Mc T

610 posts

Mc T

Mc T

@Mct0258T

Katılım Eylül 2025
34 Takip Edilen6 Takipçiler
Mc T
Mc T@Mct0258T·
Dr @SuluhuSamia Mzee Nyerere aliyaona haya. Akasema bora wananchi wako wale unga wa njano kuliko kuwa na Balozi ya Mamlaka ya Israel hapa nchini. Unajisikiaje kuwa na Ubalozi ambao ungefanya kura ya maoni referendum; wananchi wengi wangetaka uvunje Ubalozi wana hawa wa Haram
LPG@Saltikopanza

@BryceMLipscomb The most brave army in the world

Indonesia
0
0
0
7
Mc T retweetledi
TranslateMom
TranslateMom@TranslateMom·
🚨 Language Support Update! 🚨 We now support subtitles and translations for: 🇺🇸 English (English) 🇪🇸 Español (Spanish) 🇫🇷 Français (French) 🇦🇪 العربية (Arabic) 🇯🇵 日本語 (Japanese) 🇷🇺 Русский (Russian) 🇵🇹 Português (Portuguese) 🇩🇪 Deutsch (German) 🇮🇩 Bahasa Indonesia (Indonesian) 🇵🇰 اردو (Urdu) 🇹🇷 Türkçe (Turkish) 🇨🇳 中文 (Chinese) 🇻🇳 Tiếng Việt (Vietnamese) 🇮🇳 हिंदी (Hindi) 🇧🇩 বাংলা (Bengali) 🇮🇳 தமிழ் (Tamil) 🇮🇳 తెలుగు (Telugu) 🇬🇷 Ελληνικά (Greek) 🇦🇱 Shqip (Albanian) 🇪🇹 አማርኛ (Amharic) 🇦🇲 Հայերեն (Armenian) 🇮🇳 অসমীয়া (Assamese) 🇦🇿 Azərbaycan (Azerbaijani) 🇷🇺 Башҡортса (Bashkir) 🇪🇸 Euskara (Basque) 🇧🇾 Беларуская (Belarusian) 🇧🇦 Bosanski (Bosnian) 🇫🇷 Brezhoneg (Breton) 🇧🇬 Български (Bulgarian) 🇲🇲 ဗမာ (Burmese) 🇪🇸 Català (Catalan) 🇭🇷 Hrvatski (Croatian) 🇨🇿 Čeština (Czech) 🇩🇰 Dansk (Danish) 🇳🇱 Nederlands (Dutch) 🇪🇪 Eesti (Estonian) 🇫🇴 Føroyskt (Faroese) 🇫🇮 Suomi (Finnish) 🇪🇸 Galego (Galician) 🇬🇪 ქართული (Georgian) 🇮🇳 ગુજરાતી (Gujarati) 🇭🇹 Kreyòl ayisyen (Haitian Creole) 🇳🇬 Hausa (Hausa) 🇺🇸 ʻŌlelo Hawaiʻi (Hawaiian) 🇮🇱 עברית (Hebrew) 🇭🇺 Magyar (Hungarian) 🇮🇸 Íslenska (Icelandic) 🇮🇹 Italiano (Italian) 🇮🇩 Basa Jawa (Javanese) 🇮🇳 ಕನ್ನಡ (Kannada) 🇰🇿 Қазақша (Kazakh) 🇰🇭 ភាសាខ្មែរ (Khmer) 🇰🇷 한국어 (Korean) 🇱🇦 ລາວ (Lao) 🇮🇹 Latina (Latin) 🇱🇻 Latviešu (Latvian) 🇱🇹 Lietuvių (Lithuanian) 🇱🇺 Lëtzebuergesch (Luxembourgish) 🇲🇰 Македонски (Macedonian) 🇲🇬 Malagasy (Malagasy) 🇲🇾 Bahasa Melayu (Malay) 🇮🇳 മലയാളം (Malayalam) 🇲🇹 Malti (Maltese) 🇳🇿 Māori (Māori) 🇮🇳 मराठी (Marathi) 🇲🇩 Moldovenesc (Moldovan) 🇲🇳 Монгол (Mongolian) 🇳🇵 नेपाली (Nepali) 🇳🇴 Norsk (Norwegian) 🇳🇴 Nynorsk (Nynorsk) 🇫🇷 Occitan (Occitan) 🇮🇳 ਪੰਜਾਬੀ (Punjabi) 🇵🇰 پښتو (Pashto) 🇮🇷 فارسی (Persian) 🇵🇱 Polski (Polish) 🇷🇴 Română (Romanian) 🇮🇳 संस्कृतम् (Sanskrit) 🇷🇸 Српски (Serbian) 🇿🇼 Shona (Shona) 🇵🇰 سنڌي (Sindhi) 🇱🇰 සිංහල (Sinhalese) 🇸🇰 Slovenčina (Slovak) 🇸🇮 Slovenščina (Slovenian) 🇸🇴 Soomaali (Somali) 🇮🇩 Sunda (Sundanese) 🇹🇿 Kiswahili (Swahili) 🇸🇪 Svenska (Swedish) 🇵🇭 Tagalog (Tagalog) 🇹🇯 Тоҷикӣ (Tajik) 🇹🇲 Татар (Tatar) 🇹🇭 ภาษาไทย (Thai) 🇹🇴 བོད་སྐད (Tibetan) 🇹🇲 Türkmen (Turkmen) 🇺🇦 Українська (Ukrainian) 🇺🇿 O'zbek (Uzbek) 🇬🇧 Cymraeg (Welsh) 🇮🇱 יידיש (Yiddish) 🇳🇬 Yorùbá (Yoruba) Thanks for using our service! 🙏
