Charlzpa

6.5K posts

Charlzpa banner
Charlzpa

Charlzpa

@shipugo

instant follow back, friendly cheerful Person, Professional dealer.

Katılım Temmuz 2016
880 Takip Edilen481 Takipçiler
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@EduTalkTz Kwanza tupe tafsiri ya neno Mungu ndio tutajua kama haya maswali yako yana validity yoyote
Indonesia
1
0
0
94
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mdau: We jamaa, Mungu aliumba ulimwengu na kila unachokiona, haikustaajabishi? Mimi: Hapana, ili nikimjua aliyemuumba huyo Mungu aliyeweza kuumba vyote hivi aisee nitastaajabu sana. Swali 1: Kwa nini hoja inaishia tu kwenye chanzo cha ulimwengu na kuhitimisha kuwa ni Mungu na sio chanzo cha huyo Mungu?? Tumesahau yale maswali ya Lawino kwenye Song of Lawino and Ocol? Lawino aliuliza, yeye Mungu alitoka wapi? Alikuwa wapi wakati anaumba ulimwengu? Akili au mawazo ya kuumba ulimwengu alitoa wapi? Swali 2: Tukishasema na kuamini CHANZO NI MUNGU au chochote, then what?🤔 Faida yake ni nini haswa kwenye maisha ya mwanadamu??
Indonesia
11
0
22
2.4K
PeeTAH
PeeTAH@Pierre88751351·
@shipugo Wala sayansi haijakataa Mungu,Wacha Mungu wengi sana ndo wanasayansi wa mwanzoni kabisa
Indonesia
1
0
0
28
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@EduTalkTz jambo la muhimu ni kwamba umekubali kuwa sayansi siyo Mugu. Kuhusu Daudi: sio muda umesema sayansi ndio mungu wa mwanadamu sasa niambie sayansi imefanya makosa ya mauaji ya kutisha mangapi, mungu gani anakosea? tafuta hekima na maarifa bro 😀
Indonesia
0
0
0
43
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@EduTalkTz wee jaama ni nani aliyekulazimisha kufuata muongozo wa Mungu, wewe ishi uonavyo vyema tengeneza moral framework yako na wanao ili muifuate hiyo. hapo ndo utajua kama utawaomba wanao msamaha au wao ndo wakuombe wewe hata kama umewakosea.
Indonesia
0
0
0
13
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@EduTalkTz Sayansi ni kitendea kazi (Tool/Instrument) cha binadamu ni kama kijiko, jembe nk. hivyo tools zetu haziwezi kuwa ndiye Mungu. Mungu Mwenyezi yupo nje ya Time, Space & Matter. Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu.................. kuwa mwenye hekima na ujuzi.
Indonesia
0
0
1
105
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Leo 6:30pm jioni, muda wa Marekani Mashariki, binadamu anategemea kurusha hii mashine, Artemis 2, kuzunguka mwezi na kurudi. Umeshawahi kujiuliza tungekuwa wapi leo kama tusingecheleweshwa na WABABE WA IMANI waliozuia fikra zote za udadisi na kulazimisha watu kumeza story za Mungu kama kweli pekee isiyopaswa kuhojiwa? Mungu wa mwanadamu ni sayansi, na kila siku tunajishuhudia hilo. Yule mwingine, iwe yupo au hayupo, hana mishe zozote na maisha yetu.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
52
5
70
5.4K
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@444holywitch uzito wa ushauri wa wazazi kuhusu maisha ya mtoto wao ni muhimu zaidi ukazingatiwa
Indonesia
0
0
0
3
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@444holywitch Labda hufahamu upendo ni nini. wazazi wake wapo sahihi, ushauri wao unatokana na upendo huohuo, na unasema afate moyo wake? moyo ni mdanganyifu kuliko vyote. wazazi wana uzoefu kuhusu mambo hayo wanamuonya mapema, apime na kuchunguza vema kabla ya kudharau wazazi.
Indonesia
2
0
2
57
888
888@444holywitch·
Asisikilize wazazi wake. Upendo una nguvu kuliko dini. Afate moyo wake unapotaka kuwa. Atachukiwa, ataombewa mabaya ili baadae wamwambie "Tulikwambia" ila mwisho wa siku alifata njia yake. Ishi maisha yako, tunaishi mara moja.
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth

“Dada nimepata mchumba ila ni muislamu. Niko ready kuslimu niache ukristo ila juzi alipokuja nyumbani kujitambulisha wazazi walimkataa hali iko ivyo nimechoka kabisa. Naomba ushauri maana home wameshikilia dini na wanasema nikipata mkatolic ndoa ni chapu” Familia ya X mnasemaje?

Filipino
4
4
32
2.2K
Daudi Emmanuel
Daudi Emmanuel@daudi10emmanuel·
Kuna watu hapa Twitter, wanadhani habari za Mfalme Daudi, Mfalme Suleiman na habari za Sodoma na Gomora ni hadithi tu Kwamba kaburi lililopo pale Israel sio la Mfalme Daudi na wana theolojia/wana Historia waliopita katika ardhi ya Sodoma kufanya tafiti ni wapumbavu
Indonesia
17
7
123
18.1K
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@444holywitch Hujasoma na kelewa, hukuumba mwanadamu ambaye hajakamilika the opposite is the case. anzia hapo kutoa povu tuone tunakusaidiaje
Eesti
0
0
1
187
888
888@444holywitch·
Anakuumba ukiwa hujakamilika kimakusudi kwasababu anajua kila kitu. Anajua kabisa hujakamilika so utafanya makosa, anakuumbia na kitakachokuchochea ufanye makosa na anakwambia kama unaniheshimu hakikisha hufanyi makosa na ukifanya makosa anakuchoma moto, tena wa milele. THINK.
Indonesia
9
12
127
5.4K
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@444holywitch @daudi10emmanuel kama anataka tuamini usemacho alete ushahidi vinginevyo aache kusambaza upumbavu. Kuna historical, archaelogical records zinazothibitisha ukweli wa biblical stories.
Filipino
0
0
0
48
888
888@444holywitch·
@daudi10emmanuel Matokeo yake ni yapi Kipara?? Zaidi vinabakia kuwa visa ambavyo vilitokeaga kwenye vitabu tu ila havijawahi kutokea na havitotokea realistically 😁
Filipino
2
0
1
1.2K
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@444holywitch kama unataka tuamini usemacho leta ushahidi vinginevyo acha kusambaza upumbavu. Kuna historical, archaelogical records zinazothibitisha ukweli wa biblical stories.
Filipino
0
0
2
514
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@EduTalkTz na hapohapo inasemekana? acha kuokoteza
Slovenščina
0
0
0
49
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Barabara ya MPANDA-KIGOMA imefungwa kwa muda. Mvua imeleta shida. Kulieleza hili ni kazi sana😁
Filipino
14
15
222
11K
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
@shipugo Imeandikwa huwezi kuomba mkate ukapewa jiwe,samaki ukapewa nyoka which means unachoomba kinajibiwa only if you believe in him ila mda huohuo maombi yasipojibiwa tunaambiana "Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili" seriously???
Filipino
1
0
0
29
Charlzpa
Charlzpa@shipugo·
@Celsius015 Haya hebu leta vilivyoandikwa vinavyokinzana na ukweli tuone, na huo ukweli unaousema ni upi
Filipino
1
0
0
19
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
@shipugo Bado sijaelewa kwasababu kila siku nahitaj kumuelewa ila mara nyingi vilivyoandikwa vinakinzana na ukwel nkiuliza watu wanadai nakufuru lakin naendelea kua na imani ipo siku ntapata majibu
Filipino
1
0
1
50