
Kesho Mei 4, 2026 Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR atazungumza na waandishi wa habari.
Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM
Muda: 4:00 Asubuhi
Waandishi wote mnakaribishwa.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#TukutaneKilwa

Indonesia































