.

196 posts

.

.

@MelkMalima

. Katılım Mart 2012
372 Takip Edilen16 Takipçiler
.
.@MelkMalima·
@kasesco_tz Wameondoa tu Ilo neno ila ukifuatilia riba ipo ndani kitaalam.
Indonesia
0
0
0
2
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hiiizi Bank Za Kiislam Zinazokopesha Bila Riba Zinapataje Faida Mfano Amana Bank..?
71
65
731
44.5K
.
.@MelkMalima·
@tzrailways Sa hasara inatoka wapi?
Filipino
0
0
0
2
.
.@MelkMalima·
@softfinancetz Salary slip kwa mfanyabiashara.
Indonesia
1
0
0
3
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
4️⃣ 𝗡𝘆𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗠𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 Leseni ya biashara, salary slip, na nakala ya NIDA au pasi ya kusafiria na Passport size ndogo 2 ni nyaraka muhimu kwa maombi ya mkopo. Mwajiriwa, mjasiriamali na mfanyabiashara karibuni wote mikopo kwa ajili yenu ipo. #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
2
5
5
103
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Mafanikio huanza na jitihada ndogo ndogo zenye muendelezo. Anza wiki yako ukiwa na taarifa sahihi zitakazokufungulia milango ya fursa. @Softfinancetz tunakusogezea vigezo vya kunufaika na mikopo yetu ✅ Binafsi ✅ Biashara ✅ Vikundi ✅ Dharura #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
1
6
7
166
.
.@MelkMalima·
@zed_officially Mbona kama kuna nguvu kubwa kumtangaza huyu dada, kuajiri wafanyakazi 400 ndo uwe bilionea.
Indonesia
0
0
0
84
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Kwenye list ya matajiri Tanzania mara nyingi wanawake huwa hawatajwi kwenye magazeti mengi ila wapo matajiri wengine wakiwa na umri mdogo tu hao wanawake wanazo pesa nyingi sana. Mmoja wapo hao wanawake wakiwa kama wanahesabiwa kama namba moja kwa utajiri level ya wanawake 👇
𝗭𝗘𝗗 tweet media𝗭𝗘𝗗 tweet media
Indonesia
27
29
322
51.5K
.
.@MelkMalima·
@kapeto98 Mpe uhuru fundi akufanyie kazi yako vizuri.. gharama za ufundi waga ni ndogo sana, at least wana compaset kwenye vifaa..
Indonesia
0
0
0
6
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Kuna Fundi tumempatia Kazi Ya Kufanya, Akatupa Bei ya Vifaa. Muda wa kwenda Kuchukua Vifaa kuna Sehemu yeye Ndio Anataka tukachukue Vifaa, Sasa Sisi tukashauri Twende sehemu ambayo Ipo Karibu na Nyumbani. Kuuliza Bei Kwa Haraka Hataka Imepungua kama 500,000 kwenye Bei zake alitupatia. Naona Hana Raha Kabisa Kwanzia tulivyobadirisha Sehemu ya Kuchukua Vifaa. Kwani Hapaa Kosa Letu Ni Nini..?
Indonesia
58
28
394
43.1K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ninawapongeza na kuwatakia kheri wanawake wote katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake. Siku hii inatupa fursa ya kipekee ya kutambua, kujivunia na kusherehekea mafanikio tuliyopata, hasa katika elimu, afya, uchumi na uongozi. Siku hii inatukumbusha pia wajibu wetu wa msingi kwa waasisi wetu na kwa vizazi vya sasa na vijavyo; wa kuendelea kupanga na kutekeleza mipango ya kumwezesha mwanamke, ikiwa ni sehemu muhimu ya kazi ya kukomboa familia, jamii na Taifa kwa ujumla.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
92
126
460
72.5K
Selengei SIDAI 🔰
Selengei SIDAI 🔰@Selengeisidai·
Hii ni sasisho la moja kwa moja kutoka Mahakama! 😅 Inaonekana sehemu hii ya kesi inakazia shahidi P6 ambaye ni bodaboda kutoka Songea, akielezea jinsi alivyoshirikiana na Chama cha Chadema na jinsi alivyofuatilia matukio ya siasa kupitia mtandao wa YouTube. Sehemu ya kutilia maanani: Shahidi anatoa maelezo ya kina kuhusu ni lini alianza kushirikiana na Chadema (October 2024) na namna alivyopata kuunganishwa na viongozi wa chama. Anaelezea kuona hotuba za Mhe. Lissu na viongozi wengine akisema maneno kama “bila mabadiliko hakuna uchaguzi” na “tunakwenda kukinukisha.” Pia tunashuhudia jinsi teknologia (smartphone + internet + YouTube) inavyohusishwa moja kwa moja na ushahidi wa kesi.
