Mopay
7.4K posts


@zoetjesheeftX Mwenye Aslay ni mtu wa Comedy tena mtoto wa 2000 ila sio Tin White
Filipino

Najua wengi mmekuwa mkijiuliza, Mmiliki wa Aslay Mihogo ambayo wasanii wengi huonekana wakila samaki wakubwa na mihogo ni nani?
Ukweli ni kwamba Mmiliki halali ni Mchekeshaji Tin white, alianza na Aslay Mihogo Coco beach, akafungua Aslay Mihogo Dodoma na weekend hii kazindua Aslay Mihogo Mwanza.
Jamaa haongei sana ila ni vitendo tu, pesa Anayo ila hataki kupiga kelele.
Kutana na kiredio Sasa akilipwa milioni tano tu anaandika Instagram.
Hongera sana Tin white Kwa kushirikiana na Nagwa Biashara yenu imelipa sana

Filipino

@mzawaMUFC Walicheza kiteam zaidi sasa hivi wachezaji wengi wana mission zao nje ya team kupata tuzo, umaarufu, hela na nk.. Numbers ndio sehemu ya Dashboard yao kwenye kupata watakayo
Filipino
Mopay retweetledi

@Ninja_Damour Sahihi na wengi hiko alichopata ndio tunachotafuta sasa alipofika akasahau ana deni kwenye career yake
Filipino
Mopay retweetledi
Mopay retweetledi

Mopay retweetledi

The Barça players applaud the Man Utd players as they go up to receive their losers' medals #fcblive
English
Mopay retweetledi

Had a great time with my lil Bro @iam_Davido! Very talented artist. He'll go very far. I love his music #skelewu

English
Mopay retweetledi

Wengine wanabeba vitu vizito binti.
Niffer💕@NifferSancho_
Dear men, acheni kuvaa bukta za team za mipira kama boxer….
Indonesia


@her_son255 @BuxMsafi @athanas_pius Sijaona mjadala hapo nitapoteza enery sababu ukisema kama msimu ujao ligi gani ilikuwa bora na ulishapewa matokeo ya ujumla kwa miongo team zenye kubeba makombe za wapi niongezee nini kwenye la mwaka jana na wakati yashaoneshwa zaidi ya mwaka huo
Indonesia

@Chibojr2 @Fabrizi0flora @tinmunishi127 @bonifacejoseph_ Tanzania walimu, viongozi wa siasa na dini wana mziki sio kidogo kwenye kutuongoza
Filipino

@Mopay_ @Fabrizi0flora @tinmunishi127 @bonifacejoseph_ Bro @Mopay_ lijamaa taahira kwel alaf linathubutu kutusi watu, ndio tatizo la uvivu kusearch taarifa kamili na mbaya zaid jbu lako alilopost inaonesha suala la unafuu ila bado haelewi,katka hili hata ukimuuliza mtoto wa sec anakupa jbu ila ye analeta uduwanzi wake
Indonesia

















