Nang'olo
4.2K posts

Nang'olo
@Mmisionary
You can change the way you feel by changing the way you think./... . #. Trust your path and keep moving forward # Dar Young Africa 🔰 and Chelsea's fan
Tanzania Katılım Ekim 2012
167 Takip Edilen74 Takipçiler

Niseme tu Kwa umri wake wa Sasa huyu Ray Kigosi hastahili kunyoa namna hii, basi tufanye haya ni maisha yake.
Lakini kitendo Cha yeye kwenda msibani akiwa hivi tena kavaa na hereni ni kitu ambacho Kwa upande wangu naona siyo sawa, nimemuona Joti Kila mtu anajua staili yake ya nywele, Lakini alikuwa kavaa kofia na kanzu safi anaendana na tukio.
Msiba wa Hashim Kambi siyo wakwenda ukiwa namna hii yule alikuwa kama mzazi wake.

Indonesia

@MsigwaGerson Mbona mnazidi kujichanganya.. Mafuta kwa rani tena!? 😂 😂 Jamani! Bora mngeuchuna tu
Indonesia

#UfafanuziMuhimu
//
Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani.
Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo;
1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
2. Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026.
3. Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026.
Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine.
Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.

Indonesia

@Sisimizi3 Nyie jamaa sijui mmezolewa wapi, chambawima au wapi huko.. Hamjajipanga na uwezo wa propaganda zenu ni za hovyo,.. Mnatumika pasipo uelewa hata kidogo. Hamumjui yupi Askofu yupi padri, hamjui misingi ya kanisa Katoliki wala taratibu zake. Sijui ni madrasa au kutokua na akili tu
Indonesia

@SimbaSCTanzania Mliambiwa mjifunze kwa wenye akili Yanga, mmekaza tako weeee, sasa mmelegeza... Mkikwama muone Engineer
Filipino

Tumewashaaaaa!!!
Tunaanza usajili wa matawi katika mfumo wa wanachama kidijitali. #NguvuMoja

Indonesia

@zoetjesheeftX Maisha yapo kwa Yesu, angebaki na elimu ya majini kule alikokawa, angeishia kufuga majini tu kwa sasa
Indonesia

@ThomasJosephat3 @babu_shamba Usiwe mchoyo bro, funguka tupate kujifunza na wengine, hutopungukiwa chochote zaidi ya kubarikiwa
Indonesia

@SimbaSCTanzania @moodewji Huyu jamaa ni msanii hatari.. Akina team inainuka anakujaga na maigizo, akiona iko dhohofu, ananyema pembeni ili asihusishwe... Katapeli haka kajamaa 😂😂
Indonesia

🚨 KAA TAYARI 🔥🔥🔥
Leo saa 3:00 asubuhi kupitia Simba App, kurasa za Rais wa Simba, Mohammed Dewji na kurasa zetu. #NguvuMoja

Indonesia

Tukisema Kanisa Katoliki Ndo Wanaongoza Kwa Ushenzi Duniani Muwe Mnaelewa.
Kama Ningekuwa Nakibali Kutoka Kwa Mungu Hili Dhehebu Ningelifuta Tungebaki Na Walokole Na Madhehebu Mengine.
Kanisa Katoliki linahitaji kuangaliwa upya wengi wao ni mafisadi, wabakaji na kulala na makahaba kwa pesa za kanisa huku wakijificha nyuma ya kanisa. Tuna kina Shaleta wengi sana hapa nchini kwetu.

Indonesia

Ndege ya ATCL imepaa usiku huu kuelekea Dubai kwa ajili ya kuwachukua Watanzania waliokwama kwenye Jiji hilo.
Ndege hiyo inatarajiwa kurejea kesho mchana kutokea Dubai na Watanzania hao waliokwama katika Jiji hilo baada ya Ndege zao walizokuwa wakitumia kusimamisha huduma kutokana na hali ya mapigano inayoendelea huko Mashariki ya Kati.
ATCL imeamua kupeleka Ndege yake ya B787 Dreamliner ili kuwachukua Watanzania hao.
#KitengeUpdates

Indonesia

Singida BS wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Coastal Union na ule wa Yanga walitangaza adhabu kali kwa wachezaji wao Aucho na Obasogie.
Sasa hivi Singida inajiandaa na mchezo dhidi ya Simba na tayari Aucho na Abasogie wote hawana hatia tena 😁.
Huitaji mabomu ya Iran kuwaelewa israel (Singida BS) kua Marekani (Amphibia) yupo nyuma yao😂

