#Goldgod
1.1K posts


Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini na Kada wa Chama cha Mapinduzi Mchungaji Peter Saimon Msigwa Msigwa ameeleza masikitiko yake makubwa kufuatia kifo cha Lukuvi, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) ambapo amesema Taifa limepoteza kiongozi muhimu aliyekuwa na mchango mkubwa katika Uongozi na maendeleo ya Nchi.
Msigwa amebainisha kuwa Marehemu Lukuvi atakumbukwa kwa uzalendo wake, uadilifu pamoja na namna alivyoweka mbele maslahi ya Wananchi katika nafasi mbalimbali za uongozi alizozitumikia.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

@YerickoNyerereT Wew jamaa unaweza ukawa punga mana sio kwa hizo akili
Indonesia

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata.
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi”
“Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo”
“Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali”
“Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia”
“Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka”
#MilardAyoUPDATES

Indonesia

@MussaSweya @EduTalkTz Hakuna kitu kinaitwaa shetani ni concept ti za watu hizo
Indonesia

@EduTalkTz Kwanza kwanini ashindanenae?
Hili nikiwaza huwa nasema ebwanae basi wachatufate yaliorithishwa kwetu.
(KILA DINI INA MUNGU WAKE ILA SHETANI NI MMOJA TU)
Hii ni maajabu kwa kweli
Indonesia

@the_dreamer308 @EduTalkTz Shetan hadanganyi mtu ni wew mwenyew tu umeamua kuwa muongo
Indonesia

@EduTalkTz Mungu hakumshindwa alifukuza, na shetani anajua hana nafasi hapa duniani! Anachofanya ni ku force na kuiba na kudanganya, making people believe he have a place hapa duniani but he doesn't.
Indonesia

Kaka IBRAH shida ilianza yule MALAYA aliposema “Kifo ni kifo tuu” kwenye kifo cha Mzee wetu ALI KIBAO-Ambae mpaka leo haki yake haijapatikana.
Kwahiyo kwanzia hapo KILA TAKATAKA inayofariki kwetu ni sherehe. Wapo tunaoumia nao kwa kuondoka kwao ila hii MISUKULE iliyouwa ndugu zetu ili ipate vyeo TUTAFUNGA MPAKA MATURUBAI kucheza vibao kata.
Kwasasa hivi VIFO VYOTE NI OFF TARGET TUU-ZINAKULA BESELA. WEWE SUBIRI AFE SAMIA KUMAMAKE NCHI ITASIMAMA HII.
TUTAMWAGA MOTO MPAKA KIZIMKAZI, TUTAHAKIKISHA HAPUMZIKI KWA AMANI YULE MSENGE.
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki
Hii ya viongozi wakifariki linatokea kundi kubwa linatoa maoni (comments) za kufurahia msiba huo au kuonyesha kutokujali kifo hicho!! Lilianzia wapi hili!!??? 🤔 Nani alilileta? Au Kulisababisha? Lakini pia sikuiona hii kwa baadhi ya viongozi walipofariki, niliona taifa likihuzunika pamoja!! Mfano kwa Mwinyi!!
Indonesia





















