MOODY MIPANGO 🇹🇿💷
3.8K posts


@mshambuliaji Ata ungekuwa ni Old Traford kwa mvua ya leo ungekuwa ivyo msitafute kisingizio
Indonesia

Hii ndio hali ya halisi ya Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuelekea kesho kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo Simba na Yanga.
#kitengeSports
Indonesia

@Baradhuli2 Nchi hii Mtu asiongee ukweli atapewa kila tuhuma na machawa sasa uraiya wa Tz kwa wanawe una faida gani sasa
Filipino

Huyu pimbi kinachomfanya awe mropokaji ni kwasababu ya hasira za wanae kunyimwa uraia pacha...
Alikua anajifanya ni mzalendo wa tz sijui nini na nini kumbe alikua akitaka kupitia hivyo wanae wapate uraia wa Tanzania huku akiendelea kua raia wa Uingereza kinyume cha sheria za Tanzania ambazo kama una apply uraia wa nchi hii lazma uukane uraia wa nchi yako.
Jambo ambalo hakulikubali akadhani sababu ya ushawishi angefanikiwa lakini aligonga mwamba so hivi sasa amepata angle ya mandela pori (CHIBA) ndio anapoza machungu yake.
Indonesia

@zoetjesheeftX Yani Bongo watu wanataka ufanye wanachotaka sio unachotaka hii nayo naona ni dalili moja wapo ya umasikini asee
Filipino

Niseme kitu mimi kama Mdau wa mpira na Mteja wa Azam Tv kiukweli sivutiwi na baadhi ya mambo ya huyu Gharib Mzinga, ni mtangazaji mzuri ila ni kama ana uchawa Fulani.
Unakuta Kwenye matangazo ya mechi zinazo wahusu Simba na Yanga Kila mara oooh baada ya tajiri GSM kuingia Yanga kama mwekezaji akawaleta wachezaji mara hivi mara vile, Sasa Yanga imekuwa ni Moja ya timu tishio barani afrika, hivyo hivyo Kwa upande wa Mo, Yani anawapa sifa Kila mechi.
Sasa mambo kama hayo Yana husiana nini na utangazaji wa mechi? Au huwa Wana lipa wasifiwe? Mbona hayo mambo hatusikii kwenye mechi za nje matajiri wakisifiwa?
Kwanini Tanzania Kila kitu kwetu iwe uchawa uchawa tu? Tangaza mechi kile kinacho onekana uwanjani hayo mengine waachiwe akina Alikamwe na Ahmed Ally.
Unaungana na Mdau au ana mambo yake?

Indonesia


@HildaNewton21 Mburahati Gani mana sura inakuja alafu inakataa
Indonesia

#Pichani anaitwa Damuru ni mkazi wa Mburahati, ametekwa mida hii na watu wasiojulikana, watekaji walikuwa wamevaa musk nyeusi usoni.
Walikuwa na gari ambalo mbele lilikuwa na plate number 125 DFPA na nyuma namba 28957

Indonesia

@zoetjesheeftX That True ata huku Dsm wapo na mimi ni wakala wanapiga sana simu izo za kutka kunitembelea nawakataa kila siku au niwawekee mtego nin
Indonesia

Kuna tukio la utapeli limetokea Bariadi mkoani Simiyu vijana waliojifanya wataalamu kutoka kampuni za simu wakiwa wamevalia Tisheti zenye majina ya makampuni hayo wamefika kwenye kibanda cha uwakala na kumkuta binti ambaye walimwambia wao ni wataalamu kutoka makampuni hayo na wanatembelea watoa huduma za miamala ili kuwaboreshea laini zao za uwakala
Wakamwambia binti awape namba ya simu ya boss wake waongee nae, wakampigia wakamuuliza tu kwa ufupi wewe ndio fulani mmiliki wa kibanda hiki cha uwakala alivyoongea kuwajibu wakaongea nae kama salamu za kawaida kwa watoa huduma wakakata simu kisha wakamwambia binti tayari boss wako ameelewa maelekezo tuliyompa atapiga simu akupe maelekezo sasa hivi
Kumbe sauti ya boss wameshaikopi kwenye mfumo wa AI hatimaye wakapigiana kwa sauti ya boss wake na kumpa simu aongee nae binti huyo akawa anaskia sauti ya boss wake kabisa na kupokea maelekezo kwamba "Wape namba za siri hao jamaa na laini za miamala wafanye hayo marekebisho tu nshaongea nao ondoa wasiwasi"
Binti akawapa jamaa wameiba shilingi laki tano
NB: Tukio hili limemkuta mtu wangu wa karibu kabisa, sio stori
Mnaofanya biashara ya uwakala chukueni tahadhari, matapeli wamekuja na mbinu mpya wanatumia AI
✍️Dunia Ina mambo

Indonesia

@chicharitojr9 Ndio unajua leo baada @SimbaSCTanzania kuchukua... Acha wivu kijana
हिन्दी

@Tweener003 Kama chakula umeshamaliza lipa hela kama bado itoe uendelee kula tu
Filipino

@shaffihdauda1 Kwa Zile Dkk marefa wa Kibongo kama kina Arajiga ile ingekuwa upande wa Yanga wangefunika ila ingekuwa upande wa Simba Wangeifumbia Macho
Indonesia

Dickens Mimisa anaweza kuwa refa wa kawaida sana ukimlinganisha na baadhi ya waamuzi tulionao, lakini kwanini yeye ?
Ametujibu dakika ya 119, kwa dakika zile mwamuzi mwingine angekula filimbi na kukausha kama hakuna kitu lakini Mimisa akasema hapana weka mpira kwenye kiduara
Mwamnyeto akajaribu kupinga akaulizwa vifungu na ibara vinasemaje captain!? Ikaisha kama msiba wa mende
Darasa huru kwa waamuzi wetu wao ni bora sana lakini Uamuzi ni maamuzi

