Thomas Sankara

1.8K posts

Thomas Sankara

Thomas Sankara

@MosesMayala2

Katılım Eylül 2018
733 Takip Edilen397 Takipçiler
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Nimeona mwanahabari Loveness Malinzi (Divatheebawse) akimkosoa Mhe @godbless_lema kuhu maendeleo. 1. Loveness asikilizishwe hotuba ya Baba wa Taifa letu itamsaidai kuelewa dhana ya maendeleo ya watu. 2. Loveness anaweza kwenda kwa Familia ya Master Tindwa Mtopa ataelewa zaidi.
Indonesia
5
22
107
4.6K
Dafarida🥀😌
Dafarida🥀😌@Dafarida01·
Kwenye Mshahara wako ukitoa laki 7 unabakiwa na kiasi gani?
Filipino
28
20
70
4.1K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@MvungiUcha33 @SokoMoko__ @Mwinshehe07 Muweka pesa ni wewe akaunt ni yako . Ila namba unaweka ya mtu mwingine ? Kusudi la kuweka namba yake nikutaka ajue kuwa umeweka pesa yako kwenye akaunt yako mwenyewe ?
Indonesia
1
0
1
35
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Hapa Kuna matatizo kadhaa huenda Risti hii ikawa yakutengeza kwasababu mbili 1.Tatizo la Terminal Name Kwenye receipt imeandikwa Terminal: ASHUKURIWE ALEX Kwa kawaida kwenye receipt za benki Terminal huwa ni machine ID branch name agent code kiosk ID au mfumo wa numeric/alphanumeric code mfano ATM-00451 MBEYA BRANCH AGT-1022 POS-7781 Lakini hapa imewekwa jina la mtu binafsi moja kwa moja 2. Tatizo la Phone Number Receipt inaonyesha Customer: MSHABAHA MSHABAHA Depositor: Mshabaha Phone: 255657089696 (inasema ni ya Msuya) Hapa consistency haikai sawa kwasababu kama depositor ni Mshabaha na account ni ya Mshabaha kwa kawaida ungeexpect phone number pia iwe ya Mshabaha
Fortunatus Buyobe@fbuyobe

Mshabaha anatakiwa atoe ufafanuzi kwenye hii issue. 1. Ni kweli alimkopa Msuya? 2. Alimkopa kiasi gani maana hiyo milioni 4 alitanguliziwa tu. 3. Je, Mshabaha kwa nini hakunijulisha kama anamkopa mtu niliyemtambulisha kwake tena ndani ya siku chache tu tangu wajuane? 4. Alimalizana vizuri na Msuya kwenye huu mkopo? i. e aliahidi kurejesha ndani ha muda gani