Català
32
64
304
1.8M
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@EduTalkTz Democracy + War + Science + Technology + Homo sexual = No God Ethics + Science + Technology + Homophobic = Belive in God
Mc T tweet media
English
0
0
0
19
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@Jambotv_ @ACTwazalendo @zittokabwe Funga balozi ya Israel hapa tz. Mamlqka ya juu iwajibike dhidi ya kufujwa kwa kasi ya mwanga ruzuku zitolewe kwa mashirika ya Ummah yanayohesabu hasara kila mwaka. Hii ni wastage of revenue. Mwisho; Uafrika, Ujamaa, Usekyula na Klepkrasia mnayodai ndio Demokrasia vimeshindwa
Indonesia
0
0
0
16
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo , Zitto Kabwe @zittokabwe , ametoa wito wa dharura kwa serikali kuondoa tozo, kodi, na ushuru katika mjengeo wa bei ya mafuta ili kumnusuru mwananchi na gharama kubwa za maisha. Kauli hiyo imetolewa leo, Aprili 1, 2026, saa chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza ongezeko la kihistoria la bei ya mafuta linalofikia hadi Sh 900 kwa lita moja ndani ya mwezi mmoja. Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, ameandika, “Leo tumeamka na bei mpya ya mafuta. Bei tuliyoitegemea kufuatia mashambulizi yanayoendelea ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Kama ilivyo sehemu zote duniani bei imepanda sana na gharama za maisha zitakuwa kubwa sana. Serikali isaidiane na wananchi kubeba gharama hizi. Serikali iondoe tozo, kodi na ushuru katika mjengeo wa bei ya mafuta ili kumwezesha mwananchi kupata nafuu”. Naye, Isihaka Mchinjita @MchinjitaIR , Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara ameitaka serikali kutumia akiba ya mafuta ya miezi mitatu (Strategic Reserve) kurekebisha bei sokoni. Mchinjita amependekeza kupunguzwa kwa 50% ya tozo za mafuta, hatua ambayo itaondoa zaidi ya Sh 600 kwa lita na kuwasaidia wananchi kukabiliana na kupanda kwa bei ya vyakula na nauli. “Ongezeko la bei za mafuta la zaidi ya Shilingi 900 ndani ya mwezi mmoja ni kubwa sana, litasababisha kupanda bei za bidhaa na huduma muhimu kama usafiri na vyakula. Serikali ilisema ina reserve ya mafuta ya miezi mitatu vita kati ya Israel& Marekani dhidi ya Iran ilipoanza. Serikali iyatumie mafuta hayo ku-regulate bei na pia ipunguze 50% ya tozo za mafuta ambapo itaondosha zaidi ya sh. 600/- kwa lita. Ni vema serikali isibebe tu jukumu la kueleza kwanini mafuta yanapanda bali ioneshe ni kwa namna gani inawajibika kusaidia wananchi wake kukabili hali hiyo”, ameandika Mchinjita.
