Samson Ernest

35.4K posts

Samson Ernest banner
Samson Ernest

Samson Ernest

@SamsonErnest_

Soma Neno Ukue Kiroho Liwe Jua Iwe Mvua Soma Biblia Yako

Singida, Tanzania Katılım Aralık 2016
1.6K Takip Edilen2.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
USHIRIKIANE NA WAEPUKE MBALI WATU WENYE TABIA YA KIGEUGEU Mit 24:21-22 SUV [21] Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; [22] Maana msiba wao utatokea kwa ghafula; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.
Samson Ernest tweet media
Indonesia
3
7
26
1.7K
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Unafahamu sababu ya Nyoka na Fimbo kuwekwe kwenye nembo za Afya na Dawa?. Soma hapa, Hesabu 8:21 @ElimikaWikiendi
Indonesia
0
0
0
59
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Hii mistake inakuchelewesha sana kuona growth ya brand yako. Unaamini ku’post tu 𝗺𝗮𝗱𝗶𝗻𝗶 peke yake kunatosha kukupa matokeo makubwa. Ila ukweli ni kwamba unahitaji; → Ku’engage na creators wengine. → Kuacha comments zenye thamani. Hii ni two way lane— connect mwenetu.
Filipino
3
7
21
157
Daniel_Havertz
Daniel_Havertz@peter97daniel·
Hakuna wokovu kama hakuna damu ya Yesu...( Huwezi kumtengenisha Yesu Kristo na wokovu wa mwanadamu) Waebrania 9:22 1 Petro 1: 18-19
Indonesia
0
5
14
168
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
@massawejk Maisha ya mtu yapo mikononi mwa Mungu, mtu anaweza kubadilishwa na BWANA wakati wowote.
Indonesia
0
0
1
11
James Massawe
James Massawe@massawejk·
“Usiwakadirie sana watu, usidharau watu. Wenzako wanaopambana kubadili historia ya maisha yao na kushinda vita ambazo wazazi hawakuzishinda, wao ndio wana dhamana ya kubadili historia ya familia zao. Kama huwezi kuwasaidia, basi usiinue silaha kupigana nao.” #ElimikaWikiendi
Indonesia
1
4
8
221
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
@Happie_Thom Hasara zingine ni darasa ya kukuonyesha thamani ya kile unakiendea
Indonesia
1
1
1
16
Happie💕
Happie💕@Happie_Thom·
Sio kila hasara ni mbaya. Wakati mwingine Mungu anakutoa kwenye kitu kidogo ili akupeleke kwenye kikubwa. #ElimikaWikiendi
Filipino
1
5
8
157
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Mabadiliko madogo madogo katika, mwelekeo sahihi ndiyo huleta UTOFAUTI mkubwa.
Filipino
3
12
39
452
Simon🇹🇿
Simon🇹🇿@Simon_peter_jr·
Mtu anayejua kusimamia hisia zake hawezi kufanya maamuzi ya kujuta mara kwa mara.
Indonesia
5
11
27
862
Kante
Kante@MkulimaKante·
Assume wangefungulia X afu ipigwe semina moja elekezi ya vijana kulipia bluetick na kuanza kuzalisha contents ili kuyafukuzia maokoto ya Elon Musk na tukashambulia kama manyigu. Trust me huenda malalamiko ya maisha magumu kwa vijana yangepungua kwa kiasi fulani.."Nipo ndotoni😀
Kante tweet media
Indonesia
20
28
64
831
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Hii week nimepata followers 500+ kwa kufanya haya. → Kuwa active sana. → Ku’post madini consistently. → Kuacha comments zenye madini safi kwenye posts za creators wengine. Nimesanuka nikifanya hivi kwa muendelezo 10k hii hapa before the end of this year.
Filipino
8
8
33
374
Ibraah
Ibraah@JumaIbrahi75232·
@SamsonErnest_ Sahihi kaka hata pale tunapohisi kila kitu kimekufa ndani yetu mungu atupe subira ya kuendelea tusikate tamaa
Indonesia
1
0
1
3
Ibraah
Ibraah@JumaIbrahi75232·
Kuna wakati unaona kama njia zote zimefungwa unachokifanya hakilipi na unachokitaka hakipatikani Huu ni wakati ambao kila mtu anaupitia kupitia magumu ni kitu halisi ila kukata Tamaa na kuacha kujaribu ni chaguo unalofanya usichague kukata tamaa
Indonesia
1
0
6
47
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
Anayeomba kwa Mungu anapokea, bila kujalisha ameomba au ataomba kwa muda gani, muda ukifika wa kupokea atapokea.
Indonesia
3
8
41
337
MKEMIA MKUU👑🇹🇿
MKEMIA MKUU👑🇹🇿@mkemia_mkuu68·
Mungu sasa bariki na wengine mimi nitapasuka unibariki peke yangu ✍🏾🙏🏾 Asubuhi njema na yenye baraka🙏🏾✍🏾
Indonesia
9
16
33
193
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
@Simon_peter_jr Tumtegemee Mungu asilimia zote, wanadamu wenzetu tuwaheshimu kwa nafasi zao na kuwashukuru pale wanapotumiwa na Mungu kufanya mema kwetu.
Indonesia
0
0
0
8
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Hapo Makumbusho binti aliachiwa nyumba zile za kizamani na wazazi wake ikiwa na vyumba kama 10 hivi,. Since, Baba mdogo kaachiwa amuangalie binti, hata shule hakumsomesha , Since then, kapangisha nyumba nzima analumbua tu kodi, miaka imeenda binti kakua, kapata mtu kamshauri kuuza nyumba, bhasi ni sehem potential kabisa akapata mteja ,. akafanya process zote za kutransfer property,. then wakawapa wapangaji notes ya kutoka, Bhas wapangaji wakarudi kwa aliyewapangisha yule Ba mdogo , yeye anawaambia lipeni kodi hakuna mtu mwenye hii nyumba zaidi yangu,.. Siku zimekata,.. usiku mmoja watu wamelala wanashangaa nyumba inagongwa nyundo,.. usiku mzima familia zaidi ya kumi wanahangaika kuokoa vitu,.. huu mji kuna watu wana tamaa sana na hawajali utaumia vipi mradi yao yanaenda🙌💔.
Indonesia
31
44
328
27.7K
TUNECHI🇦🇺
TUNECHI🇦🇺@Thereal_Kabote·
Ikabarrikiwe siku hii ikkawe yenye baraka na neema kwetu sote🙏 Good morning✊️
TUNECHI🇦🇺 tweet media
Indonesia
29
30
65
658
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
@INFLUENCERjr Elimu inasaidia kuona jambo gumu kuwa jepesi, elimu inarahisisha utendaji wa kazi.
Indonesia
0
0
1
12
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Elimu hii hii ya Bongo ambayo wengi wanasema ni ya mchongo hakikisha unaipata au watoto wako wanaipata. Elimu ni muhimu asikudanganye mtu. #ElimikaWikiendi
Indonesia
3
16
62
1K