Indonesia

@AmaniIssa179340 @shaffihdauda1 Mechi gani alifunika ya Simba
Indonesia

@shaffihdauda1 hili ni chapisho la hovyo kwa kiumbe kinachojitambua arajiga ashafunika mara ngapi
Filipino

@mshambuliaji Ile angekuwa Arajiga angeifumbia macho , wajitafakar kuna kitu cha kujifunza kupitia huyu muamuzi wa leo
Indonesia

Dakika ya 119' Clatous Chota Chama anaangushwa ndani ya 'box' Mnyama anapata penati katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.
Selemani Mwalimu 'Gomez' anaiandikia Simba SC bao la uongozi dhidi ya Wananchi, Young Africans SC.
Yanga SC 0-1 Simba SC
⚽ 120+2' Mwalimu 'Gomez'
#KitengeSports

Indonesia

@Happinesmlay Izo dalili Nyege Mbususu inataka chakula yake
Indonesia

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Angela Charles Kizigha kuwa Mshauri wa Rais, Masuala
ya Jamii.
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia

@mTusiOriginal Sijawahi fanya ivyo ata siku moja naamini ni moja ya kumbukumbu
Indonesia

@millardayo Sasa mbona wamefanya uchunguzi upande mmoja haya watuambie yale magari shida ilikuwa ni nini
Indonesia

Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited (@totalenergies_tz ), imethibitisha kukamilika kwa uchunguzi kuhusu tukio lililoripotiwa katika Kituo cha TotalEnergies Shinyanga kufuatia malalamiko ya Wateja waliodai kuwa mafuta yaliyotolewa katika Kituo hicho yalikuwa yamechanganyika na maji.
Baada ya kupokea malalamiko hayo tarehe 7 Aprili 2026 TotalEnergies ilichukua hatua za haraka kwa kufanya ukaguzi wa kina chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ambapo kama hatua ya tahadhari Kituo hicho kilifungwa kwa muda ili kuruhusu uchunguzi zaidi kufanyika.
Katika kuendeleza uchunguzi huo EWURA imefanya ukaguzi wa ziada na kuchukua sampuli za mafuta kwa ajili ya uchunguzi huru wa Kimaabara ambapo matokeo rasmi ya Maabara yamethibitisha kuwa mafuta yote yaliyopimwa yamekidhi ubora kulingana na viwango vya Shirika la Viwango Tanzania TBS na hayakubainika kuwa na maji.
Kufuatia matokeo hayo EWURA imeridhia rasmi kufunguliwa kwa kituo cha TotalEnergies Shinyanga tangu April, 17 2026 na Kampuni imetoa shukrani kwa EWURA kwa ufanisi na weledi pamoja na kuwashukuru Wateja Washirika na Wadau kwa ushirikiano wao huku ikisisitiza kuendelea kutoa nishati salama za kuaminika na huduma zenye viwango vya juu kwa uadilifu wakati wote.
Kwa mawasiliano zaidi Wateja wamehimizwa kuwasiliana kupitia namba ya simu ya bure 0800 750 242 kwa msaada wa haraka au kupata maelezo sahihi kuhusu huduma na bidhaa za kampuni.
#MillardAyoUPDATES.
Filipino

Ikulu, Dar es Salaam, Aprili 23, 2026
Hotuba yangu leo nilipopokea ripoti ya Tume niliyoiunda kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025.
Tupoendelea kushughulikia na kuyapatia majawabu yaliyotokea, ninawasihi tuongozwe na maneno haya kutoka katika vitabu vitakatifu:
2 Mambo ya Nyakati 7:14
“Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi zao, na kuiponya nchi yao.”
Surah Al-A'raf (7), Aya ya 23
"Mola wetu Mlezi! Tumejidhulumu nafsi zetu, na usipotusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Mungu Ibariki Tanzania.
Indonesia

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amewakosoa vikali wale wanaopinga Ripoti ya Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akisema wapo baadhi ya wanasiasa na wanaharakati ambao nchi kuwa tulivu na yenye amani ni hasara kwao kutokana na kufaidika na migawanyiko na ukosefu wa amani.
Mwalimu ambaye pia alikuwa Mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kupitia CHAUMMA, ametoa kauli hiyo leo Aprili 23, 2025, muda mfupi baada ya Tume ya Jaji Mstaafu Mohamed Othman Chande kuwasilisha ripoti hiyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ripoti hiyo na hotuba ya Rais Samia imejibu kikamilifu baadhi ya dosari zilizokuwa zinasemwa.
"Kuleta matumaini ni mapokeo, kuna wengine hawapendi tu na utulivu na amani ya nchi wao kwao ni hasara lakini kwa yeyote ambaye kwakweli ana nia njema na nchi hii, ameisikiliza ripoti, ameona weledi wa tume na uzoefu wao na uzuri mwenye ripoti yake tumemsikia anasema tuungane tutekeleze haya ya Tume- inakuwaje wewe unakuja tena unasema chokochoko?"
"Kila mwenye kufikiri, kila mwenye kuitakia mema nchi yetu na kila mwenye kujutia na kile kilichotokea Oktoba 29 na hataki tena ijirudie, mimi ninaamini ataungana na Tume, ataungana na Mhe. Rais Samia na sasa ebu kama ni kuhukumiana, tuanze kuhukumiana kwenye utekelezaji wa yale tuliyoahidiwa siku ya leo." Amesisitiza Salum Mwalimu.
Indonesia