Jambo TV tweet media
Indonesia
4
6
40
3.2K
Mc T retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Wanaowafukuza Wamasai Ngorongoro ili Mbuga wawauzie ndugu zetu waarabu naomba Watajwe Humu waone AIBU repost 250
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Indonesia
4
33
198
8.5K
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@Elsukay0 Mambo mengi tunakwama kwa kuwa Maadili mengi yamezuiwa kimfumo yasishamiri na kunawiri. Bali yamethibitiwa Kwasababu tu ya hiyo hali ya kutofautiana ktk maadili yetu na hivyo ktk kufikiri kwetu
Indonesia
0
0
0
3
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@Elsukay0 Tunapaswa kubadili Gia huko huko angani kwa kuanza tupiganie Maadili yetu. Na si kupigania Demokrasia ambayo kimsingi ni Kleptocracy. Hii itafungua fursa kwa wale wenye maadili mema ya kiuchumi kama jamii ya Bohora kuthibitishia dunia kuwa maadili ni nyenzo sahama ktk maisha
Indonesia
1
0
0
3
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
🇹🇿 Bongo tuna Mafuta 🇹🇿Bongo tuna Madini 🇹🇿Bongo tuna Gas 🇹🇿Bongo Vivutio vya utalii 🇹🇿Bongo tuna Bandari 🇹🇿Bongo tuna maziwa mito na bahari Kwanini sasa Taifa halipigi hatua za kimaendeleo?
Filipino
128
62
463
24.9K
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@joeselasini Tena ktk wiki ambayo mwakilishi wetu wa ummah CAG katoa ripoti juu ya makusanyo yetu ya kodi wanavyozitumia hawa tuliowaksbidhi mamlaka waamue kwa niaba yetu. Kuna watu wanajua kupoteza mwelekeo ya mambo yanayo matter kwa wakati sahihi.
Indonesia
0
0
1
8
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Dharau za Wazanzibar kwa Watanganyika zimetoka ktk kero za Muungano kuhamia kwenye dini. Haya matusi sidhani Mashekhe wa Tanganyika wataendelea kuuchambua Ukristu na kuacha hili lipite. Kwani Muungano Una faida gani kwa sasa? Ulinzi? Kombora linaweza toka Marekani hadi Dodoma.
Indonesia
26
65
219
23.6K
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@UMWEZARUHIMBI @EduTalkTz Pesa hizo zingewekezwa kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu hawa madereva 500 wangeipatia pato nchi mara 100 zaidi.
