Turn TV Off

276 posts

Turn TV Off banner
Turn TV Off

Turn TV Off

@Mr_keissy

Be good do good 👍

Pwani, Tanzania Katılım Eylül 2022
256 Takip Edilen57 Takipçiler
Turn TV Off retweetledi
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
"One year behind bars has only made your voice louder, Hon. Tundu Lissu. ✊ Despite every attempt to break your spirit, your courage remains the heartbeat of Tanzania’s struggle for justice and true democracy. 🇹🇿 They may hold the keys to a cell, but they cannot cage the will of the people or the truth you speak. We stand with you today, stronger than ever, believing in the vision of a free and fair Tanzania led by a leader of your caliber. Your resilience is our inspiration. The journey to the State House continues. 🏛️ Amen. #TunduLissu #FreeLissu #TanzaniaDecides #JusticeForLissu #DemocracyForTanzania #Chadema #LissuForPresident #IStandWithLissu #AfricanLeadership #FreedomOfSpeech"
Laizer Mayon tweet media
English
6
20
80
1.1K
Turn TV Off retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
NI KAZI YA NGUVU YA UMMA KUHAKIKISHA BANGO HILI LINASAMBAA #REPOST
Twaha Mwaipaya tweet media
Filipino
12
600
1.3K
12.9K
Turn TV Off retweetledi
Chadema in blood✌️
Chadema in blood✌️@MengiMunishi·
Reposti kwa wingi kadri uwezavyo lazima kilamtu ajue kuwa Tume ya Jaji chande ni batili imeundwa na mtuhumiwa No1
Chadema in blood✌️ tweet media
Filipino
3
182
597
6.6K
Turn TV Off retweetledi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
LONG STORY SHORT… (TZ MASSACRE) Tanzanians demanded Constitutional Amendments & Electoral Commission Reforms. Further more they, grew weary of the ongoing Police Brutality, Abductions, Killings, Opposition Leaders Jailing & Violations of Civil & Human Rights. The Youth were frustrated due to lack of opportunities, and hardship of life while they witness those in power (and their families) living lavishly. Although it started as a Chadema (Opposition party) boycott, but it eventually became a Civilians Movement led by “The Gen Z”, to Demonstrate on The Election day, October 29th. Low turnout on the ballots, and few hours later Protests & Demonstrations broke out nationwide! That is when the Police & other Militia Task Forces started to attack the unarmed civilians with excessive force leading to thousands being Massacred. With Internet & Electricity Shutdown, as well as Tanzania Media being Strong-armed & Muzzled, the real story of what happened couldn’t be told. In fact, even the Tanzanias on the ground didn’t know the magnitude of the atrocities as there was an imposed CURFEW for days. Thanks to International media like Citizen Kenya, Al Jazeera, BBC Swahili, Deutsche-Welle and now CNN, we are starting to get the real story of what happened as the Sham Government has since denied & suppressed the Massacre. This video is the official @CNN report of the Tanzanian Post Election Massacre by the Tanzanian Armed Forces. As reported by @LarryMadowo The Leader (I do not hold any rights to the video)
English
6
136
466
8.7K
Turn TV Off
Turn TV Off@Mr_keissy·
We live in a big lies.
English
0
0
0
0
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Naungana na Msimamo huu madhubuti. Pamoja na wajumbe wengine wote kutokidhi vigezo vya UCHUNGUZI HURU lakini kuwemo kwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi @DrTaxs kwenye Tume ilhali JWTZ ni watuhumiwa ni UTANI wa hali ya juu kwa Watanzania waliouwawa, kujeruhiwa na kupoteza mali zao.
ACTWazalendo@ACTwazalendo

