TUME YA JAJI CHANDE WANAPENDA NAMBA ILA HAWAJUI HESABU Kwenye report yake anasema watu 758 walitekwa, watu 113 walipatikana ila watu 445 hadi leo hawajapatikana. Sasa ukipiga hesabu watu 758-113 = 645 Hivyo watu ambao hawajapatikana hadi leo ni 645 Sasa hawa watu 445 Chande aliwatoa wapi? Kwanini kapunguza watu 200+ kwenye list ya waliotekwa na kupotezwa? Wamepika report, wamejaza mambo ya uwongo mpaka wamejipiga ngeta.🚮🚮🚮
Indonesia
5
88
347
13.5K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
Man’s NOT Barry Roux
Man’s NOT Barry Roux@AdvoBarryRoux·
Who’s this Zimbabwean man always popping up with African presidents like Mnangagwa, William Ruto, Museveni, Hakainde Hichilema, Samia Suluhu Hassan, Cyril Ramaphosa, Peter Mutharika, What exactly is his role that allows him to be consistently seen alongside African Presidents?
Man’s NOT Barry Roux tweet mediaMan’s NOT Barry Roux tweet media
English
498
442
2.2K
351.8K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ@MaverickAds·
@joeselasini Dah! Itakuwa ndiyo sababu waliyomtoa ni waovu sana... Ukinyooka tu wanakudhuru wanataka machawa tu. Yaani walimkata Mzee Adadi wakamweka Mwana FA🫢
Indonesia
0
0
2
154
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Mimi nakumbuka kwa kuwa nilikuwa ndani ya bunge. Mkiti wa kamati hiyo alikuwa Mhe Adadi Rajabu aliyekuwa mbunge wa Muheza na DCI mstaafu. Haishangazi labda ndio maana bunge lililofuata CCM walimbwaga pamoja na kushinda kura za maoni.
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX

Wangapi wanafahamu kwamba baada ya shambulio la Tundu Lissu, 07/09/2017, Spika aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge kufanya uchunguzi, na baada ya ripoti kukamilika, ikatengewa tarehe ya uwasilishwaji. Siku hiyo ilipofika, ghafla, ripoti ile ikaondolewa kwenye ratiba!!

Indonesia
4
14
96
9.4K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ@MaverickAds·
@mwanasoka1 @joeselasini Ibara ya 54(1) na Ibara ya 55(1) za Katiba ya Tanzania ndizo zinazoweka msingi wa Rais kuteua mawaziri kutoka chama kilichoshinda uchaguzi pekee bila kingine.
Indonesia
1
0
3
46
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Tarehe 29.10.2025 inawatesa sana. Huyu hawezi kuubeba upinzani kwa sababu si mpinzani ni wa Ikulu. Kumteuwa ili kuipumbaza dunia kwamba kuna mshikamano na marithiano na upinzani ni upuuzi. Dunia inajua nguvu ya upinzani iko CHADEMA. Mnatakiwa kuchutama sio kutapatapa.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
23
81
471
16.9K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hatuna mashaka Baba Bagonza; kwa sasa inanuka na kila anaejaribu kuotetea au kufafanua uongo iliyotoa ananuka zaidi.
joseph_selasini tweet media
Filipino
5
71
539
14.3K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ@MaverickAds·
@lifeofmshaba Mwache akomeshwe...Na yeye mpigaji pia yaani bado anadai bilioni 300 na kitu kwa order hiyooo. Nchi ya ovyo sana hii
Indonesia
0
0
2
607
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Tunawaambia kila siku hauna aliyesalama mbele ya CCM, hata ukiwa mwana CHAMA mtiifu namna gani kuna siku wanakulamba Huyu mzee amepigania maisha miaka yote, kupitia humo humo CCM wanampa vitenda na miradi, Leo wamemfirisi na kumtoa kwenye jengo na wamechukua jengo lenyewe CCM wakishajua una mali wanaanza kukusaka kuichukua, wanafanya hivi kwa watu wote, wananchi wa kawaida na wafanyabiashara hata wana CCM sasa ushenzi kama huu kwa mtu aliyewatengenezea kofia mnategemea mtu mwingine watamfanya nini? Miaka yote CCM uwa haina utaratibu wa kulipa madeni, ni wahuni, kuna majangili kibao na yana control mpaka mifumo ya bank
Indonesia
40
83
343
21.7K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ@MaverickAds·
The Chanzo: ''Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu waliokataa kujitambulisha, na kumpeleka kusikofahamika. “Wameondoka naye hatujui kapelekwa wapi. Wametoka huko watu saba wakaja,mimi nashangaa watu wanakimbia mvua au wanakimbia nini? Moja kwa moja wanamfuata Damur na mimi nimekuwa hapa. Wakamshika, wawili wanamshika na mmoja akatoa pingu mfukoni akamfunga. Nikauliza kuna nini [wakasema] tutajua huko huko, nyie nani? Wakasema tutajuana huko huko,” anaeleza Lilian Swai mama wa Damour. “Kwa hiyo wakambeba watu watatu wakamshika, wakambeba wakamburuza mpaka kwenye gari. Mimi nikawa nataka kuingia na yeye huko, wananivuta wakanitoa nje.”
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ tweet media
Indonesia
0
1
1
19
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
The Economist
The Economist@TheEconomist·
Responsibility for Tanzania’s sham election and the bloodshed that followed it rests ultimately with the country’s president. Further instability is possible with Samia Suluhu Hassan in charge economist.com/leaders/2026/0…
English
65
133
274
29.4K
ΜⒶⓥεR丨ᑕⓀ retweetledi
The Economist
The Economist@TheEconomist·
Opposition politicians are behind bars. The media remain muzzled. Outsiders are unlikely to help. A pall of fear hangs over Tanzania. Samia Suluhu Hassan is taking her country down a ruinous road econ.st/42GOzD3 Photo: Xinhua News Agency/Eyevine
The Economist tweet media
English
51
189
398
60.6K