Mr Dee

9.9K posts

Mr Dee banner
Mr Dee

Mr Dee

@MrDeePel

computer science Footbal & IT lover

Tanzania Katılım Ocak 2020
1.9K Takip Edilen1.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
Leo Mke wa bro wangu amekataa kunifulia nguo na mahari tulilipa yote😢😢, huyu shemu analeta kiburi, kama amechoka maisha ya ndoa si aseme tu😡😡
Indonesia
2
3
12
3.9K
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@MswatiKing_01 Muda wa kupiga samba unautoa wapi, wajapan wanakaba kama wapo 18 uwanjani😂😂, kila mtu anakabwa na wawili na hakuna alie free
Filipino
0
0
0
74
Toto la kishua
Toto la kishua@MswatiKing_01·
Sema Brazil wana mwaga majalo kmkeee 😂😂🙌 Samba limeisha saizi ni majalo tu 😂
Eesti
14
9
244
11.3K
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@RevocatusMagum1 Kuna mtu alisema "ogopa sana mjinga mwenye confidence"
Indonesia
0
0
0
23
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨HILI LIANGALIWE MARA MBILI. Tumekoseshwa Ubingwa na hawa hawa marefa wa Bongo tumekubali na tukikubali hii Final achezeshe Refa wa Bongo basi tutaachwa na vilio tena Waamuzi hawa wameshazoea swala la kufungiwa kwa sababu wanapewa kibunda kirefu harafu wanaharibu mechi baada ya hapo wanafungiwa baadaye wanarudi kama kawaida Kwahiyo hii adhabu ya kufungiwa kwao si hoja kabisa na wamezoea Kama kuna namna viongozi wetu kama Crescentius Magori 🇹🇿 wanaweza kufanya basi wasimame na hili jambo kuhakikisha marefa wanakua wa nje ya Tanzania bila hivyo tutamaliza msimu na vilio vikali mno. @Cresce27Magori
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
19
12
135
10.9K
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@kasesco_tz Imagine hakuna ivyo vyote na imeweza kufika hadhi yajiji, we huogopi?😂
हिन्दी
0
0
5
1K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Yaani mji wote wa MBEYA. • Hakuna Ikulu • Hakuna KFC • Hakuna hotel yenye hadhi ya nyota nne. • Hakuna hata International School moja. Hapo kuna maparachichi tu! hua sielewi kwanini mnasemaga Mbeya ni jiji.
Indonesia
81
59
658
41.1K
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Ndoa kwa upande wa mwanaume ni majuto na Hasara. Asilimia kubwa ya wanaume waliopo kwenye ndoa wanajutia kuoa ila hawawezi kusema ni siri zao. Na ndio maana, wakiachana hawarudi kuoa. Haijalishi unayemuoa ni mpole na msikivu, wanawake hubadilika. Usijipe guarantee kwake kumuamini
Indonesia
20
21
158
5.6K
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Huyu nae niliwahi kumsifia ni bonge la mchambuzi, leo kaangushe kete muhimu sana. Kusema ile ya Mudau haikupaswa kuwa penalty, nimeshangaa sana, Anyway kwangu bado ni mchambuzi natenga sikio kuokota madensa kwake.. Sio steph wa shinyanga yule jau 😂
JAGUAR. tweet media
Indonesia
11
3
42
4.6K
Ms konpa💃
Ms konpa💃@Nurjan_seyd·
Et mbususu mara mbunye 😂😂😂😂hivi nikina nani wameleta haya majina yaajabu 😂😂😂🙌
Indonesia
18
11
131
7.3K
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Basi kuna hotel moja huku mbweni nmekutana na lugumi akaniona akasema wow Rahma hi, and i was like woooah tajiri lugumi umenitambuaje?! Akanambia aaah acha utani bhana i notice you from X we mtu mkubwa mama, basi nkacheka tukagonga nkamwambia haha we jamaa jau sana mbona sa hujibugi dm zangu Linaanza kunidanganya eti mambo mengi, lugumi bhana afu mtu poa kichizi live😂 Anyways kanialika for dinner kesho kwake sjui kwanini hajachagua lunch ila anyways who am i to judge, itakua ubusy wa kazi mchana😌🫵
Indonesia
77
18
209
22.4K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Mambo yamebadilika sana kumbe siku hizi dikoda ya DSTV inauzwa 15k, zamani ukiwa nacho unaonekana wakishua sana😂
Indonesia
27
23
469
35.1K
Duke Weaselton
Duke Weaselton@Therealremmy004·
@mananajr_ Wanataka kumpoteza azam, mkataba wa haki za matangazo wa NBC premier league ukiisha azam watakua na shughuli ya kushindana na dstv, azam wakishindwa ndo anguko lao
Filipino
4
0
13
1.5K
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@amprincess9 Wewe kwanini unauza dagaa muda wa mipira! 😎
Indonesia
0
0
0
35
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Achaneni na mipira kwanza. Njooni sinza mori niwauzie dagaa + mnione bila filter
61
42
314
74.8K
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@George_Ambangil Tangu alipoenda leverkusen sikumuelewa kabisa arteta, hii ni moja ya sehemu aliyozingua sana! Kuna huyu na partey
Indonesia
0
0
0
105
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Baadhi ya mashabiki wa Chelsea najua mtaniwamba makofi hapa lakini huu ni usajili mzuri , believe me .! Namkubali sana Xhaka
Florian Plettenberg@Plettigoal

🚨💣 EXCLUSIVE DETAIL | Granit Xhaka and Chelsea have already reached a full verbal agreement over a transfer. Personal terms have been fully agreed. #CFC Chelsea are already in contact with Sunderland. Xabi Alonso is pushing hard to sign Xhaka post Blick and various English media outlets. @SkySportDE 🇨🇭

Indonesia
85
31
886
39.4K
Manchester United Women
Manchester United Women@ManUtdWomen·
You guys! 🥹❤️ On Wednesday, Millie and Lisa announced the fantastic news that they're engaged! 💍
Manchester United Women tweet mediaManchester United Women tweet media
English
3.6K
1.2K
17.3K
2.6M
Robyn George
Robyn George@Robyn062·
Hii performance ya Isak wakubwa hampo tayari msimu ujao🔥
Filipino
14
14
121
8K
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@George_Ambangil Sasa pale cheisii nani atamkaba saka wazee, maana huyu ndo alkuwa anajitahid😅😅
Filipino
0
0
1
451
Mr Dee
Mr Dee@MrDeePel·
@chapanombombwi Nyie mnaoleta hisia. Mnaoa wake watulivu afu bado mnarud kwa ma ex mlowafumaniaga mnawavunja iman wake zenu
Indonesia
1
0
0
18
sultan
sultan@chapanombombwi·
Utafiti! 90% ya wanaume waliooa hawaishi na wanawake wanaowapenda kwa asilimia 100. Ni kwamba walioa kwa sababu ya umri kusonga, presha ya familia, au mimba za dharura. ​Na 90% ya wanawake hawaishi na wanaume waliowahi kuwazimia mioyo yao, wanaishi na wanaume walio na unafuu wa kiuchumi (financial security). Ndoa nyingi za sasa ni makubaliano ya kibiashara na kuleana, sio mapenzi.
Indonesia
5
9
37
2.7K