Filipino
89
79
337
50.6K
Caravan Serai
Caravan Serai@SokoMoko__·
hii ya number ni hoja mufilisi, kukaaa ya mshabaha au nani ni maamuzi tu Kwa sababu number inawekwa kama kioneshi au sehemu ya kutumia notification kama pesa imeingia kwako, hata Leo Mimi nikiamua kukutumia pesa nitaweka aidha number yangu Ili nipate notification kuwa pesa kweli imeenda kule au nitaweka ya ninayemueekea pesa Ili hata km Hana notification za bank atapata meseji kwenye simu yake. hii hoja Haina mashiko, iyo ya kwanza Sina ufafanuzi nayo
Indonesia
5
0
8
3.2K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
@mtaleban06 Sina wakati mgumu wowote kwa sababu najijua. Sina guilty conscience kwa sababu hakuna ukweli wa kinachoelezwa.
Filipino
12
3
41
13K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mahakamani shaidi hudodoshwa ili kumcondradict na ushaidi wake na mwisho kumpotezea credibility. Story ya Hilda sitaki kuisema kuwa yote ni ya ukweli au yote ni uongo. Nitakuwa nagusa maeneo maalumu tu. 1. HILDA: Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. FACT: Si kweli nilidai Msuya alikuwa diwani Ubungo. Ili limepindishwa makusudi kimkakati. Nilimtambulisha Msuya kama aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo Msewe. 2. HILDA: Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton kama girlfriend wake japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. FACT: Sikuwahi kutaka kwa njia yoyote kumtumia Bonny kutia ushawishi ili Msuya aaminike. Sijisikii vizuri kumjadili hapa Bony kwani nitakuwa namuingiza kwenye issue isiyomuhusu. But ni kweli tukiwa kwenye maongezi ni Msuya mwenyewe alieleza juu ya ukaribu wake na Bony very casually. Pia ni kweli Msuya alitueleza mimi na Mshabaha kuwa Hilda alikuwa girlfriend wake. Hapa ukakasi ninaoupata, Hilda kwa nini anataka kujitenga na Msuya kwa kukana kutomjua. Lets say inawezekana hawakuwa na mahusiano, vipi ashindwe kumtambua Msuya kama mwenyekiti wa mtaaa maarufu kama Msewe, ambao wakati ule ulikuwa ni kama kambi ya wasomi wengi wa UDSM NB: Nitaomba nisaidiwe, Msuya alitueleza alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa kichama Ubungo. Kama ni kweli, Hilda bado anashindwa kumtambua kiongozi wake huyu chamani? 3. HILDA: Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya. FACT: Sijawahi kuulizwa na HILDA juu ya taarifa za Msuya kudai wana mahusiano. Nazidi kutia mashaka kwa nini hapa kwenye Mahusiano anaparejea hadi kutoa ushuuda wa uongo. The fact ni kwamba Hilda anamjua Msuya inawezekana sio kama mpenzi wake. Kumkana kutomjua Msuya hadi kutotambua nafasi yake ya uongozi chamani inaweza kutoa strong suspicion ya inawezekana wanajuana zaidi tujuavyo. Ni issues ndogo but yenye trustworthy issues. HILDA: Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya. FACT: Sikujiondokia bila taarifa. Mtu nisiyetaka kumuingiza kwenye mjadala kwa kuwa hausiki, tuliwasiliana naye. Nilipigiwa simu ya Mshabaha, huyu mtu mwingine wakiwa na nia ya kutaka kunibrief kilichotokea. Nilikuwa nimelala hotelini sikusikia simu zao. Majira ya kwenda saa 11 nikampata Mshabaha na akanijuza kilichotokea na yupo hospital. Mshabaha pamoja na madhira yaliyompata, hakusahau his duty of care kwangu. Ni yeye akashauri niondoke haraka pale hotelini hadi itakapothibitika kuna usalama. HILDA: Azizi na Msuya walikuwa wakiishi na mimi FACT: Huu ni uongo! Msuya alikuwa anakaa Himalaya Heights, mimi nilikuwa ninakaa Myra residence HILDA: Msuya alipoona Mshabaha amekataa mambo yatraining akamuomba amkutanishe na Hilda, Maria, Sativa, na Mwaipaya. Mshabaha alikataa mind you huyu mtu ambae anamuomba Mshabaha amkutanishe na mimi, kwenye utambulisho wake alisema kwamba mimi ni girlfriend wake. FACT: Hapa Hilda anajichanganya kwenye Dodoso la Pili (2. HILDA) Anasema kuwa mimi nilimtambulisha Msuya kuwa wanahusiano naye wa kimapenzi. Lakini Msuya akamkataza Mshabaha asimpigie Hilda kwa kuwa Msuya anajua uongo wake utajulikana. Hapa anarudi kujicontradict kuwa Msuya baada ya kuwa desperate kwa kukataliwa kutoa training kwa wanaharakati akaomba akutanishwe na kina Hilda na wenzake. Yani Hilda aliyemkwepa asitafutwe kwa kuwa uongo wake utajulikana, sasa anamtafuta bila kuhofia uongo wake. Hilda na Msuya Kunani?
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Filipino
172
40
253
68K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@Phbhimself Hili swala halihitaji kuumiza kichwa kupata majibu . Mamno mhimu . 1 Safari ya buyobe kwenda kenya 2 Buyobe kutoroka kutoka kenya Haya mambo 2 tu yanatosha kuthibitisha unachotakiwa kufikili
Indonesia
0
0
1
43
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Upande wa Nairobi, honestly pattern inaonekana clear kuliko sehemu nyingine nyingi za uzi huu. Kuna consistency ya matukio ambayo ni ngumu kuya dismiss kama coincidences za kawaida. Lakini sasa ukifika kwenye sehemu ya Buyobe kudaiwa kujitambulisha kama afisa wa TISS... 👇🏾
Hilda Newton@HildaNewton21

‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo. Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo. Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane. Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda. Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa. Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo. Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema. Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi. Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa. Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha. Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine. Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya. Part 2 inaendelea hapa 👇

Indonesia
26
17
184
30.5K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.” — Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
John Heche tweet media
Filipino
76
530
2.3K
84.4K
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Bei hii mpya ya mafuta —haiwagusi kabisa wanaCCM. Ukienda kituo chochote cha mafuta—ukiwa na kadi yako ya kijani, utanunua kwa bei elekezi ya Tsh 1,500 kwa lita! DJ, weka ule wimbo—hawanywi sumu, hawajinyongi!…CCM mbele kwa mbele! 🙌🏾😁😁
Filipino
20
27
266
8.4K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@MsomiKhan18 Bajaji pa day 25000×30×2=1500000×12=18000000 M Boda 10000×30×2=600000×12=7200000 Dukani bajaji 12m ×2 Dukani boda 3.2m ×2 Bajaji inaweza kudumu zaid ya miaka 4 Boda inaweza kutumika miaka 2 Kazi kwako
Indonesia
1
0
13
612
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Upewe Bajaji 4 ufanyie BIASHARA Upewe Bodaboda 8 ufanyie BIASHARA Biashara gani hapo Utapiga pesa saana?
Indonesia
17
12
142
7.7K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@Sirajitz1 Alilipwa 20m? ilitumika kwa muda gani hadi kufikia hatua ya kukosa nauli ? Anauza gari ili kwenda kusikiliza ujumbe ambao anaujua na hakubaliani nao . Punguzeni kutupanga
Indonesia
2
0
8
1.6K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mwandishi 🎤 Tuliambiwa ulitakiwa ukamshtaki Diamond platnumz na akupe fidia ya Bil 5 tuambie shida iliku ni nini na ilikuaje. Saida Karoli 🎤 Ni kweli Diamond platnumz alipotoa wimbo wa Salome remix akismhirikisha Rayvanny kuna wanasheria walitoka marekani wakaja hadi kiziba wakaniita 🎤 Wakanambia kua Saida mshitaki Diamond kua katumia wimbo wako bila Ruhusa na tutamfikisha mahali husika na hii kesi tutashinda na baada ya hapa utakua umebadilisha maisha yako kabisa 🎤 Kipindi wananiita sikua na hata pesa ya nauli ilibidi niuze gari langu shilingi LAKI TATU 300,000 nikapata nauli nikaenda kuwasikiliza 🎤 Mwishoe nikawaambia kua mimi siwez mshtaki diamond kwa sababu ashanilipa tayari mil 20 wakasema sawa ila mshtaki tu mkazie kama hajakulipa si hamjaandikishana sisi tutakata asilimia kidogo afu pesa itakayobakia yote ya kwako ila nilikataa ------------------------------------- Dili la pesa ndefu Sana saida alikataa sema Mondi ashawindwa sana na mishale ni vile tu jamaa ana bahati tu hapa alikua anaenda iuchapika vibaya sana
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
37
16
210
35.2K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@MarekaMalili Baada ya miaka 10 uchumi wote utamilikiwa na wageni . Biashara pekee kwa wazawa itabaki maduka ya mangi
Indonesia
0
0
1
144
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Wachina wanaingia kwenye rea estate kwa kasi ya Ajabu tena prime areas za Viwanda eehehee.
Indonesia
28
35
504
21.4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
M.D (🅨)@ReganTesla_

