Zaburi 63
1 Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu, Mwili wangu wakuonea shauku, Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.
Mathayo 16:19
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Mathayo : 6 : 1
Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.
Yoh 4:23
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
HALLELUJAH❤️
Unachukuliwa na watu 7 wenye silaha. Unapigwa pingu mbele ya mzazi wako. Anazuiwa kufuatilia na/au kujua unapelekwa wapi. 24 hrs baadaye, hajui uko wapi, na nani, kwa sababu ipi? Mnaumiza sana familia za watu. Muachieni Ninja. Enough is enough!
Free Ninja!!
Neno la leo linatoka katika kitabu cha Zaburi 91:9-12,
Kwa kuwa umemfanya Bwana aliye tumaini langu, Mungu kuwa makao yako,hakuna mabaya yatakayokupata, wala tauni haitakaribia hema yako; kwa maana atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zote" 🙏
#StaysafeNINJA
Moto ulioanza nao katika usomaji wa neno la Mungu na kutafakari, hakikisha unautunza siku zote. Na kama umezima ndani yako, uwashe tena. Mungu yupo tayari kukusaidia.
Maelfu wamesaini wito kulitaka Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kumfuta kazi Jaji Chande.
Chande ni sehemu ya washauri wa Baraza kuhusu haki za binadamu Sudan.
Alitumia turufu hiyo kujaribu kumsafisha muuwaji Samia huko UN.
Kwa ripoti ile, hana tena uhalali.
Leo nimemsikia MWABUKUSI yule niliekesha kumpigia kampeni—nimemsikia kwa TONE ya uchungu sana akimpigania KIONGOZI wake mstaafu TUNDU LISSU.
Sijajua mgeni Rasmi alikuwa nani ila ujumbe umefika KUNAKO.