Moshi Cooperative University
27 posts

Moshi Cooperative University
@MoshiUniversity
Official Twitter Account for Moshi cooperative University| Ukurasa rasmi wa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi ig: https://t.co/PrdGL6WHQy #Ushirikanibiashara
Kilimanjaro, Tanzania Katılım Haziran 2022
8 Takip Edilen82 Takipçiler
Moshi Cooperative University retweetledi

Si ya kukosa tukutane Tanga.
#WikiyaKitaifayaElimuUjuziUbunifu2024
#ElimuUjuziMwelekeompya
#kaziiendelee

Indonesia
Moshi Cooperative University retweetledi

UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE
Ijumaa, Mei 17, 2024
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha hizo kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024.
Ufafanuzi huu unafuatia maoni na maswali yanayoulizwa na wanafunzi wanufaika kupitia barua pepe, mitandao ya kijamii kuhusu hatua ya malipo iliyofikiwa hususan kwa vyuo ambavyotarehe za malipo (due dates) ya robo ya nne zimefika.
Aidha, tunapenda kuwasihi wanafunzi kuendelea kuwa watulivu na kuwasiliana na Maafisa Mikopo waliopo katika vyuo vyote nchini pale watakapokuwa na maoni au kuhitaji ufafanuzi.
Katika mwaka wa masomo 2023/2024, Serikali imetenga TZS 786 bilioni kwa ajili ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi zaidi ya 220,000 wanaosoma shahada na stashahada mbalimbali katika taasisi za elimu nchini.
Taarifa hii pia inapatikana katika tovuti ya HESLB (heslb.go.tz) na mitandao ya kijamii ILIYOTHIBITISHWA ya X (zamani Twitter), Facebook na Instagram kwa jina la HESLB Tanzania.
Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia
Mkurugenzi Mtendaji
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA
Ijumaa, Mei 17, 2024
#WeweNdoFuture
#TimizaWajibu

Indonesia
Moshi Cooperative University retweetledi

Cooperative principles: collective decisions, equitable benefits, inclusive community. Let's build a better future together! 🌍💫#eyeeterekera #Cooperation #Community #Sustainability

English
Moshi Cooperative University retweetledi

📢CALL FOR PAPERS!!
Submissions for papers for the Midterm Review of the 13th Africa Ministerial Cooperative Conference are now open.
🗓️Submission deadline: 4th March 2024
More information ➡️ bit.ly/47RSLjB

English

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mhe. Anne Makinda amekuwa mgeni rasmi katika majilisi (Convocation) ya tisa yaliyohusisha wanafunzi, wahitimu waliosoma Chuo cha Ushirika, MUCCoBS na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, watumishi waliowahi kufanya kazi na wanaofanya kazi chuoni




Kilimanjaro, Tanzania 🇹🇿 Filipino
Moshi Cooperative University retweetledi

#PoleniHanang
Tunatoa salamu za pole kufuatia maafa yaliyosababishwa na mafuriko na maporomoko yaliyotokea.
Tunawaombea marehemu pumziko la amani na ahueni kwa manusura.
#PoleniHanang

Indonesia
Moshi Cooperative University retweetledi

Wanafunzi 2,177 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 7.26 bilioni baada ya kuwasilisha maombi ya rufaa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kujaza taarifa na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uhitaji wao.
Tembelea SIPA kupara taarifa zaidi.
#WeweNdoFuture
#TimizaWajibu

Indonesia
Moshi Cooperative University retweetledi

Ni #HESLBMtandaoniChallenge
Je, unaikumbuka challenge yetu ya Jumanne, Novemba 28?
Tunampongeza Kassim Ally a.k.a @keuajr wa pale @MoCU_official kwa kuibuka mshindi.
Ameshapokea TZS 20,000. Upo tayari kwa challenge nyingine? Kaa tayari
#WeweNdoFuture #TimizaWajibu

Indonesia
Moshi Cooperative University retweetledi

#Cooperatives play a crucial role in addressing the challenges faced by micro, small and medium-sized enterprises. With their networks and expertise, SACCOs can help MSMEs access the funding they need to grow and succeed.
Read more 👉 linkedin.com/feed/update/ur…
@Coopnewsmedia

English
Moshi Cooperative University retweetledi

We were happy to host our members from Moshi Cooperative University led by the Vice Chancellor, Prof. Alfred Sife.
Thank you @MoshiUniversity for your continued support and collaboration.🙏
#teamworkmakesthedreamwork

English