Indonesia

@RevocatusMagum1 Hiyo ndio simba inayokamia team kubwa nje ya uwezo wake... Viwango hali vimejionesha katika ubora wenu,.. Mmekamia mpk mkaishiwa nguvu za kucheza mechi baada ya siku tatu ya ligi kuu mamae, halafu mkatoka na point moja😂😂😂
Filipino

@SimbaSCTanzania Simba halisi,.. Wakikutana na wakubwa wanavyokamia sasa,.. Leo level imebalance! Muachage kukamia game
Filipino

Bao la kwanza la Chama baada ya kurejea nyumbani Msimbazi. #CRDBBankFederationCup #NguvuMoja

Indonesia

@fumbokhanJr Ni haki au amani,.. Au bongo ndio amani na sio haki tena,.. Watoto wa kambo mna matatizo sana
Indonesia

@Baradhuli2 Mke wa mzungu ni wa mzungu tu... Ale mzungu halafu mi nianze nongwa zitafaa nn
Polski

@mTusiOriginal Maandiko yako kila siku yanaonyesha na kuthibitisha mna ujinga mwingi sana,.. Mnashauriwa kila siku pelekeni watoto wenu shule, itawaondolea kubebeshwa ule ujinga wa madrasa.. Matokeo yake maisha yote mnaishi kwa chuki na uchawi wa majini! Kila kukicha unateseka na mkristo tu 😂
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Sisi Waislamu na WAKRISTO inabidi Tuungane…. Uislamu haujawahi kuwa na uadui na Ukristo hata siku moja!
Inabidi tuungane kuwatokomeza hawa wazayuni…
Ukisoma Qur’an na biblia mitume wote walikuwa wanapinga Kuabudu SANAMU…
Ni Propaganda tu za Wazayuni ndio zinajenga chuki…
Miongoni mwa watu Wayahudi (sio wazayuni) na Wakristo ndiyo waliyo karibu zaidi na Waislamu na wao wamepewa cheo cha kuitwa watu wa Kitabu- AHLUL KITAB.
Ahlul kitaab tuna imani ya Mungu Mmoja Allah-Mtukufu na waliopokea maandiko kutoka Kwake, Taurati kwa Nabii Musa na Injili kwa Yesu (Nabii Isa bin Mariamu).
Wote tuna imani katika mlolongo wa unabii, na wengi katika marafiki zetu Mayahudi na Wakristo hushangazwa wanaposikia kuwa manabii wanaotajwa katika Biblia pia ni manabii katika Uislamu.
Dini hizi tatu zina kanuni za kimaadili zinazofanana.
Qur’an inasema; (Al-Baqarah: 136)
"Semeni nyinyi: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyoteremshiwa sisi, na yaliyoteremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyopewa Musa na Isa, na pia waliyopewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake."
Waislamu wanaruhusiwa na Uislamu kula chakula cha watu wa Kitabu (isipokuwa kile kilichoharamishwa kama vile pombe au nyama ya nguruwe) na Waislamu wanaweza kufanya vivyo hivyo kwa kuwapa chakula chao,
Mwislamu mwanamume anaruhusiwa kumchukua Mkristo anayefuata mafundisho sahihi ya Nabii Isa bin Mariamu kama mke kwa kumwoa (uhusiano uliyo wa karibu mno uliyo barikiwa)n na Katika hali hiyo itakuwa haramu kwa mume Mwislamu kumlazimisha mkewe kuingia katika Uislamu, kwani itakuwa ni kinyume na agizo la Qur’an; (Al-Baqarah: 256).
" Hapana kulazimisha katika Dini."
Kwa hakika utakuwa ni wajibu wake wa kidini kuhakikisha haki za mkewe kuabudu kwa mujibu wa imani yake.
Waislamu wameonywa dhidi ya vitendo vya ubaguzi au kisasi au chuki kwa Watu wa kitabu, na Mtume Muhammad (S.A.W) amesema:
"Yeyote atayemdhuru mtu miongoni mwa Watu wa kitabu ni kama vile kanidhuru mimi mwenyewe."
Kwa mtazamo wa Uislamu watu wote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu na hakuna mtu au kundi kinachoweza kudai kuhodhi rehema ya Mwenyezi Mungu Mtukufu au kuwanyima wengine,
Qurani inasema: (Al-Baqarah: 62)
" Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipo yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika. ."
Wakristo na Waislamu tuna mengi yanayotuunganisha kuzidi yanayo tutenga!
TUUNGANE🤝
Indonesia