Indonesia
2
0
0
4
RAWPACK
RAWPACK@UMWEZARUHIMBI·
@Mct0258T @EduTalkTz Haiwezekani. Fikilia kabla. Hayo magari yanayobeba hiyo mizigo,ya kina nani? Miradi hiyo mpaka itiki,ilikuwaje? Wakiipa treni hayo maroli yataenda wapi? Na ni mengi sana ujue? Bora ingejengwa mjini kati ikatumika kama mwendokasi. Kwa nje,tunadanganyana
Indonesia
2
0
0
25
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Niliwahi kuuliza hili swali⬇️ C&P MRADI WA MAENDELEO AU CHUMA ULETE?🤔 Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Tanzania imetumia trillion 11 kujenga SGR mpaka Mwanza — PESA YA MKOPO. Kwa mujibu wa TRC, kati ya June 2024 na April 2025, SGR iliingiza billion 66, so tukadirie kwamba mapato ya SGR ni Billion 100 kwa mwaka. Kwa mapato ya billion 100, ili SGR iweze kukusanya trillion moja, sawa na billion 1,000, itahitaji miaka 10. Hii ina maana pia ili SGR ikusanye trillion 11, gharama ya ujenzi wake, itahitaji kumantain mapato ya billion 100 kwa mwaka kwa zaidi ya miaka mia moja na kumi (110). Tukifactor riba ya deni la SGR, kupungua kwa thamani ya shilingi, lakini pia mradi kuchoka; SGR itahitaji kumantain mapato ya billion 100 kwa zaidi ya miaka 130-150 ili kulipa deni lake. Now, kwa sababu hakuna taasisi duniani inakopesha kwa maturity ya muda mrefu kiasi hiki, tafsiri yake ni kwamba serikali itatumia mapato kutoka vyanzo vingine Ili kulipa deni la SGR. Hoja ya msingi hapa ni kwamba serikali haikukopa kujenga SGR kwa kutegemea kulipa mkopo kwa mapato ya SGR. Hoja inaendelea kusema SGR ni huduma na lengo kuu la kujenga mradi ni kuongeza tija katika usafirishaji na kuchochea productivity kwenye shughuli nyingine za kiuchumi. Hii ni hoja nzuri, lakini inahitaji scrutiny kidogo. TUJIFUNZE KWA TAZARA NA RELI YA KATI. Mwaka 1970, serikali za Tanzania na Zambia zilikopa zaidi ya dola milioni 400$ kwa serikali ya China kujenga reli TAZARA. Tulilipa hili deni kwa muda fulani kisha tukaanza kulimbikiza baada ya mradi kushindwa kuwa na tija. Mwaka 2011, serikali ya China ikaamua kutusamehe zaidi ya asilimia 50% ya malipo ya deni baada ya malimbiko kuwa makubwa na mradi kushindwa kuzalisha. Katikati hapo tukainject mabilioni ya mikopo mingine kutoka Benki ya Dunia na kwingineko ili kuongeza tija kwenye mradi lakini ikashindikana. Mwaka 2025, tukakiri kwamba mradi ni mzigo, unaendeshwa kwa hasara ya hali ya juu, na hatimaye tukaurudisha kwa Wachina wale wale walioutengeneza kwa mkopo. NINI KILICHOFANYA TAZARA NA RELI YA KATI KWA UJUMLA ZIKOSE TIJA?? Ukifuatilia taarifa mbalimbali za hizi reli utagundua kwamba tatizo kuu lililopo ni kukosekana uzalishaji wa kuzifanya reli hizi ziexploit capacity yake. Kwa mfano, japo TAZARA ina uwezo wa kubeba tani milioni tano kwa mwaka, imekuwa ikibeba asilimia 4% tu ya huu mzigo kwa mwaka; yani chini ya tani laki tatu. Mwaka 2023 TAZARA ilisafirisha tani 251,264 tu, sawa na asilimia 5.02% ya uwezo. Kwenye report ya kamati ya bunge miundombinu 2020, kamati ilionesha wasiwasi wa TAZARA kufilisika na kuomba serikali iingilie kati angalau kwa kuipa mtaji wa kujiendesha, kwa sababu haikuwa inatengeneza faida. Vivyo hivyo kwa reli ya kati, napo ina uwezo wa kubeba tani millioni tano kwa mwaka, taarifa ya Central Coridor Transit inasema imekuwa ikibeba asilimia 3% tu ya capacity yake. Sasa swali la msingi linakuja hapa, SGR inaenda kubeba freight ipi ili kuongeza tija kwenye shughuli za kiuchumi??? Kuna hoja nyingi nzuri sana. Kwa mfano, kuna hoja kwamba SGR itapunguza gharama za kusafirisha mizigo kwa zaidi ya asilimia 40% na kuongeza ufanisi kwa kufanya usafirishaji kuwa wa haraka, etc. Zote hizi ni hoja nzuri, hata hivyo hazijibu swali la msingi linalosema NI MZIGO UPI UTAKAOKUWA UNASAFIRISHWA NA SGR kiasi cha kuwezesha kugenerate mapato ya kulipa deni la ujenzi wake?? Ni uzalishaji gani unaofanywa kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Kigoma, na sehemu nyingine za pembezoni utakaokuwa na kiwango cha kuipa SGR tija? Kwa wakati huu, wastani wa uzalishaji wetu wa mazao ya kilimo nchi nzima upo hivi (kwa mujibu wa sensa ya kilimo). Mihogo - Tani milioni 1.7 Ndizi - Tani milioni 2 Pamba - Tani laki 3 Alizeti - Tani laki 5 Karanga - Tani laki 6 Maharage - Tani laki 6 Viazi vitamu - Tani laki 5 Mtama - Tani laki 6 Mpunga - Tani milioni 3.4 Mahindi - Tani milioni 6.5 Korosho - Tani laki 3.5 Je, uzalishaji huu unaendana na uwekezaji wa SGR?