Indonesia
3
3
22
15.9K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 13, 2026 Jana tuliishia Part 167 so leo tunaendelea na-; Part 168 Mahakama imeanza muda huu saa tatu na nusu. Mhe. Lissu anaingia akiwa amevaa kombati nyeusi. Sauti ya High Courttt inapigwa kila mtu anasimama na kelele za kumsalimia Mwenyekiti zinasimama kidogo. Majaji wanaandika kidogo pale mbele. Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude anasema yupo na Ajuaye, Katuga, Ignas, Cathbert na Winiwa na wote tunawakilisha Jamhuri na Mshitakiwa yupo. Sisi tuko tayari kuendelea na leo tumekuja na P6 yuko tayari, endapo Mshitakiwa atakuwa tayari. Mhe. Lissu anaulizwa na yeye anasema yuko tayari. Jaji Ndunguru: Naomba shahidi aje sasa. Shahidi analetwa kama Bangi kule mbele kwenye kibox hatumuoni chochote tunaona milango tu inafunguliwa sijui amevalishwa baibui.😂 Mlango wa kizimba umefunguliwa muda huu. Shahidi anaulizwa umri wake anasema miaka 24 na ni Mkristo so anaapishwa muda huu. Jaji anauliza nani atamuongoza? Anajibiwa ni Cathbert Mbiringe Wakili wa Serikali ndio atamuongoza. Anamuuliza unanisikia. Haya mkazi wa wapi? Mimi natokea Ruvuma Songea na kazi yangu ni Afisa Usafirishaji Bodaboda, nafanyia huko huko Songea shughuli zangu. Mwezi October 2024 ni mwaka ambao nilianza kushirikisha siasa za Chama cha Chadema. Wakili: Ulishiriki kivipi? Shahidi wa kificho P6: Nilianza kushiriki kwenye mikutano ya hadhara na kuwafuatilia viongozi mbalimbali wa Chadema na nikafanikiwa kuwafahamu Mhe. Lissu na baadhi ya Viongozi waliokuwepo Songea. Wakili: wakiwepo akina nani? Shahidi wa kificho P6: nilimfahamu Katibu wa Vijana Songea. Wakili: Alikuwa anaitwa nani? Shahidi wa kificho P6: alikuwa anaitwa Chiza au Mwamba wa Kigoma maarufu kwa jina hilo. Wakili: January 2025 unakumbuka nini? Shahidi wa kificho P6: Nilianza kuwa nimeshiriki siasa za Chadema na kuvutiwa kuwa mwanachama wa Chama hicho. Nikaanza jitihada za kutafuta viongozi waliopo Songea, nikamfuata kiongozi wa Vijana Chiza na kumueleza nia yangu ya kutaka kuwa mwanaChama. Wakili: Nini kiliendelea baada ya hapo? Shahidi wa kificho P6: Alinipokea na kunisifia kwa uamuzi mzuri. Akasema napaswa kuwa na kadi ya Chama, nilifuatilia hiyo kadi na nikaambiwa nisubiri mashine bado ni mbovu na ataendelea kunishirikisha kwenye shughuli za Chama. Wakili: Zipi hizo shughuli za Chama? Shahidi wa kificho P6: Sisi bodaboda huwa tunakuwa kwenye misafara ya Chama na bendera. Wakili: Tar. 04/04/2025 kilitokea nini? Shahidi wa kificho P6: Hiyo tarehe nikiwa sehemu yangu ya kazi pia nikiwa na simu yangu ya mkononi aina ya infinix smart 8 nikiwa naangalia mtandao wa Youtube. Wakili: Youtube ni nini? Shahidi wa kificho P6: ni mtandao wa kijamii ambao unamuwezesha mtu kutuma video, audio na maudhui mengine. Huyu Bodaboda wa miaka 24 anavyoelezea mambo unashangaaa ni kama anajibu essay huyu atapata tabu kwenye maswali. 