Sabitlenmiş Tweet
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭
46K posts

𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭
@MpushyOfficial
🏛️ Architectural & Graphics Designer| 💼 Committed to better services📌 ⚽️ @SimbaSC🔴⚪️& @Mancity💙
Mwanza, Tanzania Katılım Ağustos 2011
2.5K Takip Edilen2.9K Takipçiler

@fredkavishe @Adv_innocent Siasa safi na haki ni ndoto kuvipata
Eesti

@Kil0voltI @TonnyUnfiltered Toa darasa sasa watu wakatombe vizuri.
Indonesia

@TonnyUnfiltered Kutomba is an art.
Sio wote wanaweza hiyo shughuli.
Sio bao la kwanza tu, kuna watu hata hilo bao la nne hawamalizi dakika 10.
Filipino

Polisi mnasema mlimkamata Dammour, nafikiri ingekuwa busara zaidi na faraja kutoa taarifa kwa umma mapema. Kwa siku mbili, familia ilimwaga machozi, ndugu walihangaika sana, na marafiki zake wakaingiwa na hofu kubwa — huku mamlaka zikibaki kimya.
Sasa mnajitokeza usiku wa manane kueleza kuwa mmekuwa mkimshikilia kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Swali la msingi ni hili: kwa nini taarifa hiyo ya kumkamata haikutolewa mapema ili kuondoa taharuki kwenye familia na jamii yake?
Askari 7 kwa mtu mmoja? Kwanini mmekwenda na magari yasiyotambulika? Kwa nini mmevaa ‘mask’ usoni? Kwa nini hakuna taarifa kwa serikali ya mtaa? Kama ndugu walijulishwa, ni ndugu gani hao wakati mama yake alisema haonekani kituo chochote?
Katika kipindi ambacho wananchi wanaishi na hofu ya kupotea kwa watu, taasisi zenye dhamana ya usalama wa raia zinapaswa kuwa wazi, makini, na zenye utu. Katika mazingira ya hofu ya watu kupotea, ukimya wenu unaongeza maumivu zaidi. Ni maisha ya mtu.
Katika mazingira ambayo watu wanatekwa na wanapatikana wakiwa wamekatwa vichwa, mnawezaje kucheza na hisia za jamii hivyo? Mama yake mzazi analalamika, ninyi mnasema “ndugu wamejulishwa.” Ni ndugu gani hao? Be serious with people’s lives
NB; Fungueni replies Instagram, ili mpate maoni ya Watanzania.
#justicefordammour | #freeninja | #freedammour


Indonesia
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭 retweetledi

⚽JIWE GIZANI ⚽
100+🔥ODDS
KickOff 👉🏻19:00 EAT
DBbet👉 V9RFP
JISAJILI 👉DBBET
Promo Code👉Charles1
Click 👇
dbbt.me/f1ayw8a

HT

Mara ya mwisho kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu ilisikilizwa February 24, 2026.
Serikali ya Nduli Idd Amin Mama baada ya kuona ushahidi walionao hautoshi kumtia Mhe. Lissu hatiani wakaamua kuweka mpira kwapani kwa kukimbilia Mahakama ya rufani kwa kisingizia kwamba wamekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali maombi yao ya kuongeza mambo ya Oktoba 29, 2025.
Mpaka leo unaenda mwezi wakaamua tatu, ofisi ya Jaji Mkuu @judiciarytz imegoma kupanga tarehe ya kuanza usikilizwaji wa shauri hilo kwasababu Nduli Idd Amin Mama anatumia Mahakama kumkandamiza Mhe. Lissu kwa kumnyima Haki zake za msingi.
#FreeTunduLissu

Indonesia
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭 retweetledi

@CharlesChelsea_ Oyaa!! Kanji ametii, kalala na viatu. Safi sana
Indonesia

107+🔥 ODDS ✅
BOOM✅🔥 BOOM✅🔥 BOOM✅🔥
Back to Back 🔥🔥🔥
Charles Chelsea Jr@CharlesChelsea_
JIWE GIZANI (SGR)🙋🏻♂️ (under 0.5 First 5 Minutes) 100+🔥 ODDS Kickoff 👉21:30 EAT Sportybet👉5XP3SZ (Hapa ndo utajua Dakika 5 ni Nyingi😂)
English

@MariaSTsehai @lifeofmshaba Tume haikuona kama hizi ndiyo sababu mojawapo ya watu kuandamana.
Huu ushenzi lazima utakuja kupeleka watu barabarani tena.
Indonesia
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭 retweetledi

Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka!
Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa
Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya?
Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti!
Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu!
#ChangeTanzania

Indonesia
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭 retweetledi
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭 retweetledi

Msikilizeni Polepole aliwaonya akina Mafwele hadi Abdul na Samia kuhusu utekaji - wakaamua wamteke! Hawa ndo wapumbavu leo wanahaha kutaka kutuliza umma!
Wanatusukuma kubaya! Oktoba 29 ilijaa hasira za wananchi maana tumechoka kutekwa!
Sasa wamejaa kiburi wameanza tena kuteka na kuleta ubabe!
Mnachokitafuta mtakipata! Haya!
And #FreePolepole nyie washenzi 🚮
#FreeAllPoliticalPrisoners
Indonesia

Uza Figo zako zote mpe Bayern✅🤝
𝗠𝗽𝘂𝘀𝗵𝘆@20𝟭𝟭@MpushyOfficial
Hii game tunaweka wapi pesa?

@HecheJohn @iamkhoisani Jeshi la police ni kama maji usipo yakoga utayanywa hata huu ujasiri wa ku tweet hapa ni kutokana na huo ulinzi wa jeshi la police ,unajua mali zako huko na watu wako utawakuta salama utakapo rudi nyumbani ungekuwa na wasi wasi usingepata mida wa ku tweet
Indonesia

Yaani huyu huyu aliesema kwenye ripoti ya haki jinai 2023 kupitia aya 3.1.1
(i) kuwa jeshi linahitaji kufanyiwa maboresho na kubadili muundo. Mpaka sasa hilo halijafanyika bado.
Leo kwenye ripoti yake anasema wananchi wakae na jeshi la polisi kwa kuelewana!!!
jeshi ambalo kwenye ripoti yake halijawahi kufanyiwa marekebisho kama alivyopendekeza.

Indonesia











