Sabitlenmiş Tweet
JUMA MIRIGO
19.8K posts

JUMA MIRIGO
@JumaMurigo
Mwanaharakati wa haki za binadamu Muhubiri injili ya Yesu iletayo uzima Katiba mpya ni hitaji la sasa
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2017
998 Takip Edilen3K Takipçiler
JUMA MIRIGO retweetledi
JUMA MIRIGO retweetledi

Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour


Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

Huwaga nikisikia Mtu katekwa naziwaziaga sana familia zao.
Ndugu zetu wanapitishwaga kipindi kigumu sana.
Mungu akawe na NINJA na familia yake kipindi hiki KIGUMU.
Lazima tusimame kukema haya mambo ya KUTEKANA sio ubinadamu.
#FreeNinja

Filipino
JUMA MIRIGO retweetledi
JUMA MIRIGO retweetledi

Mmeuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29 na ndugu zetu wengine mpaka leo bado wanauguza majeraha ya risasi na wengine mmewasababishia vilema vya maisha.🥹
Tangu Idd Amin Mama aingie madarakani hadi leo ameteka kupoteza watu zaidi ya 600 tena hii ni kwa mujibu wa Report wenu yenyewe.
Lakin bado hajamaridhika mnaendelea kuteka na kupoteza ndugu zetu, imetosha sana mwachieni @Ninja_Damour na watu wote mliowateka.
#FreeNinjaDamour #FreeDamour

Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

Leo umetimia mwaka mmoja tangu Mdude Nyagali avamiwe nyumbani kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ambao walimjeruhi na kisha walimteka na kuondoka nae mpaka leo hatujui wamempeleka wapi.
Tukikomboa nchi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga watatuambia waliko mpeleka Mdude.

Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

Free @Ninja_Damour hii nchi inaogopesha sana mamae💔 tupaze sauti kwa mwanetu awe huru wazee.

Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

Hii ilikuwa jana usiku baada ya Profesa J kutambua uwepo wa Mhe. @HecheJohn kwenye Show ya Bongo Fleva Honors
Umati ukalipuka kwa shangwe watu wakaanza kuimba Hecheee!… hecheeeee!.. hecheee!…
Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

#Pichani anaitwa Damuru ni mkazi wa Mburahati, ametekwa mida hii na watu wasiojulikana, watekaji walikuwa wamevaa musk nyeusi usoni.
Walikuwa na gari ambalo mbele lilikuwa na plate number 125 DFPA na nyuma namba 28957

Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

‼️#EnforcedDisappearance #Tanzania ‼️
This young man called Damuru has just been abducted in a white Landcruiser with fake plate numbers 1257DFPA, and additional number 28957
@tanpol has to be hold responsible for this!
Abductions continue under @SuluhuSamia
Cc @WGEID @volker_turk @UN_HRC



English
JUMA MIRIGO retweetledi

@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi
JUMA MIRIGO retweetledi
JUMA MIRIGO retweetledi

JUMA MIRIGO retweetledi
JUMA MIRIGO retweetledi

Yaani sasa hivi wananchi wamekabia juu ndio anatoa hii milio
Lakini chini kwa chini anateka watu kwa kasi sana,
Lissu yuko rumande kwa amri za Samia
Hivi uwa anatuchukulia je huyu? yeye anatumia tofauti za Hoja kuteka watu, kufunga watu , kuua kupitia wasiojulikana na mwanae Abdul
Kama kuna mtu anasikilia huyu mtu ajipange, huyu hakuna kitu anamaanisha akitoka hapo anakiwasha upya,
Tukiachia hapa tuliposhikia akapata nafuu kidogo tu atakuja kushambulia tena kwa kasi mbaya sana
Hizo tofauti za hoja na SIASA zimeondoa HAKI nchini, watu wanafanyiwa mambo ya ovyo sana

Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Indonesia
JUMA MIRIGO retweetledi

HAKIKA RC MTAKA UAMINIFU umetupiga chenga. TUTATESEKA sana . Tunaambizana uongo hata kwa yale yaliyo wazi kwa wengi kwamba yalitokea. Hivyo hasira zinapanda, vidonda vinatoneshwa upya badala ya kupona. Halafu tunadanganyana tutaliponya taifa?. HOW?? Kwa kutafuta kafara badala ya KUTUBU NA KUJIREKEBISHA?
Filipino






