Dhahabu bhana 🤣 hii ni mifuko 3 tu ya mawe imenipa 50M.....
Hela yangu ya kwqnza kushika kutoka kwenye dhahabu na nilikuwa najaribu bahati.
Mihemko kilo 9
Karibuni Geita.
Ushawahi kuwaza
VP kama ndoto zikienda wrong?
VP kama juhudi zote zikipotea bure?
Vp kama ikishia kuonekana nipo nipo tu?
Vp kama kila ninachojaribu kikifeli?
VP kama sitaona mwanga wa milele na nitaishia kwenye madhambi tu?
Vp kama zitafanikisha kupata mabadiliko?
Goodmorning.
KUMBUKA:
Bila mwanadamu MUNGU atabaki kuwa MUNGU.
Lakini bila MUNGU mwanadamu sio chochote.
Tunapoanza siku tumshukuru na kujikabidhi kwake.