😂 Anaendelea kuwa simu yake ilikuwa na internet na aliingia google kumuwezesha kuingia youtube. Shahidi wa kificho P6: Niliingia kwenye account ya Jambo TV nilifanikiwa kuona na kusikiliza hotuba aliyokuwa anatoa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema ambapo alionekana akihutubia watu akisema bila mabadiliko hakuna uchaguzi hivyo tunaenda kukinukisha. Tunakwenda kuvuruga Uchaguzi pia nilisikia na kuona akisema tunakwenda kukinukisha na yeyote atakayekuwa pamoja nasi tutakwenda nae na ambae hatataka tutamuacha pia alisema kama kuna mtu yeyote anatarajia kugombea asahau jambo hilo. Wakili: Pia akasemaje? Shahidi wa kificho P6: Pia hata mimi kugombea uenyekiti msahau pia akasema bila mabadiliko hakuna Uchaguzi. Wakili: Kingine kipi? Shahidi wa kificho P6: Pia akasema watasema tunafanya uasi ni kweli utakuwa ni uasi kwasababu bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Part 169 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
Eesti
29
431
1.2K
38.9K
.
.@MelkMalima·
@Sativa255 Piga block Hilo.
Filipino
0
0
0
17
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Muoneni huyu msenge anavyokurupuka. Msomi wa VETA Chang'ombe anayehadaa watu ni Jasusi. Yani kaona tu habari kakurupuka akidhani Marekani imefunga na kuhamisha Ubalozi wa Nairobi. Msaidieni kumuelimisha kwamba Marekani hawajafunga ubalozi bali watafunga ofisi kwa ajili ya kumbukumbu ya Martin Luther Jr. Na hii sio mara ya kwanza Marekani kufunga ofisi zake kwa ajili ya kumbukumbu ya matukio makubwa ya kitaifa. Na sio Nairobi tu hata ofisi za ubalozi wa Dar zitafungwa pia hiyo tar.19 kw ajili ya kumbukumbu ya Martin Luther King Jr. Huyu msenge kingereza kimempiga chenga akadhani Marekani inafunga ubalozi wa Nairobi na kuondoka zake. Jasusi la VETA akili kisoda. Hawa ndio MASHINERI ya CHAUMMA.🤣 TUTAKUWEPO🫵😎
SATIVA tweet media
Indonesia
58
53
446
46.1K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga. Tuchague upande tuacheni msimamo wa zamani wa kinafiki unaoitwa kutofungamana na upande wowote hali inayofanya kuingiliwa kila mara kisa misaada yao. Dunia inaenda Mashariki sio magharibi tena! Hoja kuu inayofanya nione muungano huu ni mzuri kuliko miungano mingine ni kwamba Muungano huu hautoi misaada ya kimaendeleo ambayo ni tafsiri ya Ukoloni mamboleo, isipokuwa ni huu ni ushirikiano wa 50/50. Yaani wewe nipe Mahindi tani 30k nikupe mafuta pipa 30k. Wewe nipe pesa ya kujenga SGR ya Dodoma Kigoma, mimi nitachimba madini ya dhahabu kilo 3. Ni muingano wa ushirikiano wa ubia, sio kikundi cha watu sita duniani kinajipa jukumu la kuamua juu ya nchi nyingine! Cc @rusembtz @UbaloziChina @GovernmentZA @mygovindia
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
94
7
67
14.3K
.
.@MelkMalima·
@Eric__Bernard Sasa kaanika nini? Kaenda kuimba nyimbo ile ile inayoimbwa na wenzake na hajakosea mstari hata mmoja..
