MasterMind255

4.9K posts

MasterMind255

MasterMind255

@Mind255Master

Katılım Ağustos 2021
118 Takip Edilen181 Takipçiler
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@Zyyon_ And royal families married other royal families....
English
0
0
0
3
Prophet_Ikuku | Neural Network
Overtime, i understand why rich families marry amongst themselves. There's something wrong with the mentality of poor humans
English
418
7.6K
42K
989.5K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu ameishauri Serikali kuanzisha mfumo wa kuchangia Bima ya Afya kwa wote kupitia miamala ya simu, ambapo kila Mtanzania angechangia kiasi kidogo cha fedha katika kila muamala anaoufanya. Akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2026/27, May 11, 2026, Bungeni Jijini Dodoma, Kingu amesema Tanzania ina idadi kubwa ya miamala ya simu inayoweza kutumika kama chanzo cha uhakika cha kugharamia huduma za afya bila kuongeza mzigo mkubwa kwa Wananchi. “Nimefanya statistics kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania na kusoma ripoti za Benki Kuu ya Tanzania, Tanzania kwa mwaka mmoja inarekodi miamala bilioni 6.3 kwa Watu wanaofanya miamala kwenye mitandao ya simu na miamala mingine, Mchengerwa mnasubiri nini kuja na platform kwenye hii Nchi, sio mkalete tozo mpya zitakazowapa Watanzania mzigo, mimi nawapa mawazo, njooni na ‘coding system’ ambayo itatumia teknolojia ya kisasa Watanzania wako tayari kuchangia Bima ya Afya kwa wote, wanachosubiri ni kupewa mwelekeo,” amesema Elibariki Kingu. Aidha amesisitiza kuwa hata mchango mdogo wa shilingi 10 au 30 kwa kila muamala unaweza kusaidia Serikali kukusanya fedha nyingi zitakazowezesha Wananchi kupata huduma bora za afya bila kuambiwa kwenda kununua dawa nje ya Hospitali. “Kwa hesabu hizi mnaweza mkakusanya trilioni nne mkafadhili Bima ya Afya kwa wote Watanzania wakienda Hospitali wasiambiwe dawa nenda kanunue kwa Mtu fulani,” amesema Elibariki Kingu. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
94
7
139
27.1K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Msigwa Awataka Waandishi Kuandika Habari za Maslahi ya Umma, Akumbushia Alivyotaka Kutekwa Njombe. Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kuandika habari za maendeleo na badala yake kuandika habari za 'mizengwe' zenye lengo za kugombanisha makundi mbalimbali ya kijamii. Msigwa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, ameyasema haya alipokuwa mkoani Njombe akizungumza na waandishi wa habari pamoja na maafisa wa habari wa Serikali.
Indonesia
18
2
33
6.9K
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@TheChanzo Huyu jamaa vipi? Waandike ukweli au kwa maslahi ya umma?
Indonesia
0
0
0
208
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@MarekaMalili A all the way.... Hospitality running costs ni balaa, miaka 10 imechoka inataka major overhaul... Wageni kila siku wanataka mpya
Filipino
0
1
1
134
Ansbert Ngurumo
Ansbert Ngurumo@ngurumo·
UZOEFU: Hiki inachopitia Chadema, ACT-Wazalendo (soma CUF) ilishakipitia miaka mingi iliyopita. Misukosuko tunayoiona Tanganyika leo, kwa Zanzibar ni marudio. Ni zamu kwa zamu. Twendeje mbele? ACT-Wazalendo wanaweza kuwa washauri bora katika hili. Experience is the best teacher.
Indonesia
38
1
21
5.6K
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@Tanganyikan @Octavianlasway They don't care about long term. Gov yetu inaishi kama kibarua saidia fundi, kusanya tumia kusanya tena tumia tena. Subiri quarter report ya TRA end of June
Indonesia
0
0
0
4
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
@Mind255Master @Octavianlasway Sio sustainable, unapata mapato makubwa kwenye wese lakini hali ya maisha inakuwa mbaya sababu ya inflation, spending power inashuka kwenye bidhaa na huduma nyingine matokeo yake makusanyo ya kodi yanapungua.
Filipino
1
0
0
11
Eng Octavian Lasway
Eng Octavian Lasway@Octavianlasway·
Ningekuwa Serikali! Zero import duty for electrical vehicles, 50% tax reduction for imported gas powered vehicles and machines , Massive investment in our own natural gas , Single digit interest loan for fuel companies to build gas stations ! Hii bei ya mafuta wazee ni kichaa 🏋️
English
12
12
71
3.4K
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Waendesha pikipiki wa mkoa wa Dodoma wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha hatua za uwajibikaji zinachukuliwa dhidi ya waliotajwa katika ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Ombi hilo limetolewa leo ijumaa, Mei 8, 2026 na Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Pikipiki Mkoa wa Dodoma wakati wa mazungumzo na Rais Samia katika eneo la Chako ni Chako jijini humo.
Indonesia
79
1
69
28.7K
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@MsBrown_Tz @DadaConso There was this time my business partner was kidnapped and the guys were going to k*** him... Aisee, unarudi home, you cant say anything! Sometimes muwe mnatuelewa tu!
English
0
0
1
17
Kamamaa
Kamamaa@MsBrown_Tz·
@DadaConso Na wanajua kujikaza bwana 🙌🏼 kuna muda responsibility zinaweza kukufanya ulie kama mtoto, unakuta madili yote kama yamejambiwa na mchawi. ila hawa wenzetu huwakuti wakilia yaani 🥺 huwa nawawazaga sana.
Indonesia
2
0
17
1K
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Nitakuambia this, and inabidi tu uelewe.. (WABABA MTANIKOSOA) Men are built to solve problems, ukiona hakwambii anachopitia ni sababu anajua hutatoa msaada.. utaanza kumuonea huruma. Au utakitumia badae kama FIMBO ya kumchapia! Atakuambia hayuko sawa, ila Huwa hawaendi in details "UNLESS" ANAJUA YOU CAN HELP HIM SOLVE THE PROBLEM AT HAND.. Mimi nimekaa sana na wababa site, Kuna saa mtu unamuangaliaaa.. unamwambia tu "KAKA, NENDA NYUMBANI KAPUMZIKE!" without interfering..
Kamamaa@MsBrown_Tz

