Sabitlenmiş Tweet
Mbeya City Fc
19K posts

Mbeya City Fc
@Mbeyacitycf
-unoffcial Account🥱 -No content.✍️ WANA KOMA KUMWANYA💜🤍
Mbeya, Tanzania Katılım Haziran 2021
391 Takip Edilen46.9K Takipçiler

@TriciaAbou Nimekuja DM asubuhi sanaa hujanijibu..niikua nataka huu uzi.💔
Indonesia

Mbeya City Fc retweetledi
Mbeya City Fc retweetledi

Manchester United are the 2012/13 Barclays Premier League champions! #mufc
English
Mbeya City Fc retweetledi

Mbeya City Fc retweetledi

Hii picha imenikumbusha, Shinyanga 2022, nilikuwa kwenye Bodaboda naenda Lyakale Hotel Shinyanga pale Lubaga, kumbe bwana mguu niliweka kwenye Exhaust Pipe, kiatu cha 90k kikaungua, ile nashuka tu nasikia mguu wa moto, namwambia Boda pikipiki yako imeunguza kiatu changu sikulipi, si akamind, Tukaanza kuzinesa yule Msukuma nilimchimba mkwara kama nachomoa Bastola kiunoni alitoka Nduki mamiyake 😄 🤣

Filipino
Mbeya City Fc retweetledi
Mbeya City Fc retweetledi

@IamGabby_01 Sitopiga..ila nitaingia ndani nikaone nipokaa miezi 9 🤒
Eesti

@CoolestDudeOnX @francismtey Em rudia tena kusoma alichokiandika mzee.

@francismtey 1. Satan is not omniscient. Ukisoma Biblia, unagundua imeandikwa na mamlaka ambayo inajua mambo yote ie Past, Present and Future. Mamlaka iliyo nje ya space and time.
2. Hilo jina "Baba wa uongo" lipo ndani ya maandiko yenyewe. Yohana 8: 44. Was satan dissing himself?🤔
Filipino

What If SHETANI Wa
Kwenye BIBLE
Ndio Kiongozi Wa Dini
Zote Na Kina Kinachoendelea
Ndani Ya DINI Hizo...
Ukiniuliza Francis Kwanini
Unasema Hivyo...
Nitakwambia: Kuwa
Wote Tunakubaliana...
Shetani ni "Baba wa UONGO"
Master of Deception...
Na wote Tupo ndani ya Dunia...
ambayo yeye Ndio Mtawala.
sasa Swali ni Je,
Unauhakika Gani
Kuwa yeye Sio Aliyewadanganya
Waanzilishi Wa DINI na Yeye
Ndio Anaabudiwa ndani ya DINI Hizo.
Ukikataa Nitakuuliza;
Shetani Kudanganya/Kuhadaa
Anafanya Hiyo Sayansi Kwa Kinani
hasa>>...? Jibu ukiwa Calm... acha Mihemko 😆
Filipino

















