Mchochezi Pro

1.9K posts

Mchochezi Pro banner
Mchochezi Pro

Mchochezi Pro

@MchocheziPro

Governments will come and go, the state is there to stay.

Tanzania Katılım Eylül 2019
127 Takip Edilen80 Takipçiler
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Taivina hachekeshi, yeye anaangalia kibunda tu. VunjaBei wa kabla ya Oct 29 na huyu wa leo ni yuleyule, unadhani kitu gani kilimsukuma Taivina kufanya naye kazi? Jibu ni moja tu, PESA! Hawa watu kama walinunuliwa kuchochea vurugu, wanaweza nunuliwa yeyote, tumia akili zako..
Mchochezi Pro tweet media
Indonesia
2
7
7
579
Mchochezi Pro retweetledi
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
Tanzania's 2026/27 Mining Budget Sets Ambition for Critical Minerals Leadership and Top-4 Global Niobium Producer Status - TanzaniaInvest tanzaniainvest.com/mining/mining-…
English
0
3
3
111
Mchochezi Pro retweetledi
Magogoni Daily
Magogoni Daily@magogonidaily·
Chama Imara; Taifa imara. Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dar es Salaam leo.
Magogoni Daily tweet mediaMagogoni Daily tweet mediaMagogoni Daily tweet media
Indonesia
0
9
13
359
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Treni ya SGR inaendelea kurahisisha maisha ya Watanzania. Zaidi ya abiria milioni 1.3 wamesafirishwa na mradi huu umezalisha ajira 206,579 kwa Watanzania. SGR imepunguza muda wa safari na kuongeza tija ya uzalishaji, ni wazi kwamba Rais Samia anaipeleka Tanzania nchi ya ahadi.
Mchochezi Pro tweet media
Indonesia
3
16
27
1.3K
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Kiwango cha upumbavu cha Chadema kinatisha sana. Fikiria, wakati US ilipovamia Nigeria na Venezuela, Mange akawashika akili wapige kampeni kumwomba Trump avamie TZ 😂. Juzi US imevamia Iran, eti wametuma maombi tena kwa Trump avamie TZ. Imagine, hiki ni chama kinataka dola. SAD!
Mchochezi Pro tweet media
9
9
13
988
Mchochezi Pro retweetledi
George Rugambwa
George Rugambwa@georgerugambwa·
Chadema ni chama cha kigaidi.
Eesti
4
7
18
6.7K
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Sauti kutoka Chadema za kumlilia Banjoo hazina chembe Demokrasia wala kupigania haki hata chembe. Ni sauti za maslahi ya ushirika haramu uliodumu kwa zaidi ya miaka 20. Nani asiyejua Banjoo alikuwa jambazi na muuwaji, na alitumia fedha za wizi kusupport shughuli za CDM Arusha?
Mchochezi Pro tweet mediaMchochezi Pro tweet media
Indonesia
2
3
4
1.1K
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Binafsi sijawahi kuona watu wapumbavu kama CHADEMA. Wanasema Oct. 29 hakukuwa na uchaguzi, lakini at the sametime, wametuma barua AU kulalamikia uchaguzi Oct. 29 kwamba haukuwa wa haki na usawa. Mbaya zaidi, uchaguzi wanaoulalamikia waligoma kushiriki. UPUMBAVU!!!
Mchochezi Pro tweet media
Indonesia
10
13
18
2.4K
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Through the Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), the government has successfully provided crucial legal services to 2,698,908 citizens across various regions. A massive step toward strengthening equal rights and justice for all in Tanzania.
Mchochezi Pro tweet media
English
0
5
6
135
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Bwana Mdogo Wakili Msomi Nassoro Katuga anajua kucheza na chembe za Mhaini hadi mhaini anasema hajala. Yani ameona kesi ngumu hadi akaona the solution hapa ni kudai msosi tu hakuna namna.. 😂😂
Mchochezi Pro tweet media
Indonesia
23
16
27
3.5K
Mchochezi Pro retweetledi
Mchochezi Pro retweetledi
Kuringe
Kuringe@tabasokuringe·
🚨𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐬𝐡𝐞𝐫𝐢𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐥𝐢𝐢𝐢!!! Hoja zote za mhaini zimepigwa chini isipokuwa hoja moja ambayo Mahakama imesema haina mashiko ambayo haina msingi wa kisheria wa kuathiri mwenendo wa kesi ya msingi kwa upande wa mashtaka. Mwalimu wa sheria matopeni!!! 🤣🤣🤣
Indonesia
4
14
13
1K
Mchochezi Pro
Mchochezi Pro@MchocheziPro·
Mlivyo wajinga kila mkifika Mahakamani mnaimba "Rais", "Rais", "Rais"...na kumpa majina yote ya kishujaa kama 'Mwalimu wa sheria'.. lakini akitoka hapo anakwenda kulia na kutuma wazee kumuombea msamaha. Anakosea sana kwa sababu anayemtumia watu hajamtuma aongee mashudu,,
Mchochezi Pro tweet media
Indonesia
33
20
38
3.8K