Power of Communication

748 posts

Power of Communication banner
Power of Communication

Power of Communication

@MrLife001

Enterntainment Communication student

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2021
210 Takip Edilen223 Takipçiler
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Bado kidogo tutasikia watu mnaotumia Samsung na IPhone inatakiwa mkajisajiri TRA muanze kulipia mapato.😂
The mandevu tweet media
Indonesia
55
69
811
19.9K
AmosiNyanda
AmosiNyanda@NyandaAmosi·
Ukizaliwa Bongo na Ukawa Unategemea Kutusua Kupitia TEKNOLOJIA—Wewe Jua kabisa 95% ya Odds za Kufanikiwa Zipo Against nawewe! Una 5% Tu za Kufanikiwa! PS: Chawa anakuzidi Odds za Kufanikiwa!
Polski
28
54
438
17.2K
Power of Communication retweetledi
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Lengo ni kuhakikisha wote tunabaki kwenye mstari.
Filipino
11
82
360
6.1K
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina maendeleo hivyo amewaomba Watanzania kuendelea kuitunza amani nchini na utulivu wa kisiasa na kwamba Watu wasilazimishe vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua ambazo zinaepukika. Akiongea Jijini Mwanza leo June 20,2025 wakati akizindua mradi mkubwa wa maji wa Butimba, Rais Samia amesema “Ndugu zangu kama ni maendeleo Tanzania ina maendeleo, kama ni utashi wa kisiasa, utashi wa kisiasa wa kuleta maendeleo ndani ya Tanzania upo na utaendelea kuwepo, niwaombe Ndugu tutunze sifa ya nchi yetu, amani na utulivu, tulete utulivu wa kisiasa, nchi yetu ibakie kuwa na amani ili tusilazimishe vyombo hivi vya ulinzi na usalama kufanya mengine, tutulie, tufanye kazi zetu Tanzania” “Mmemsikia Balozi hapa wa Ufaransa ameisifu sana Tanzania tulivu na kwasababu ya utulivu wetu, maendeleo yanayoendelea wao wapo tayari kutupa ruzuku na mikopo zaidi ili maendeleo zaidi yafanyike, tukianza kutawanyana hapa hakuna litakalofanyika na hili ndilo wengine wanapenda litokee niwaombe sana Ndugu zangu tuweke sifa ya nchi yetu, Tanzania ni salama twende tukakae salama” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
362
28
316
47.3K
#GWIJI🔴
#GWIJI🔴@athanas_pius·
Baada ya CAF Kuuthibitisha Uwanja wa Amani Zanzibar, Sasa ni Rasmi Young Afrika Wamefuzu Hatua ya Makundi Kwenda robo fainali. Hongereni Sana Utopolo 🔥😃
#GWIJI🔴 tweet media
Indonesia
53
56
829
28.9K
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Kocha Fadlu akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane. #WenyeNchi #NguvuMoja
Indonesia
21
71
872
18.6K
AmosiNyanda
AmosiNyanda@NyandaAmosi·
@IdrisSultan Iddy! Sometimes Kwenye Biashara ni bora zaidi Kupenda unachokifanya Kuliko Kufanya Unachokipenda—CASHFLOW ndo cha Muhimu Zaidi kwasababu unachokipenda wewe kinaweza kisiwe na VALUE kwa Wengine
Indonesia
4
10
100
4.1K
Idris
Idris@IdrisSultan·
Watu wengi wapo busy wamefungua biashara wasizozipenda sababu waliambiwa zina faida. Utumwa stage 2.
Filipino
35
78
718
50.1K
Power of Communication
