#BabaAKO Motra The Future 👼

465 posts

#BabaAKO Motra The Future 👼 banner
#BabaAKO Motra The Future 👼

#BabaAKO Motra The Future 👼

@MotraThe

MY CROWN 👑 IS OUT NOW 👇🏾👇🏾👇🏾

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2015
424 Takip Edilen1.8K Takipçiler
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Soundtrack ya hii post 👇🏾 Motra The Future ft Medusa - WAKRISLAM: youtu.be/0MEFIxHcwGo?si… Motra ni miongoni wa Wasanii Baadhi waliosimama upande wa Wananchi, wa Ukweli na Haki. Huu wimbo ni katika sehemu ya kukemea na kuwapinga Wachungaji na Mashehe UBWABWA #SupportYourOwn
YouTube video
YouTube
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader@Wakazi

SIO “SHEIKH UBWABWA” TU, HADI “PASTOR WALI” YUPO Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo, ukiweka mbali Ukosefu wa HAKI, UTAWALA BORA na MAENDELEO YA WATU, tulifanikiwa kuepuka Maadui hawa wawili; UDINI na UKABILA. Hii imefanya tuwe na UTULIVU, ambao kwa mbali unaweza kudhani ni AMANI. Nimefurahia jinsi WENYE NCHI, wakiongozwa na GEN Z, wakivyofanikiwa KUZIMA upuuzi wa kutugawa KIDINI ulioletwa na “Low Brain Strategists” wa WATAWALA. Ingawa kweli kuna waliojificha nyuma ya Dini ya KIISLAMU nakutoa kauli CHAFU na CHOCHEZI, ni UKWELI usiopingika, wapo Viongozi wa KIKISTRO ambao walifanya hivyo pia. Tuwakatae wote kwa pamoja na tusisite kuwaita MANABII WA UONGO. BAKWATA inajulikana kujaa “Mashehe Ubwabwa” ndio maana wakadai “AMANI kwanza kabla ya HAKI”, ili wasaidie NARRATIVE ya WATAWALA. Uzuri WAISILAMU hawafuati Maneno ya Mashehe, bali Mafunzo ya MTUME MOHAMMAD (sallallahu 'alayhi wa sallam) na QUR’ANI TUKUFU ya MWENYEZI MUNGU( subhanah wa ta’ala). Baadhi ya majina ya ALLAH (SWT) ni “Al-Adl”, “Al-Hakam” na “Al-Muqsit” na yote yana dhima ya HAKI. Leo Shehe kapewa mlungula, anapotosha UMMA na kuongelea Vurugu badala ya kukemea Mauaji. Pia kuna WACHUNGAJI UBWAWA kama MWAPOSA na yule mwingine ZERUZERU. Mwamposa unatumika na ipo wazi; hadi Kanisani kwako walikuja. Eti “Maandamano yanaharibu Utukufu Wa Mungu”. YESU aliandamana kuingia Jerusalem, na pia alifanya Vurugu kwenye Hekalu pale watu walipozingua. Biblia takatifu inasema Mungu wetu ni Mungu wa HAKI. ZABURI 89:14 “Uadilifu na Haki ndio Msingi wa Ufalme wako”. Pastor gani unahubiri neno la bwana, na unajipa upofu wa kutetea wapigania Haki, ilihali Mungu ni wa Haki? Tanzania has been a safe haven of all religions & faiths, where people (even fake pastors) worship in harmony, unbothered. Ni UTAMADUNI wetu, na unalindwa na KATIBA. Na kiukweli, familia zetu nyingi ni za KRISLAMU! Pongezi kwa Mashehe na Makanisa yaliyosimama kwenye UKWELI na HAKI. Na Kwa GEN Z waliozima UPUUZI. UJUMBE kwa Mapasta na Mashehe Ubwabwa, kama tunavyosemaga ACT Wazalendo, “EPUKA USALITI, DHIBITI NJAA YAKO” The Leader

Filipino
4
77
302
12.7K
#BabaAKO Motra The Future 👼
@Wakazi Bro bro, Shukrani sana.. Sisi ni zao la wananchi, na sisi pia ni wananchi so tutasimama upande wa WANANCHI Hadi milele. 💪🏽💪🏽💪🏽
Filipino
0
2
8
590
#BabaAKO Motra The Future 👼
#KING🤴Jitahidi kutengeneza ndugu nje na ndugu zako. Yaani tengeneza ndugu ambao hamjazaliwa wala kuhusiana kidamu. Kuna siku itafika hao ndio watakuwa ndugu zako na ndugu zako watakuwa watu unaofahamiana nao. #MYCROWN👑 Video Out now!!! Link Kwenye bio🤴👑 #KiUbishiUbishi
#BabaAKO Motra The Future 👼 tweet media#BabaAKO Motra The Future 👼 tweet media#BabaAKO Motra The Future 👼 tweet media
Indonesia
0
1
4
245
#BabaAKO Motra The Future 👼
NI KWELI KWAMBA WALIKUWA WANASUBIRI NIWAONGELEE NDO WARUDI MJINI 😂😂😂 BILA MIMI HAMNA WAO 😂😂😂, GIVE ME #MYCROWN👑 OUT NOW 🔗 on ☣️🧬
Filipino
1
2
9
272
CHRISTMAS CHARLES 🇹🇿
CHRISTMAS CHARLES 🇹🇿@Dreamz_255·
I met my hometown brother @MotraThe this morning and we did the hug its'a blessing seen your brother doing good MUNGU AMPE MAHITAJI YA NDOTO ZAKE
English
1
1
1
48
#BabaAKO Motra The Future 👼 retweetledi
MbayaNiMbayaTu
MbayaNiMbayaTu@NiKubaya2·
MOTRA THE FUTURE: Huyu jamaa staili ya rap yake ya mfumo wa diss ni mkali sana. Katika diss zake zote alizowai toa hazina comeback 🔥🔥 @MotraThe " Big man ukiongea live Lina sound kwenye phone Kwangu wewe gigy money Na unanipa papa Jones" _Arap moi Jr_ Khaligraph diss.😂
MbayaNiMbayaTu tweet media
Filipino
0
1
1
168