Indonesia
0
0
0
11
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
WENJE AAINIKA KILICHOJIFICHA NYUMA YA VURUGU ZA OKTOBA 29, AGUSIA MADAI YA EU Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema machafuko yaliyoripotiwa nchini Tanzania siku ya uchaguzi Oktoba 29 yalionyesha dalili za kupangwa kutokana na kulenga moja kwa moja miundombinu na maeneo muhimu ya serikali. Akizungumza na kituo cha habari cha Citizens cha nchini Kenya, Wenje amesema matukio hayo yalijitokeza huku Tanzania ikiendelea kujulikana kama taifa lenye historia ya utulivu na amani, hivyo kutokea kwake kulileta maswali kuhusu chanzo na uhusiano wake na masuala ya kisiasa kuelekea uchaguzi. Wenje ameeleza kuwa siku ya uchaguzi ilianza kwa utulivu, wananchi wakijitokeza kupiga kura kama kawaida, kabla ya mvurugano kuanza mchana na kusababisha maandamano ambayo hatimaye yaligeuka kuwa vurugu. Amesema baadhi ya wananchi na maafisa wa usalama walijeruhiwa au kupoteza maisha, huku miundombinu ya umma ikiharibiwa. Ametaja miundombinu hiyo kuwa ni pamoja miundombinu ya Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT) na minara ya mawasiliano katika Jiji la Dar es Salaam sehemu ambazo, kwa mujibu wake, zina umuhimu wa kimkakati kwa shughuli za serikali na maisha ya wananchi. Kwa mujibu wa Wenje, hatua za uharibifu zilizoshuhudiwa zilikuwa tofauti na maandamano ya kawaida ambayo yangeweza kutokea chini ya taratibu za kisheria. “Dalili zinaonesha kulikuwa na mpangilio ulioelekezwa kwenye maeneo nyeti ya serikali,” alisema. Kuhusu idadi ya watu waliofariki au kuathirika, Wenje amesema hadi sasa hakuna takwimu rasmi zilizotolewa na serikali, na akataja taarifa zinazozunguka mtandaoni kuwa hazina uthibitisho. Amefafanua kuwa ndiyo sababu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliunda tume maalum ya uchunguzi ili kubaini kiini cha machafuko, idadi ya waathirika na kiwango cha uharibifu wa mali za umma na binafsi. Akizungumzia taarifa kutoka nje ya nchi, hususan zile za Umoja wa Ulaya, Wenje amesema baadhi ya hoja zinazoikosoa serikali ya Tanzania hazijajengwa kwenye taarifa kamili huku akibainisha kuwa, barua za mwaliko kwa waangalizi wa kimataifa zilitumwa kama ilivyo taratibu, na kwamba madai ya kutoruhusiwa kwao si sahihi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa uchunguzi unaoendelea kupitia tume maalum ndiyo utakaotoa picha kamili ya kilichotokea, akiongeza kuwa matarajio ni kupata taarifa rasmi ndani ya muda uliopangwa na mamlaka husika.
Indonesia
9
10
27
4.7K
Lucky Msuya Kingker
Lucky Msuya Kingker@LKingker·
@HildaNewton21 Hivi Tunapozungumzia Haya Mambo,Je Tunaangalia Na Upande Wa Pili Kuna Waliopata Ulemavu Kupitia Hao Gen Z Walichukuliwa Muafaka Gani?Maana Wapo Walio Katwa Mikono Wengine Vidole Ktk Kuendesha Maandamano Yao.Nako Tunajadili Vipi Nao Wapate Hatima Yao Ya Haki
Filipino
17
1
3
3.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
"Sisi tuna hospitali wagonjwa walikuja kutibiwa Polisi wakaja wakasema tusiwatibu tuwapeleke Mochwari"-; Father Kitima
Indonesia
61
493
1.5K
143.8K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mkuu unapingana na waliolipwa? Usiamini tu bali wasikilize wahusika na uwaelewe na heshimu ukweli wao. Wanakiri kuwa wameokota sana mafekeche ya Wamarekani
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
NTOBI@Ntobi_

@YerickoNyerereT Binafsi—naamini bila chembe ya shaka kwamba ; watu wametoka kwenye maandamano bila kulipwa hata senti moja, na bado wengi wanaendelea kusukuma harakati hizi kwa kujitolea —pasipo kupokea malipo yoyote.