Power of Communication@MrLife001·
@SB_Ladder Kuna mzee mmoja aliwahi kunambia "mipango ni ile unayopanga ukiwa huna hela hiyo ndio mipango sahihi.. ila mipango inayokuja baada ya kupata hela ni mipango ya shetani kwa 98%
Filipino
0
0
1
34
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kumbuka: Usipangie pesa baada ya kuipata — pangia kabla. Usifanye kazi tu kwa bidii — fanya kwa malengo. Kama umependa Uzi huu na unataka nyuzi zingine kama hizi, naomba unifollow. Najua safari yako ya mafanikio bado inaendelea. → Stay focused. Stay hungry. End.
Indonesia
2
2
26
2.2K
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kipi kinakufanya kila siku upambane? Usiende tu kutafuta pesa bila kuwa na mpango wa namna ya kuitumia. Hakikisha kila shilingi unayotafuta unajua itafanya nini kabla hujaipata. Money without a plan is money waiting to be wasted. Thread:👇
Small Business Elevator tweet media
Indonesia
2
9
44
5.7K
#GWIJI🔴
#GWIJI🔴@athanas_pius·
Tulivyosema UBAYA UBWELA Mlifikiri ni Utani? Tutafunga Magoli Mengi ya Kuumiza Roho 😂😂
#GWIJI🔴 tweet media
Indonesia
66
69
937
44.8K
Power of Communication
Power of Communication@MrLife001·
"Motivation gets you started, Habits keeps you going". (Jim Ryun)
English
0
0
1
38
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
NILIVYOMUELEWA KIPANYA LEO.🚨🫵🏾 Katuni ina vifuatavyo. 1. Mama amebeba Mtoto. 2. Punda 3. Kamba inayomvuta PUNDA. 4. Chini barabara ni MBOVU (matope) wanapita hivyo hivyo. 5. Mbele kuna mlima wanaenda kuupanda. Tafsiri yangu.👇🏾 MAMA ALIEBEBA MTOTO: huyu ni ⌚️💯 mtawala wa taifa ambalo limejaa UTEKAJI , uonevu, dhuruma, UFISADI, rushwa. Mgongoni kambeba mtoto ambae ni familia yake yeye wakina Abdulii ndio watu PEKEE waliosalama kwenye hiyo nchi yake. PUNDA: hili ndio jeshi la Polisi ambalo linatumika kufanya USHENZI kwenye serikali ya ⌚️💯. Wao kila kitu wanafanya kwa kigezo cha “MAAGIZO KUTOKA JUU”. KAMBA INAYO MVUTA PUNDA: haya ndio mamlaka, zile kauli za “maagizo kutoka juu” ndio hiyo kamba. Inatumika kumpeleka PUNDA POPOTE anapotaka ⌚️💯. Ikiwemo KUTEKA, KUUA, KUPOTEZA, KUZUIA WAPINZANI, KUMTEKA LISSU. CHINI BARABARA MBOVU : hilo sasa ndio taifa la TANZANIA, hakuna amani, maisha magumu, watu wanapotea kama kuku, watu wanaonewa , watu wanawekwa magerezani kwa kesi za KIPUMBAVU. Ndio hiyo ⌚️💯 na PUNDA yake wanakanyaga tuu. MBELE KUNA MLIMA: safari ya huyu mama na huyo PUNDA mbele unaonekana mlima. Huo ndio uhalisia, watanzania WANACHOKA na huu USHENZI wa 💯⌚️ na jeshi lake la polisi. Huu ukimya una maana nyingi wajue haiwezi kuwa hivi milele. TUTAKUWEPO🫵🏾😎 SATIVA17🫡
SIR TIVA tweet media
Indonesia
44
97
644
57.5K
AmosiNyanda
AmosiNyanda@NyandaAmosi·
Miongoni Mwa Vitabu HATARI Zaidi Katika Biashara ni Hiki cha “Dan Pena” Kinaitwa: “YOUR FIRST 100 MILLION” Zamani Kilikuwa kinauzwa $1,000 Amazon Ila kwa sasa Copy zake Hazipo Tena—Ukipata Copy yake Utakuwa umekula BINGO Mno All the best Voila!
AmosiNyanda tweet media
Filipino
25
60
425
60.2K