Skia Bwana Esir! Mimi sikufahamu sana ila najua tu wewe ni mtu mwema, That's good. Una moyo wa kutoa sana hilo nalo ni jambo la baraka. Ila sasa jambo kubwa unalotakiwa kuelewa ni kwamba hiyo haitoshi kujiona unasaidia sana watu. Naelewa kwako unaona kama umemaliza ila nakukumbusha haujamaliza! Hawa unaowasaidia wanahitaji zaidi ya hizo fedha unazowapa.. Kumpa mtu mwenye njaa milioni moja itamsaidia atapata chakula na atashiba kwa muda fulani haimaanishi umemsaidia kukabiliana na hali yake. Hyo pesa ikiisha then atarudi tena umpe nyingine? Jibu ni No! Ataendelea kuteswa na njaa akiendelea kumsubiri mwingine wa kumsaidia. That's not good. So think about that hata wewe hapo ulipo usidhani pesa ndio inakusaidia sana kuna misingi watu wengine walishaweka kwako ndo leo inakupa pesa na hayo maisha unayoishi. Jambo lingine ni suala la kusaidia! Elewa tu watu wanasaidiana sana humu ila ni wachache wamechagua kusaidia na kuonyesha wamesaidia. Hivyo elewa tu tunatofautiana. Usiwape hawa vijana ujeuri ili upate sifa kwenye mtandao. Sisi bado tunakua na tunahitaji kushauriana, Wakwangu ulikuwa ni ushauri tu kwa kijana na sio matusi. Sijajua wewe uliona ubaya gani kwenye hicho nilichoandika au labda nilimdhalilisha. All in all TUISHI! That's me kama hujanijua leo utakuwa umenizoea huwa nashauri hata pasiposhaurika then naachie hapo atakeona inamfaa abebe atakaeona haifai aache watakuja kusoma Wanangu siku nikiwa sina nguvu za kuandika. Assalam Aleykum!!

QME
86
41
314
30.5K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@Santacia Sisi hatuna matumizi na ujuzi Tukitaka handaki tutawatumia wachina na waturuki
Indonesia
0
0
4
1.2K
Santa M.M
Santa M.M@Santacia·
Ila mimi nafikiri huyu bwana asipewe adhabu wala kutuhumiwa vibaya nadhani ahojiwe mahojiano maalum pia watu wa usalama wakaenae, kiukweli huyu anaweza kutumiwa ktk kutoa technologia fulani! Si tumeona hata waIrani wanavyoyatumia mapango yao? Eenh
Santa M.M tweet mediaSanta M.M tweet media
Indonesia
13
6
171
28.6K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Zile hela zote alizokua akifanya matangazo kapeleka wapi?🤷‍♂️
killo_Killotz tweet media
HT
18
9
106
12.3K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko. Haitakuwa Chadema pekee yao, lakini ni lazama watajwe Chadema. Hivyo tusubiri ripoti ya Jaji Chande kesho itatueleza walihusikaje, maana suala la kuhusika linajulikana walihusika, sasa tunasubiri walihusikaje tu. Na tutapokea mapendekezo ya adhabu kwamjibu wa sheria ya vyama vya siasa kwa Chadema na kwamjibu wa sheria ya uhaini kwa viongozi wao na yeyote aliyehusika. Lazima hili litibiwe lisije jirudia kwa aina yoyote!
Indonesia
205
15
69
70.8K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Lissu akiendelea kusalia na huuuuu msimamo kwamba bora abaki gerezani kuliko kufanya maongez ya maridhiano kwa taifa nitaamin kabisa afai kuwa kiongoz mkuu wa nchi maana msimamo kama huo nimsimamo wa wanaharakat sio kiongoz bado pengo la mbowe nitakuwa wazi nakukosa wa kuziba
Filipino
264
4
99
43.7K
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@EsirEid Katika zote tunaemzidi uchumi ni unganda Ila nae anauza bei ndogo kuliko sisi
0
0
0
29
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Bei za mafuta East Africa kwa sasa; Kenya: — Petroli: ~ TSh 4,131 — Dizeli: ~ TSh 4,131 Uganda: — Petroli: ~ TSh 3,690 — Dizeli: ~ TSh 3,550 Rwanda: — Petroli: ~ TSh 4,091 — Dizeli: ~ TSh 3,910 Tanzania: — Petroli: ~ TSh 3,810 — Dizeli: ~ TSh 3,790 Ethiopia: — Petroli: ~ TSh 2,366 — Dizeli: ~ TSh 2,707
Filipino
116
67
552
54.1K