Eng. Ngaro

5.7K posts

Eng. Ngaro banner
Eng. Ngaro

Eng. Ngaro

@Mhandisi__

Electronics & Telecom Engineer | Expert in signal processing & Controlling | Simba DHF | ManCity DHF | No Weapon Formed Against Me shall Prosper

Katılım Aralık 2013
307 Takip Edilen291 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Eng. Ngaro
Eng. Ngaro@Mhandisi__·
@MariaSTsehai Apart from ujinga, umaskini, na maradhi now we have uchawa ni hatar kwa ustawi wa taifa.
Indonesia
2
4
18
0
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
777
53
466
165K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Toka nimetoka gerezani mtagundua tembea yangu imebadilika ni ya kikuu, mtagundua ongea yangu sasa ni ya heshima, mtaona kwamba Mungu ameenda kunibadilisha, nimekuwa mtu bora, yaani amekutana na mimi amenifanya kuwa chuma chake." - Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
Swahili Times tweet media
Indonesia
122
13
403
53.1K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Msukuma: Sikubaliani kupunguza bei ya mafuta
Indonesia
28
7
123
20.1K
TICHA MANDEVU13
TICHA MANDEVU13@TichaMandevu·
Madenge ni msukuma? Mbn wasukuma wamenyooka sana
Indonesia
35
30
363
11.5K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Hoja ya CHADEMA kukabiliana na bei ya mafuta yamuibua mbunge. Amshukia Heche.
Indonesia
25
4
135
21.1K
Eng. Ngaro retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
MAANDAMANO YAJAYO HAPATATOSHA!!
हिन्दी
32
315
1.9K
34.1K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Hawa vibaka mmeshindwa hata kuwamezesha maneno eti Serikali ya Chadema haijatulipa kumamake ,😃😃 toeni maski tuwachangie njaa itawaua nyie UVCCM Tume ya Chande itakuja na vituko zaidi.
Indonesia
158
89
621
39.6K
Eng. Ngaro
Eng. Ngaro@Mhandisi__·
@MalisaGJ_ Walau jamaa anawakumbuka wananchi wa jimboni kwakwe
Indonesia
0
0
1
319
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga.
Indonesia
38
6
201
18K
Eng. Ngaro retweetledi
Doctor Strange
Doctor Strange@DrStrangejm·
The day we will restrict politician to go outside for medical issues is the day we will start seeing improvement in our health sectors..!
English
4
18
35
1K
Eng. Ngaro retweetledi
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Bil 400 kujenga magereza 50 nchi nzima, mahali ambapo hamna VETA, magereza zilizopo zina hali mbaya hata scanner tu wameshindwa kutumia, kwanza inabidi ziwe correction facilities sio prisons ndo maana watu wanatoka huko wakija mtaani hawana issue inabidi wakabe warudi tena.
Indonesia
8
32
322
12.9K
Eng. Ngaro retweetledi
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Magereza siyo suluhisho la crime. Kwenye baadhi ya nchi zilizoendelea magereza yamekosa wafungwa sana hadi yamegeuzwa kuwa majengo yenye matumizi mengine. Tunaweza kuwekeza kwenye maeneo mengine zaidi; 1. Elimu ya ufundi zaidi. Hizi bilioni nane kila wilaya zingejenga vituo atamizi vya kilimo na mifugo, viwanda vidogo (micro-factories) na kadhalika. Kisha tukafanya community, hasa youth incubation program itakayoongeza watu wenye ujuzi wa kujitegemea katika uzalishaji. 2. Tunaweza kuchukua bilioni 8 kwenye kila wilaya na kuwekeza kwenye ventures ambazo zina high potential. Hii itasaidia kushusha fedha kwenye ngazi za chini, kutengeneza ajira zaidi na kadhalika. Hizi fedha za kujenga magereza zaidi, zielekezwe kwenye shughuli za kiuchumi zaidi kwenye ngazi za chini. Bilioni 8 kwa magereza 50 ingeweza kuwa kabisa bilioni 8 kwa viwanda vidogo 50 vya kuongeza thamani kwenye wilaya zetu. Mwisho, the idea kwamba inabidi tufunge watu wengi zaidi kwa sababu kuna crime is bad. We need another idea ambayo tunapaswa kujibu, tufanyeje ili tusifunge watu wengi zaidi ambao wanakwenda kuhudumiwa na rasilimali zetu wenyewe huko magerezani na pili, tunaondoa nguvu kazi mtaani na kuifungia pahala. Huu unapaswa kuwa mkakati wa taifa wa muda mfupi na muda mrefu. Gereza siyo suluhisho pekee la uhalifu.
Swahili Times@swahilitimes

Serikali imesema takribani wilaya 50 hazina magereza, na kwamba ujenzi wa kila moja utagharimu takribani bilioni 8.

Indonesia
10
7
27
3.3K
Eng. Ngaro retweetledi
Eng. Paimen✨️
Eng. Paimen✨️@Captain_Josh47·
Mke wangu alifunga Mlango wa Hormuz, kwa zaidi ya Wiki 2, nilipotishia kuwa nafata Mafuta Venezuela, aliufungua haraka😅😅😅
Indonesia
22
39
464
15.3K
Eng. Ngaro retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mboga mboga ukiongelea Ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, they gang against you, wanaona sio mwenzao 🙌🏼 Chama kuna laana hiki.
Indonesia
44
172
1.3K
24.3K
Eng. Ngaro retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
“Kilichopotea si mwisho wangu,Mungu wangu ni Mungu wa rejesho. Ninarudishiwa zaidi ya nilichopoteza. ( Yoeli2:25)
Polski
9
72
282
3.4K
Eng. Ngaro retweetledi
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Ni kama umaskini mara nyingi huja na package ya chuki Yani watu wenye hela ngumu kuwakuta na chuki, kwanza anatoa wapi huo muda! Mungu atufungulie milango tufanikiwe kwenye utafutaji wetu. Tuondokane na chuki bila sababu. Sema umaskini ni mbaya basi tu.
Indonesia
79
126
557
20.9K