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
12
27
114
9.1K
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@UMWEZARUHIMBI @EduTalkTz Moja ya jukumu la serikali ni kupunguza ughali wa maisha na kuongeza ajira. Usafiri wa treni kwa kawaida ni wa gharama nafuu ukilinganisha na malori. Dangote pekee ana malori zaidi ya 500. Pesa yote tunayoipata ya kigeni tunamnunullia yeye diesel. Ni hasara kwa taifa
Indonesia
3
0
0
14
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@HecheJohn Inatafalarisha na kisha najiuliza ni jamii gani iko 85% ya watumishi wote wa Ummah tokea uhuru wa nchi hii. Kama kweli wana weledi kwann waendeshe mashirika kwa hasara wakati wale wanaoambiwa hawana weledi wanaendesha kwa faida. Tuache uchoyo na ubaguzi nchi hii ni yetu sote
Indonesia
2
0
11
4.5K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
TTCL ndio wenye mkongo wa Taifa. TTCL wanawauzia Voda, Tigo , Airtel, Halotel na wengine wote Internet. Voda, Tigo, Airtel na Halotel wanawauzia wananchi mawasialiano na internet wanatengeneza faida ya kutisha. TTCL mwenye mkongo, wafanyakazi wa umma, magari ya umma , Ruzuku nk. TTCL anaewauzia hao wote internet apate hasara ya bilioni zaidi ya 700.. Na wananchi wapo kimya tu!!!!
Indonesia
145
567
3.1K
96.6K
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@BrendaRupia @TunduALissu Tatizo wanaokandamizwa wote ni NYUMBU. Wako Mashekhe kwa zaidi ya miaka 25 wako lwenye mateso ya kubambikiwa kesi na kukaa jela zaidi ya miaka 10. Leo hii nyumbu chadema hawana la kufanya, speedy inaendelea kupungua. Wauguzi wameshaanza kumchoka mgonjwa. Unganeni nyie nyumbu!
Indonesia
0
0
0
23
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@AmonNtinda Makundi yote 2 ni sawa na Nyumbu Na kutokana na tatizo la kihistroria ambapo wakoloni waliwagawa watz kwa misingi ya dini Hii leo wafuasi wa nyumbu wa upande mmoja wanafurahia upande wa 2 wakiumizwa Na kwa kuwa wote ni nyumbu, hakuna wanachojifunza dhidi ya adui yao
Filipino
0
0
0
2
Mc T
Mc T@Mct0258T·
@AmonNtinda Kwa miaka 7 viongozi na Wafuasi wa chadema wamepitia ubaguzi na mateso makubwa kutoka kwa Regime. Lkn hakuna mtetezi ila wao wenyewe Unlikely jamii ya Waislamu imepitia mateso na ubaguzi zaidi ya hayo nusu karne sasa. Na hakuna aliyewatetea zaidi ya wao wenyewe Unajifunza nini
Indonesia
1
0
0
24
A M O N
A M O N@AmonNtinda·
Mwachieni huyu baba then ombeni radhi,,,,narudia tena, huyu baba hato kufa mpaka kusudi la Mungu litimie ktk taifa hili.
A M O N tweet media
Indonesia
2
75
401
3.7K