TAARIFA KWA UMMA Chama cha @ACTwazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais @SuluhuSamia kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Indonesia
132
63
374
78.2K
Turn TV Off
Turn TV Off@Mr_keissy·
WE ARE ALL HUMANS. But, Race disconnected us Religions separated us Politics divided us Wealth classified us. Yet beneath it all our hearts beats the same,Our dreams speaks the same and if we dared to listen we do remember we were never meant to be apart.!
English
0
0
1
7
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kakaangu @LarryMadowo najua upo bize na ile documentary ya Mauaji ya kitisha yaliyofanyika Tanzania siku za GIZA. Naomba matukio haya mawili ambayo yametoka jana na leo (Hospitali ya mwananyamala DSM na Mount Meru Arusha) yaingie kwenye Video yetu. Usisahau sehemu muhimu ya Serikali Wamepinga video kuwa zimetengenezwa na AI japo tumeweza kuthibisha kuwa sio AI na AI imekataa kabisa kuhusika na kusisitiza video ni Halisi. Tunaomba mkanganyiko huu Uwe sehemu ya VIDEO hiyo. Sikufundishi kazi ila hayo yataonyesha jinsi gani tulivyo na serikali KATILI sana kama watanzania. Naomba nisaidie kumtag @LarryMadowo Barua hii FUPI imfikie.🙏🏿 REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
187
817
3.3K
96.4K
Turn TV Off retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
IWE KIFUNGO AU KIFO. 1.Msimamo wangu kuhusu Muungano uko Bayana. Tuwe na Serikali Moja au la Tuwe na Serikali Tatu.Hatuwezi kuwa na Muungano ambao Taifa moja linabaki na mambo yake yote halafu mambo yote ya Taifa lingine yanageuzwa kuwa ndiyo mambo ya Muungano .Kama hatuwezi kuwa na Serikali Moja kama ilivyokuwa kusudio la awali la waasisi wa Muungano lazima tuwe na serikali tatu.Tanganyika,Zanzibar na Mungano.Tuache hoja za kipropaganda kwenye mambo serious. 2.Msimao wangu kwamba kila raia ana haki ya kuwa na maoni huru na kuwa na mtazamo huru au kushawishi mtizamo wake ukubalike na kwamba kufanya hivyo siyo Uhalifu wala uhaini.Kufanya Maandamano,Midahalo au Maongezi kuhusu hali fulani ya kiutawala,demokrasia,sheria au uwajibikaji siyo uhalifu na watu wote wanao kamatwa na kushtakiwa kwa makosa makubwa wana haki ya kuwakilishwa na wakili mwenye uzoefu na Wakili kuwawakilisha watu wa namna hii anakuwa hajafanya kosa lolote. 3.Uchaguzi wa Tarehe 29 Oktoba hauna sifa ya kuwa uchaguzi huru na Wazi na haukukidhi vigezo vya kuitwa Uchaguzi huru na Haki.Rejea Ripoti za wasimamizi wa Uchaguzi SADC,AU na wengine.Ukitawaliwa na vificho,mauwaji,kuwekwa kizuizini kwa chama kikuu cha Upinzani na kuzuiwa kushiriki uchaguzi, uchaguzi kufanyika gizani na Kukosekana kwa Tume Huru ya Uchaguzi. 4.Namna ya Kutoka hapa tulipo ni kuhakikisha kusitishwa mara moja kwa ukamataji hovyo wa vijana na kuwabambikia kesi,Kufutwa kwa kesi zote za uwongo dhidi ya chama kikuu cha Upinzani na uwepo wa Tume huru ya Kiuchunguzi ya Kimataifa ambayo Ichunguze Mauwaji na upotezwaji wa watu kuanzia kabla,wakati na baada ya Uchaguzi na iangazie uhalisia wa Takwimu za uchaguzi na matokeo yake. Na ndiyo ije na mapendekezo ya hatua za kuchukua. 5. SERIKALI itoke hadharani Ikiri kwamba yenyewe ndiyo chanzo cha kusababisha Vijana waandamane kwa ujeuri wa viongozi wake na kutopenda kusikiliza ushauri na kwamba vijana wale hawakuwa na njia nyingine ya kueleza hisia zao kwani Mahakama ilikwisha onekana kutokuwa sehemu sahihi kitoka na aina ya utitiri wa Maamuzi hususan kupotzwa kwa watu na Bunge lilikataa kata kata kujadili matatizo ya wananchi na kujigeuza kikaragosi cha serikali na hawakuwa na njia nyingine isipokuwa hiyo na kuwa kwa Makusudi au Uzembe iliruhusu vyombo vyake vya ulinzi kutumia sila za moto dhidi ya waandamanaji na wasio waandamanaji na kuuwa wananchi hata wale ambao hawakuwepo kabisa katika maandamano ikiwemo watoti wadogo na akina mama walioshambuliwa katika nyumba zao. 6.Wahanga wote na Familia zilizoathirika serikali iwajibike kuonesha wapi waliko waliotekwa na kupotezwa na pia ioneshe miili ya wale wote waliouwawa katika sakata la Oktoba 29 na kuhakikisha kuwa wale waliohusika kutekekeza mauaji haya wote wanachukuliwa hatua za kisheria. 