Mussa Rajabu Sweya

1.4K posts

Mussa Rajabu Sweya

Mussa Rajabu Sweya

@MussaSweya

codex

Katılım Kasım 2014
997 Takip Edilen239 Takipçiler
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
"Baba yangu alikuwa akisema kila wakati, “Usipaze sauti yako. Boresha hoja yako.” — Desmond Tutu.
Filipino
2
3
9
99
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@EsirEid Nahisi kukuita tajiri la kihaya ni kama nakudogosha. Sikujui nje ya mtandao huu ila kwa ninayoyaona mdogo wangu kwa sasa naona mimi ntaku address kama "mtu wa watu" yani kama ile novel ya A man of the pipo ya mzee Achebe. May Allah shower u with blessings
Indonesia
0
0
1
13
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
Utagundua kwamba Wakurugenzi wote wakubwa na wakongwe wa mabasi Tanzania, hakuna hata mmoja anamiliki hizi G7. Beginners kwenye game pekee ndo wanaongoza kununua. Vipi tuwastue ama tuwaache?
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Filipino
14
6
70
5.2K
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@PresenterNoah Huyu mpiga picha ni mtaalamu wakuexpose mapungufu ya watu au? Alikuwa anaweza kuficha hii lkn alikataa
Indonesia
0
0
0
20
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Ilikua wasaa Mzuri sana Kupiga Story leo ndani ya Crown Fm na Crown Tv.
Presenter Noah tweet media
Filipino
11
20
259
6.6K
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@fintanjr_ 🤣🤣🤣 Yani kama hujui hutojua Yani u need to be secured by secure Imeisha hio🤣🤣🤣
Eesti
0
0
0
16
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Pigeni kazi wanetu, wew na wenzio mnatupa msaada ambao tulio wapa kazi wamegoma kutusaidia,.. wengine hatuna maisha kama wao humu mitandaoni ndio tunapata tabasam🙏... mnafanya kazi ya kitume sana😂👊.
The champ👑 tweet media
Indonesia
34
50
173
4.5K
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@Sisimizi3 Huyo kwa boss wake ni "yes man" Hata kama kunauovu ila boss kasema yeye ni YES tu Kwakifupi huyu alikuwa mwanasiasa wakijeshi🤣🤣 Politics zinahitaji utashi kitu ambacho jeshini hawakubali Kule ni orders tu Hata kama utashi wako utasema it's wrong, if ur ordered U DO IT
Indonesia
0
0
0
91
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Marehemu hasemwi vibaya ila kila video zake ninazoziona sio nzuri ila naamini alikua ni mtu mwema zaidi ya zile video ndiyo maana tangu 1995 ameteuliwa na Marais wote
Dr. Sisimizi tweet media
Filipino
1
1
11
3.4K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Masaa 24 ni kama hayatoshi 🥹🥹
हिन्दी
1
4
45
791
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@mad_genius6 Umasikini unamaana pana sana. Kuna wengine ukiwaambia wewe ulisoma tayari wanakuona wewe unauwezo. Je fikra zako ukikaa unaamini kila mtu akipatia kila kitu jibu litakuja kila mtu atakuwa tajiri? Mtihani wa karatasi wote mtapata 100 ila maisha kuna tofauti kubwa sana
Indonesia
0
0
1
4
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Baada ya elimu umeushinda ujinga, si umaskini. Mitaa bado inakusubiri.
Indonesia
1
0
1
49
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wakati Mwalimu yupo hai na Mwinyi akiwa Rais, kabla ya uchaguzi wa vyama vingi, kipindi ambacho USD 1 =Tsh 500. Siku kama ya leo nilizaliwa ndani ya Nchi hii iliyojaaliwa watu wenye Upendo. Leo ninapoadhimisha siku hii, naomba dua zenu nizidi kuwa mtu mwenye mchango kwa Nchi hii.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
155
82
909
14.7K
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@mad_genius6 Hili neno ulio anza nalo "si unaona" Kwanza lifute maana mi sijaona na nina uhakika hata wewe hujaona. Sasa sijui unaliwekaje kama nguzo ya msimamo wako. Mara yesu alikufa kwa ajili yakufuta dhambi zetu, ila ww unasema kuhusu uokovu This thing is crazier eti hadi kuna ubaatizo
Indonesia
1
0
0
9
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
@MussaSweya Si unaona ata Adam na Hawa nao walikaza vishipa? Tubuni na Muiamini injili mpate wokovu.
Indonesia
1
0
1
10
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@SikilizaTogolan @tonytogolani Hii mkubwa kuna conflicting notions in my head. Mi nafahamu ukiwa na boss we ni mtumwa. We unakiongozi au mtu aliejuu kwa cheo ila sio boss. Boss ana-dictate. Slaves wana category Perharps u r a happy slave Being happy doesnt deminish u being a slave U shouldnt b 1 kwa perks zako
Filipino
0
0
0
28
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Bosi wako anaweza kukuzoea lakini wewe hupaswi kumzoea. Ukimzoea ndio mwanzo wa kuharibikiwa. Wewe mzoeshe uchapakazi wako. Bosi kila siku abaki kuwa mpya kwako." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
HT
5
21
78
545
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kwa sasa, inaonekana kwamba; UGONJWA WA “MSHITUKO WA MOYO”, ni HATARI SANA kwa WANASIASA katika bara la Afrika, Kusini mwa Jangwa la SAHARA na Kaskazini mwa Mto LIMPOPO.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
13
15
136
3.6K
Mussa Rajabu Sweya
Mussa Rajabu Sweya@MussaSweya·
@papaa_prof @godbless_lema Samahani lkn, we unakumbukumbu ya shetani kukataa kukusujudia? Kumbukumbu yako unahisi ulikuwa na umri gani? Jiulize kwanini kila dini ina mungu ila shetani ni mmoja?
Indonesia
0
0
0
4
Prof Et Al
Prof Et Al@papaa_prof·
@MussaSweya @godbless_lema Mungu yupo karibu yako ndio maana una heshima ya kuamua vile unavyotaka kuamini na wala hakushinikizi ila neno ni moja tu kila goti litapigwa. Kumbuka Mungu alikupa heshima ya kusujudiwa na malaika wote ni iblisi tu ndio alikuonea wivu mwanadamu na hakukusujudia, huyo si rafiki!
Indonesia
1
0
0
10
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha. Ukiyatafakari maisha kwa kina, utajifunza mengi, lakini zaidi ya yote utajifunza upendo, huruma, haki na utu wema ndio vitu vya msingi ktk kuishi. Maana hapa duniani tunapita kwa kasi kubwa sana, haijalishi tunamiliki nini au sisi ni nani. Kifo ni kumbusho kuwa kesho yetu haipaswi kuwa chanzo cha maumivu kwa wengine hata kidogo. Nafikri hii ndiyo maana halisi ya kuishi , kuacha alama ya wema na upendo si majeraha mioyoni mwa watu. Maumivu ya kuondokewa ni makubwa, lakini kumbukumbu nzuri ni tiba ya moyo.
Indonesia
21
124
776
25.2K