#MezaHuru

691 posts

#MezaHuru banner
#MezaHuru

#MezaHuru

@MezaHuru

Sehemu Pekee Utapata Simulizi Za Kina Juu Ya Yaliyowahi Kujiri Katika Safari Ya Muziki Wetu Mpaka Sasa. Sikiliza Episode Mpya Kila Siku Ya IJUMAA 🎤 #MezaHuru

Katılım Temmuz 2022
0 Takip Edilen452 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
Karibu Katika #MezaHuru 🎤
Latviešu
3
40
87
0
#MezaHuru retweetledi
Lug
Lug@lugmeryz·
@_AbdelazizJamal @MezaHuru Jimmy Kabwe alikuwa anakaa Keko, Kulikuwa na ghorofa moja mpya ya NHC hapa bora mkabala na jengo la JW ambapo wanakaa wachina miaka hiyo ya 2000 mwanzoni... Jimmy alikuwa anaishi ya K'lyn wakati huo katoka kushinda u Miss Tz 🤣🤣🤣🤣 Lijamaa nilikuwa nalikubali sana
Filipino
1
1
1
63
#MezaHuru retweetledi
il mio nome è
il mio nome è@_AbdelazizJamal·
Growing up nilikuwa namtazama Taji x Jimmy Kabwe kama role models juu nilikuwa na mapenzi makubwa na kile walikuwa wanafanya. Primary school nilikuwa naenda Magic FM kipindi cha watoto na Baraka Ngemba akiwa mmoja kati ya watoto wanaopata nafasi kwenye kipaza. Anyways TAJI IS HIM
il mio nome è tweet media
Filipino
2
3
1
261
#MezaHuru retweetledi
Pablo
Pablo@MoruoKing·
@tutla7 Tulifanya pod ndefu sana na huyo jamaa Unaweza Kusikiliza hapa @MezaHuru
Filipino
1
1
0
71
#MezaHuru retweetledi
Mike Pesambili Mhagama
Mike Pesambili Mhagama@MikeMhagama·
Shukrani kwa support my Brother! Enjoy! Cc: @IamNchaKALIH Tulijadili hili siku moja,now go get your copy Brethren and let's talk on the other side! Cheers!
#MezaHuru@MezaHuru

Dhima kubwa @MezaHuru ni kujua wapi tumetoka kutoka kwenye vinywa vya wasanii na wadau waliokuwepo mstari wa mbele wakati mageuzi ya tasnia yetu ya Muziki wa kizazi kipya yanaanza hivyo kuelewa zaidi hapa tulipo na tunapokwenda.

English
0
2
0
265
#MezaHuru retweetledi
Pablo
Pablo@MoruoKing·
Kitabu yangu tayari ipo site Ni mambo kusoma TU sasa S/O to @MikeMhagama kwa hii jambo.
Pablo tweet media
#MezaHuru@MezaHuru

Dhima kubwa @MezaHuru ni kujua wapi tumetoka kutoka kwenye vinywa vya wasanii na wadau waliokuwepo mstari wa mbele wakati mageuzi ya tasnia yetu ya Muziki wa kizazi kipya yanaanza hivyo kuelewa zaidi hapa tulipo na tunapokwenda.

Filipino
8
14
22
3.3K
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
Unaweza kujipatia nakala yako kutoka kwake kwa kupiga simu namba +255658458495 na utajipatia nakala yako. Tunasubiria kwa hamu kubwa kufanya nae kipindi ili tupate madini zaidi. Endelea kuwa nasi. @IamMasoudJr @Tanzan1anDream @MoruoKing
Filipino
0
2
1
99
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
Gwiji la habari na Utangazaji kaka yetu @MikeMhagama ambaye pia wakati huo alitamka kwa mara ya kwanza neno "BongoFlava" redioni amekuja na kitabu chake kilichojaa Simulizi na mengi ambayo wengi hatujawahi kuyasikia popote pale.
Indonesia
1
1
2
87
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
Dhima kubwa @MezaHuru ni kujua wapi tumetoka kutoka kwenye vinywa vya wasanii na wadau waliokuwepo mstari wa mbele wakati mageuzi ya tasnia yetu ya Muziki wa kizazi kipya yanaanza hivyo kuelewa zaidi hapa tulipo na tunapokwenda.
#MezaHuru tweet media
Indonesia
1
4
6
3K
#MezaHuru retweetledi
Pablo
Pablo@MoruoKing·
Our newest episode ft Chizan Brain is out. Link kwa bio ya @MezaHuru 🙏🏿
English
0
1
1
82
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
.....ni wao tu ndo walioamua kujiongeza kwa kupata knowledge ya ukamilishaji wa project za audio. Nikukaribishe kwenye ulimwengu wa CHIZAN BRAIN, kijana mwenye asili ya Kenya, lakini aliamua kutumia maisha yake nchini TZ kwenye studio kubwa ya Wanene! 2/2 #MezaHuruNaCHIZAN 🎙️
#MezaHuru tweet media#MezaHuru tweet media#MezaHuru tweet media#MezaHuru tweet media
Indonesia
2
5
3
375
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
Umeshawahi kujiuliza kwanini mpaka leo kiwanda cha muziki wa Bongo fleva kina uchache wa Ma’ INJINIA wa ukamilishaji wa muziki (mixing & mastering)? Majina kama Laizer, Mixing killer, Chizan brain n.k yanatajwa kwa kujirudia kwenye nyimbo za wasanii wengi kwasasababu....1/2
#MezaHuru tweet media
Indonesia
1
10
9
1.8K
#MezaHuru
#MezaHuru@MezaHuru·
NEW EPISOOOODE! 🚨
English
0
1
1
67