Lucky Msuya Kingker

12.9K posts

Lucky Msuya Kingker banner
Lucky Msuya Kingker

Lucky Msuya Kingker

@LKingker

Let's Take Care Of Your Silence,, And Let Them Talk To Your Action.

Tanzania Katılım Ocak 2019
1.4K Takip Edilen788 Takipçiler
Diamond Platnumz Family
Diamond Platnumz Family@DPlatnumzFamily·
Ukifa Leo Mpenzi Wako Atatafuta Mpenzi Mwingine. Kazini Kwako Wataajiri Mtu Mwingine Wa Kuziba Nafasi Yako. Ila Wazazi Wako Hawatapata Mtoto Mwingine Kama Wewe. Kama Unao Wazazi, Wajali.
Indonesia
1
1
4
88
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Chezea mwili wa mtu uchezeavyo ila kuwa makini usije ukacheza na maisha yake maana wengine ni tegemeo kubwa sana kwenye Familia.
Filipino
27
48
131
4K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Bongo vigogo kodi wanazifanya threesome/ Tunashindia mihogo kwenye nchi yenye uranium/ 😡
Filipino
27
85
1K
24K
yOuNg_tHuG
yOuNg_tHuG@bOy___ThUg·
Katika haya maisha, ukishindwa kusema ukweli basi ujiandae kusingiziwa…✍️
Indonesia
12
23
48
641
Black b🖤y👦🏿
Black b🖤y👦🏿@omy_ramso·
Wakati unajifunza jinsi ya kuishi usisahau pia kujifunza kufa ni njia isiyoepukika Good morning family
Indonesia
17
14
34
387
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Umasikini unatufanya tuone kila alie fanikiwa basi ametumia njia zisizo halali✏️
Filipino
12
19
67
991
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Njia nyingine ya kuongeza thamani kwenye maisha yako. Ni kuacha kufukuzia vitu ambavyo haviongezi kitu chochote kwenye maisha yako. Good morning.
Indonesia
13
21
65
730
Coco Love 😇
Coco Love 😇@Cocolovemimi·
Usiamini kicheko cha MWANAUME na kilio cha MWANAMKE kisikupumbaze. 📌 🚶‍♀️ 😌
Polski
6
27
63
1.2K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hakuna mtu ataishi milele, suala ni utakumbukwaje?
Indonesia
22
27
208
7.2K
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Kwenye mitandao ya kijamii kuna karama,vipawa na taarifa nyingi sana. Ni kisima cha maarifa na taarifa kwa mtu mwenye moyo wa unyenyekevu na akili ya udadisi." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Indonesia
8
32
128
1.6K
LYKER 🌴
LYKER 🌴@Paullyker·
Siyo Kila hatua ya Maisha inahitaji kutangazwa. Baadhi ya ukuaji wako hutokea kimya kimya, Linda mchakato wako. 🥲📌
Indonesia
16
28
87
1.1K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mume na Mke kuna Mmoja anatakiwa kumsikiliza mwenzake, mmoja kumuelewa mwenzake. Tofauti na hapo ni heka heka.
23
65
480
12.1K
Tell me her name 💫🤍
Kikubwa ni Mungu na pesa hakikisha unapambana ili viwe upande wako..
Filipino
3
17
82
1K
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Ukiona Unajiskia Upweke hata Ukiwa nae ni bora Uwe Single tu kuliko kubaki Utumwani📌
Filipino
3
5
36
521
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Wakati mwingine Mioyo huvunjika, wakati mwingine Marafiki huondoka, wakati mwingine tunaumia, wakati mwingine tunapoteza Tumaini, lakini usijali, Mwenyezi Mungu anaona kila kitu, hatakukatisha tamaa kamwe, Mwenyezi Mungu atarekebisha kila kitu, Inshaallah.
Indonesia
2
8
34
417
Kaponda Jr
Kaponda Jr@Kaponda_077·
Mwanaume mzidi mwanamke vitu 3 1. Umri 2. Pesa 3. Akili Mwanamke mzidi mwanaume vitu 3 1. Maombi 2. Upendo 3. Usafi Mipango, subila, Kujali hivyo ni vitu vya wote wawili 🤝
11
43
203
4.1K
Rev. Sam Nkonina
Rev. Sam Nkonina@PstNkonina·
Samehe kabla ya kulala, kwa sababu huenda usiamke kutafuta msamaha. Ee Mwenyezi Mungu, safisha mioyo yetu kutokana na chuki.✨️
Indonesia
1
6
23
180
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
jipe ujasiri kwa kila unachofanya katka kila mafanikio yako lazima vikwazo vitokee. Hamna mafanikio yanayokuja kama wimbi la maji.
Indonesia
4
12
40
702
Maisha_Halisi
Maisha_Halisi@hassanially1996·
⚠️ Usipime Maisha Yako kwa Kasi Ya wengine Kila Nafsi Ina Saa Yake Mbele za Mungu.📌
Indonesia
2
14
42
847
ᄂΛƬΛ𝒙
ᄂΛƬΛ𝒙@latax_·
Usikimbie matatizo. Yakabili. Unachokikwepa leo mara nyingi hurudi kesho kikiwa kikubwa zaidi. Ujasiri huanza pale unapogeuka na kukabiliana na kile kilichokuwa kinakutisha.
Filipino
1
8
35
480