Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD)
794 posts

Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD)
@MngongoEA
Lecturer & Researcher-Sustainable Agriculture|MUST|, Agriculturist, Soil Scientist, Biogeochemistry expert
Plymouth, England Katılım Şubat 2013
1.6K Takip Edilen633 Takipçiler

@SuluhuSamia Asante Rais wetu mpendwa, tunaomba tujengee Majengo ya Ndaki Science na Technolojia ya Kilimo (CoAST) pale MUST ili tuweze kuboresha zaidi kilimo nyanda za juu kusini kwa utafiti zaidi na kuzalisha wataalam wengi na ajira.
Indonesia

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha. Tafakari na mafundisho ya Sikukuu hii yanatuasa kuishi katika utii kwa Mola wetu, katika ukweli na kumtegemea Mwenyezi Mungu, huku tukiwajali wenye uhitaji na wote ambao Mola amewaweka katika njia ya kuhudumiwa nasi kwa namna mbalimbali.
Sikukuu hii iendelee kutudumisha sote na Taifa letu katika amani, upendo na umoja. Mwenyezi Mungu Mtukufu aendelee kuzipokea na kuzikubali dua zetu katika yote mema kwa nchi yetu.
Eid al-Adha Mubarak.

Indonesia

@SuluhuSamia @PapiChulo_Chuly Wabarikiwe wakina mama wote, wao ndo msingi wa familia na taifa.
Indonesia

Leo ni Siku ya Mama Duniani, siku maalum ya kuwatambua, kuwaenzi na kuwapongeza mama zetu kwa mchango wao mkubwa katika ustawi wa familia, jamii na Taifa letu kwa ujumla. Kwa moyo wa dhati ninawapongeza mama wote kwa kazi kubwa ya malezi mnayoifanya ambayo ni msingi wa Taifa letu kupata raia bora, nguvu kazi mahiri, wataalamu na viongozi.
Tumefanya kazi kubwa, na tunaendelea kuwekeza katika maeneo ya afya ya mama na mtoto, elimu kwa mtoto wa kike, maadili na kuwawezesha wanawake kiuchumi na kisiasa, ili kulinda utu wa mama na kuleta usawa katika fursa zilizopo nchini.

Indonesia

@godbless_lema badala ya kuwaza kuwadhibiti tunaweza kuona namna ya kufanya integration nao ili kazi zaidi zizalishwe nchini na vijana wetu wapate kazi zaidi. hatuwezi kuzuia wageni ilituishi ktk njia zile zile zilizotufanya tuwe masikini.
Indonesia

Ninaweza kusema kwa sauti kubwa kabisa kwamba hatuna siku nyingi tutakuwa na matatizo makubwa sana kati ya wafanyabiashara wazawa na Wachina. Hawa watu ni kama hawabanwi kabisa na sheria zozote , wanafanya wanachotaka na wanavyo jisikia kuanzia biashara za kawaida mpaka miradi mikubwa , wanaua sana mitaji ya wafanyabiashara wa ndani na kusababisha umasikini mkubwa na fujo. Wasipodhibitiwa haraka kwa nguvu kubwa ya sheria umasikini kwa watu wetu utaongeza sana. Kuna tatizo kubwa sana. Ni hatari na bahati mbaya CCM hawawezi kuona jambo hili.


Indonesia
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi

Viti virefu (vinavyojulikana kama bar stools) katika sehemu za kunywea pombe, kama baa au pub, hutumika kwa sababu kadhaa: -
1. Urahisi wa kufikia kaunta: Kaunta za baa mara nyingi hujengwa kwa urefu, na viti virefu vinaendana na urefu huo ili kuwawezesha wateja kukaa kwa urahisi na kufikia vinywaji, chakula, au huduma nyingine kwa urahisi bila kujikunja.
2. Matumizi bora ya nafasi: Viti virefu huchukua nafasi ndogo na huruhusu wateja wengi zaidi kutumia eneo la kaunta, tofauti na viti vya kawaida ambavyo vinaweza kuwa na muundo mpana zaidi.
3. Muonekano wa kijamii: Viti virefu hufanya watu kukaa katika nafasi ya juu zaidi, ambayo huwapa fursa ya kuzungumza kwa urahisi na wahudumu wa baa au wateja wengine. Pia, inachangia muundo wa kijamii unaosaidia watu kujihisi sehemu ya mazingira.
4. Mtazamo mzuri wa eneo: Kukaa juu huwapa wateja mtazamo mzuri wa sehemu nzima ya baa, na hivyo kuwa na uzoefu wa kijamii na wa kuona wa kufurahisha zaidi.
5. Urahisi wa kuingia na kutoka: Viti virefu, mara nyingi bila migongo, hurahisisha mtu kuingia na kutoka kwa haraka bila kusumbua wateja wengine.
Kwa ujumla, ni suala la design inayolenga kuwezesha matumizi mazuri ya nafasi na kuboresha uzoefu wa mteja.
Indonesia

@JasimKhan38 @Edel_PLopez Did you disclose that you hold a master during application?
English

@Edel_PLopez Honestly, many students from undeveloped countries wants to move abroad and settle there. & for that the best and easiest way is to pursue education there. That’s why many students opt to apply for second masters (often).
I did the same in 2017, when I was applying to Canada.
English

@Diego__sv @Edel_PLopez Are you releasing the information that you hold PhD during application?
English

@Edel_PLopez In my case, I’m finishing my PhD but the postdocs related to my research topics or based on my interests shows that I’m not enough to apply for them because “lack of experience”. I’m seriously considering to apply to another PhD.
English

@HildaNewton21 Mbowe akishindwa uchaguz bado atakuwa na nafasi ktk chamana baraza au kamati kuu, ila Lisu akishindwa hata kuwa na nafasi yoyote chamani...hvo vzr kutazama hilo
Indonesia
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi

@SwahiliBible Kulikuwa na regular meetings for followups?
English

Data Analytics from Zero to Expert Free Course😱🤯
A Udemy Complete Paid Course for Free.👇
Limited Time(24 Hours Only)
This Course covers;
-Excel
-SQL
-Tableau
-Many more...
Simply:-
1. Must follow @atulkumarzz to get Link
2. Like and Repost
3. Type "course" & get Link in DM

English
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi
Dr. Marco E.A.Mng'ong'o (PhD) retweetledi
















