Mnegro retweetledi
Mnegro
4.3K posts


@Thommunkondya Itikadi zenu za kuteka na mauwaji ya raia Kila kukicha au unamaanisha nini
Indonesia

Jioni hii nimefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, Comrade Shangwe, tukijadili masuala mbalimbali ya UVCCM (Seneti) pamoja na kufanya tathmini ya kongamano la CHASO lililofanyika leo.
Amenieleza kuwa hali ni nzuri vyuo vingi vya Dar es Salaam vinaongozwa na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka UVCCM, na juhudi zinaendelea kuhakikisha wanavyuo wengi zaidi wanaendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, katika mkutano wa CHASO wa leo, sehemu kubwa ya washiriki walikuwa vijana wetu waliokwenda kufuatilia na kuelewa kinachoendelea.
Kwa upande wa Songwe, kama Mwenyekiti wa Seneti, hali ni imara sana idadi kubwa ya vijana wa vyuo na wasomi wanaendelea kuunga mkono siasa, itikadi na sera za CCM.
VIVA Vijana VIVA 💪🏿
#UVCCM #CCM #Vijana #Uongozi
Indonesia

@IAMartin_ @Mvuvi_Nyasa Serikali ya @ccm_tanzania ndo imetufikisha hapa kwa maana kuteka kwao ni kawaida na hata watu binafsi wakiwa na personal issues ni rahisi kutumia hiyo loop maana mwenye dhaman ya kukemea na kukomesha utekaji naye ni mtekaji na muuwaji😭😭😭
Indonesia
Mnegro retweetledi
Mnegro retweetledi

Mnegro retweetledi

Heri ya kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa Kanda Mhe. @TheRealJongwe
#NyasaTukoTayari
#FreeTunduLissu

Tanzania 🇹🇿 Indonesia
Mnegro retweetledi
Mnegro retweetledi


Pamoja mapungufu machache ya ripoti ya tume ya uchunguzi wa matukio ya 29 oktoba 2025 kama binadamu, Lakini ukweli unabaki kuwa ripoti ya Tume imenyooka na ina mahitaji “yote” muhimu kwa mstakabali wa Taifa letu. ANGALIZO; Ni ukweli kwamba, Waliopanga, waliofadhili, watekelezaji na WANUFAIKA ndio watu pekee hawaitambui Tume, na hawaitaki ripoti hii.
Indonesia
Mnegro retweetledi

Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:
1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.
2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.
3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.
4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.
5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.
6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.
7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

Indonesia

#TajiriLaKihaya
Kama Uliona ile Report ya Chande kuanzia mwanzo hadi mwisho…
Regardless of the reason…
Wewe Hushindwi kumuua mtu!
Binafsi sikufikisha dakika 10💔
Indonesia

Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko. Haitakuwa Chadema pekee yao, lakini ni lazama watajwe Chadema.
Hivyo tusubiri ripoti ya Jaji Chande kesho itatueleza walihusikaje, maana suala la kuhusika linajulikana walihusika, sasa tunasubiri walihusikaje tu. Na tutapokea mapendekezo ya adhabu kwamjibu wa sheria ya vyama vya siasa kwa Chadema na kwamjibu wa sheria ya uhaini kwa viongozi wao na yeyote aliyehusika.
Lazima hili litibiwe lisije jirudia kwa aina yoyote!
Indonesia

@HildaNewton21 Hata mnyama naongopa kumfanyia alichokuwa akimfanyia huyo police amekanyagia shingo huku anapiteke usoni halo police sio ndugu zetu
Indonesia

Kila nikitazama hizi video za Oktoba 29, huwa najiuliza hawa Polisi ni binadamu kama sisi?
Unawezaje kumfanyia binadamu mwenzako Ukatili wa kiwango hiki?
Kamwe hatuwezi kusahau huu Ukatili wa Nduli Idd Amin Mama pamoja na washirika wake maana pamoja na mateso yote haya bado wakauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi.
Indonesia