Indonesia
32
4
19
9.4K
.
.@MelkMalima·
@HecheJohn Kwa Rasilimali zipi wanazoonewa wivu,wakati washazigawa zote kwa mikataba ya kipuuzi..
हिन्दी
0
0
0
7
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu.. Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!! Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga? Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!! Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
Indonesia
78
648
2K
107K
.
.@MelkMalima·
@Jambotv_ Kufichua ukweli upi wakati ukweli mnao kwamba vijana walilipwa..
Slovenščina
0
0
0
11
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema uundwaji wa tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ni hatua muhimu ya kitaifa, akisisitiza kuwa tume hiyo ni ya Watanzania na imeundwa kwa masilahi ya nchi, si kwa malengo ya kisiasa. Ametoa rai hiyo Jumatatu jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake kukagua athari za matukio hayo, akisisitiza tume hiyo imeundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuzingatia ukubwa wa tukio, ambalo pamoja na kuharibu miundombinu, limegharimu maisha ya watu wakiwemo wasiokuwa na hatia. Dkt. Mwigulu amesema tume iliyopewa jukumu la kuchunguza matukio hayo inaundwa na wazee wenye heshima, maarifa na uzoefu mpana katika masuala ya nchi akibainisha kuwa ni “senior citizens” ambao wameaminika na taifa kutokana na mchango wao kwa miaka mingi. Ameitaka jamii yote kutoa ushirikiano kwa tume, ikiwemo kutoa taarifa, ushahidi na maoni yatakayosaidia kufichua ukweli na kuwezesha hatua stahiki kuchukuliwa.
Indonesia
47
5
38
7.6K
US Embassy Tanzania
US Embassy Tanzania@usembassytz·
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya injini za TAZARA zina nembo ya ushirikiano ya Marekani? Reli ya Tanzania–Zambia ilifunguliwa mwaka 1976 kwa lengo la kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka miwili tu baadaye—mwishoni mwa 1978—ubora hafifu na usimamizi duni katika utekelezaji wa mradi vilisababisha reli hiyo kuzorota vibaya, na kubakiza injini mbili tu zinazoweza kufanya kazi. Kutokana na ombi la Zambia na Tanzania kwa washirika wa kimataifa wanaowajibika ili kufufua reli hiyo iliyoharibika mapema, Marekani ilitoa zaidi ya dola milioni 45 za misaada ya ruzuku katikati ya miaka ya 1980 (sawa na zaidi ya dola milioni 130 kwa thamani ya leo) kwa ajili ya kununua injini na mabehewa yaliyokuwa na uwezo wa kuhimili safari kwenye reli hiyo. Msaada wa Marekani ulienda mbali zaidi kwa kutoa mafunzo katika kila nyanja ya uendeshaji wa hiyo kuanzia uhandisi hadi ufundi wa matengenezo ya kawaida. Ruzuku hii kutoka kwa wananchi wa Marekani iliwawezesha Watanzania na Wazambia kufufua na kuendeleza reli hiyo, na kuiwezesha kuendelea kufanya kazi kwa miongo minne iliyopita na kuwa njia muhimu ya biashara ya kikanda. Huo ndiyo ushirikiano wa kweli! Picha: Matt Hill, Bloomberg
US Embassy Tanzania tweet media
Indonesia
25
35
147
28.3K
Grok
Grok@grok·
Kulingana na vyanzo rasmi na video hiyo, mzungumzaji ni Askofu Wolfgang Pisa, Rais wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania. Alizaliwa Mbulu na sasa ni Askofu wa Lindi, na mazungumzo haya yanahusu mgogoro wa siasa nchini. Ikiwa una shaka, angalia mahojiano yake ya hivi karibuni kwenye YouTube kuhusu demokrasia Tanzania.
Indonesia
1
0
0
72
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
“Nchi imeharibika na hautarudi tena nyuma”
Indonesia
38
289
685
87.4K
.
.@MelkMalima·
@lifeofmshaba Unawahoji wanufaika wa mfumo.