7. Msimamo wangu kuhusu sakata linalohusiana na uchaguzi ni kwamba Taifa linahitaji UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI.Baada ya hapo ndipo tuone namna bora ya kuwa na uongozi jumuishi unaowasilisha ridhaa ya wananchi kwani hawa waliopo sasa japo dejure ni viongozi de facto wanakosa uhalali wa Kijamii kupitia mazingira ya namna zoezi la uchaguzi lilivyo endeshwa. 8.Kwamba Maandamano ya Gen.Z kupinga dhuluma za kidemokrasia siyo uhalifu ...bali ni matokeo ya ukaidi na kutopenda mashauriano kwa baadhi ya viongozi wajuu wa serikali jambo linalopelekea vijana kukata tamaa na kukosa matumaini. Tusipo jifunza kutatua mambo yetu kwa kuzungumza asili itatufunza kutatatua mambo hayo hayo kwa kupigana. TUSIWINDWE ILI KUUWAWA AU KUBAMBIKWA KESI KWASABABU YA MISIMAMO YETU ..HOJA HAZIPIGWI RUNGU.
Boniface Mwabukusi tweet media
Filipino
192
816
2.7K
94.5K
Turn TV Off retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huyu ndio RAISI WETU. Repost 200 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
32
694
2.8K
32.7K
Turn TV Off retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Usiseme Neno hapa Repost 790
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
29
1.3K
4.2K
89.1K
Turn TV Off retweetledi
KIRIKUU✏️
KIRIKUU✏️@Kirikuu20·
Ukitenda zambi ili kuilinda zambi yako lazima utatenda dhambi tena kuficha zambi zako. EPUKA KUTENDA ZAMBI.
14
139
998
41.2K
Turn TV Off retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Tumepoteza ndugu, rafiki na watu wetu wa karibu katika hiki kipindi sio kwamba sisi tulistahili kuishi kuliko wao. Kwenye Mioyo yetu iliyojaa Damu tutawakumbuka kama Mashujaa. Rest in Paradise Champions.🫡🕯️
The mandevu tweet media
Indonesia
26
264
1.4K
24K
Turn TV Off retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Jeshi la polisi jana walituambia HAWA ni bodaboda Kutoka nchi jirani. Hawa ndio wameua watanzania zaidi ya ELFU 3 nchi nzima. REPOST 500 ———————— Yesterday, the police told us that THESE are motorcycle riders from a neighboring country. These are the ones who have killed more than 3,000 Tanzanians across the country.
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
English
55
742
1.7K
215.2K
Turn TV Off retweetledi
GRINGO018🎨🖌️
GRINGO018🎨🖌️@018Salama·
Rest in peace to all freedom fighters walio jitoa uhai wao kwaajili ya haki na uhuru wa nchi hii. Your souls haven't gone for free, this evil woman will pay for her sins soon.
GRINGO018🎨🖌️ tweet media
English
9
174
917
30.3K
Turn TV Off retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Tuliwaambia TEREMSHENI BUNDUKI mapema kabisa. Tena katika lugha nyepesi na ya upendo ya kuwatakia maisha bora kwenu na kwetu, kwa sababu sote ni wahanga wa huu mfumo!! Mmetupuuza, hamjatusikiliza,mmedharau. Mmegoma kuteremsha bunduki, mkalenga na kupiga ndugu zetu na kuwaua!! Damu mlizomwaga, Machozi mnayotutoa Uhai wa ndugu zetu mlioukatisha, Vidonda na majeraha mliyotupa……. HATUKUBALI AND YOU’RE GONNA PAY FOR THAT‼️ Yes, we have tried our best as citizens.💪 But, kwa tulipofikia WE REALLY NEED BACKUP!! #JWTZ & #TAASISI_ZA_NJE We still keep pushing kwenye taasisi za nje kwa kuwapa taarifa na ushahidi wa kinachotokea nyumbani, i hope watafanya kitu na UMMA utakwenda kushinda!! JWTZ Kiukweli mnatu-confuse mno mno mno mno….tunashindwa kujua mpo side gani!! Ni hadi damage & impact ifike level gani ndio mta-take action??? Tulitegemea mngefanya kitu kabla ya 29th, Kimya, mpaka wakatangaza wamefanya uchaguzi. Tukategemea mtafanya kitu wasitangaze matokeo, Kimya…..wamejitangaza wameshinda kwa kishindo!!👎 OUT LAST HOPE….DO SOME BEFORE INAUGURATION!! Rescue our country…Rescue our people! But vyovyote itakavyokuwa hatutakata tamaa na hatutarudi nyuma!! Hata tukikosa backup, still tutashinda hii v vita!! You can kill a revolutionary But you can never kill the revolution 🤲
Indonesia
44
320
2K
79.3K
Turn TV Off retweetledi
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Sijui kama ni mapema sana ila, tunahitaji mbinu za kidigitali za kudumu za namna ya kuwaadhibu watu (influencers, socialites, musicians, & celebrities) wote wanaolipwa na serikali kueneza uongo, uzushi, na kusifia udhalimu We need to cancel them.
Indonesia
88
324
2.1K
38.5K