Sijui kwanini wanaume huwa hasemagi ukweli ukiwauliza “are you really okay?” “Are you happy? Am I contributing to your happiness?” Mpaka umvizie apo vulnerable ndo atakwambia ukweli wake 😅 mpaka utabaki kushangaa mavitu wanabeba. I pray Mungu wangu awape amani ya moyo na furaha.

Indonesia
47
94
375
28.6K
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@MariaSTsehai Uliona Mama wakati anaongelea "kuwachapa" watu, Wakenya walikuwa kimya, Watanzania ndio wanashangilia. Tunaongozwa na mashetani hasa
Indonesia
0
0
3
412
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@millardayo Kivule inaongoza kwa barabara mbovu Dar yeye anakazana kusifia!
Indonesia
0
0
1
90
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Jimbo la Kivule Jijini Dar es salaam, Ojambi Massaburi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani cha NCCR Mageuzi, Everlyne Munisi kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Ajira, Kazi na Mahusiano akisema hiyo ni hatua kubwa inayodhihirisha kuwa Rais Samia ni Mwanadiplomasia nguli. Massaburi amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja kwenye hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 iliyowasilishwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso. “Nampongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan Mwanadiplomasia nguli, mara ya mwisho niliposema Dkt. Samia ni Mwanadiplomasia nguli wapo Watu walibeza kauli ile kwenye Vyombo vya Habari lakini leo ameuthibitishia umma na Dunia, Tanzania na Bara la Afrika kwa kumteua aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani (NCCR) kuwa tu sio Mbunge bali Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano” “Dkt. Samia ni Kiongozi anayeamini kwenye Siasa za kujenga, hoja mbadala na ni Kiongozi aliyevuka mipaka ya kisiasa Tanzania, Dkt. Samia sisi Wananchi wa Kivule wakati anaingia madarakani, kwa takwimu za mwaka 2018 Jimbo la Kivule lilikuwa na maji 0% leo Dkt. Samia amejenga tenki kubwa la maji la lita milioni 9” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
9
4
88
8.4K
Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya@citizentvkenya·
Ruto Diplomatic Gaffes: Pres. Ruto faces criticism over a series of diplomatic blunders His latest slip occurred during his visit to Tanzania Suluhu denied knowledge of Ruto’s Tanga oil refinery plan Suluhu: I am not aware of Ruto’s Tanga oil refinery plans #JKLive
English
7
22
63
6.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kwamba Tanzania nzima hatuna WASOMI mpaka tunaenda kuchukua hawa VILAZA na kuwapa WIZARA waongoze wasomi? Hivi huyu kweli anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani? Waziri gani ambaye ni Form Four Failure? Waziri gani ana certificate 3 na zote ni za online? Waziri mwenye certificate ndio ataongoza wizara ya ajira? Atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira? Waziri gani ana udaktari wa mchongo wa kupewa? Samuya kaamua kutafuta Form Failure wenzake awajaze ndani ya serikali haramu maana hapendi wenye akili KUBWA anajua watamchallenge. Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze. Ni kama tupo zama za MAWE.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
74
105
601
49.6K
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@Kiganyi_ Hehehhe... kuna mmoja nilimbambia safarini, tumejazana kwenye lorry kama viazi... anatakisika tu na makorongo 😂😂😂
Filipino
0
0
0
4
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Huyu Luteni General wa Jeshi yuko kwenye Stress kali kwa kuushishwa na Tume iliyofanya mambo ya kihuni Jeshini huyo uwa ni namba mbili, na uwa ni mtu mmoja tu mwenye cheo hicho Jeshini, Kwenye Jeshi ukiondoa CDF anayefuata ni Luten General Fikiria mtu mwenye uzoefu mkubwa hivyo yamemshinda yuko na stress kali namna hii Hawa wanashinikizwa kusema uongo hivi wanakubali kwa nini? Majeshi ya kigeni yalikuwepo nchini, kulikuwa na watu wanaongea lugha ya kigeni na wasiojua kiswahili na walipiga watu Risasi Dar, mwanza na Tunduma
Think Different tweet media
Filipino
22
88
641
55.4K