Polski
0
0
0
2
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Je hizi sababu wanazotoa wahariri wa magazeti nchini kuhusu maandamano ni sababu za kweli? haya wanayosema ni kweli? kama wahariri wameongea baada ya kufanya uchanguzi wowote yaani habari za kichunguzi mbili sawa vijana tuseme wamefuata mkumbo, wamechochewa, ilikuwa sawa kwa serikali kuua hii idadi ya watu ambayo tumeona kila kona? hiyo angle mbona wameikwepa wanaongelea kabla ya maandamano kwa kuzusha bila kuongea reaction ya serikali hapo kwenye train walikutanishwa na nani mara ghafla na hii interview ikafanyika? baadhi yao tunajua hawaelewani je sasa wako kwenye page moja? wamepata vipi?
Indonesia
141
45
189
57.2K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
INEC TUPENI VITI VYETU 8 VYA UBUNGE. Chaumma imedhurumiwa wazi wazi juu ya Viti Maalumu, Kwamjibu wa Katiba ilistahili kupata viti 6 hadi 8, Lakini leo inatengenezwa taswira mbaya kwamba viti viwili tulivyopewa na tume ni hisani tu, lakini Katiba ya Tanzania inakataa hisani hiyo inataka tupate viti 8. Hebu twende sawa, Idadi ya Wabunge wote ni 289. Idadi ya wabunge wa viti maalumu ni 40% ya wabunge wote. Kwamsingi huo, 40% ya wabunge 289 ni 115.6 ~ 116 Hivyo kupata idadi ya wabunge 116 wa viti maalumu, Viti hivyo vitagawanywa kwa kila chama kilichopata kuanzia 5% ya kura zote zilizopigwa kwa wagombea UBUNGE majimbo yote Tanzania bara na visiwani. Zingatia ni Kura za Ubunge ndizo zonazozalisha viti maalumu na sio kura za mgombea wa urais kama inavyopotoshwa na baadhi ya watu. Ugawaji wa Viti maalumu kwa kila Chama cha Siasa kilichoshiriki Uchaguzi unazingatia Ibara ya 78(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inayoeleza kuwa; “Chama kilichoshiriki Uchaguzi na kupata 5% ya kura zote halali za Wabunge kitapendekeza majina ya wanawake kwa Tume kuteuliwa kuwa Wabunge Viti maalum kuzingatia uwiano wa kura ambazo kila chama kimepata”. Bila shaka hapo nimeeleweka! Sasa, Kwa kuteua wabunge wa viti maalumu kutoka CHAUMMA, maana yake CHAUMMA imekidhi kigezo hicho cha kikatiba na kupata 5% na zaidi. Kwamba ilistahili kupata viti kuanzia 6 ambacho ndio kianzio cha chini cha viti maalumu. Kumekuwepo na watu wanaozungumzia kura 200,000 alizotangazwa nazo mgombea urais kwamba ndio kura za Viti Maalumu, kimsingi kura hizi kwa wagombea kiti cha ubunge ni sawa na kura alizotangazwa nazo mbunge wa CHAUMMA wa jimbo la Segerea tu. Ni upotoshaji mkubwa, kura za rais hazihusiki na viti maalumu Kwa mantiki hiyo Tume ya Uchaguzi imetuthibitishia kuwa Chaumma tumekidhi kigezo cha 5% ya Kura za Ubunge, na hivyo Idadi ndogo kabisa ya viti CHAUMMA ilipaswa kupata ni viti 6 hadi 8 chini ya hapo maana yake ni viti 0, Kwamjibu wa Katiba hakuna hesabu ya viti viwili kwenye mgawanyo wa Viti maalumu kwa muundo uliopo wa Bunge na kwamjibu wa Katiba. Hoja ya kupewa hisani ya viti viwili inayoendelea ni MFU na ni watu wasiokuwa na uelewa tu wanaoieneza. Viti maalumu havipewi kwa hisani bali kwa utaratibu wa Kikatiba ambao umewekwa na unatumika miaka yote. CHAUMMA imedhulumiwa viti na sio imepewa. Ni Rai yangu, naishauri Tume imalizie kuteua Wabunge wengine 6 wa Chaumma ili kukidhi takwa la Kikatiba la 40% ya wabunge 289, na 5% ya Kura zote za Ubunge nchini. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
98
7
56
17.6K