The Zinja

11.3K posts

The Zinja banner
The Zinja

The Zinja

@drygha1

God-fi-dence, live today, positive vibes only

universe Katılım Eylül 2019
13.1K Takip Edilen40K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
The Zinja
The Zinja@drygha1·
You must find the courage to leave the table if respect is no longer served. Know your worth and protect it.
English
6
13
62
0
The Zinja
The Zinja@drygha1·
Good night Remember to choose yourself and protect your peace ✌️
English
0
0
1
11
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
@drygha1 Tena unaweza mshukuru Mungu kwa kujiona una afadhali
Indonesia
1
0
1
1
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
Hakuna kipindi kibaya kama kile mwanaume hana hela, hana kazi, hana mchongo wowote unaotegemea na ana wategemezi.
Filipino
4
5
11
141
The Zinja
The Zinja@drygha1·
@vom06 Ukijichanganya na watu utagundua wewe sio wa kwanza kukutana na hilo
Indonesia
1
0
1
3
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
@drygha1 Kabisa asee, ndo maana kujichanganya na watu ni muhimu sana
Indonesia
1
0
1
3
The Zinja
The Zinja@drygha1·
KIJANA 📌 Pesa zako ndio zitakufanya upokelewe kwa heshima ukweni sio utanashati wako. Tafuta pesa
Indonesia
3
1
37
399
Sina
Sina@all_areSINA·
@drygha1 ee mfano ile scene ya Vampires kunyonya damu ukweli ni kuwa wanawakilisha system inayotaka kile kilicho ndani yako, talent na soul yako wanakuvutia kwa mafanikio, kisha wanatumia vipaji vyako huku wakicontrol maisha yako bila wewe kujua
Filipino
1
0
1
9
Sina
Sina@all_areSINA·
📝Hii movie haikuandaliwa ili uelewe mara ya kwanza, iliandaliwa ili uirudie mara kadhaa ndipo uanze kuona ukweli 👀
Sina tweet media
Filipino
1
1
1
33
The Zinja retweetledi
Khalfasha❄️
Khalfasha❄️@KhalfanShaib7·
Usiwe mwepesi kuhukumu watu. Anayekupenda 🥰 mpe muda, na anayekuchukia 😈 mpe muda pia. Muda ndio hutoa ukweli — nani wa kweli na nani wa kujifanya. Kuna wanaokuonyesha tabasamu😄au wa sura ya Mbuzi 😡 lakini mwisho wa siku, muda huweka kila kitu wazi. #Time #Khalfasha
Indonesia
1
2
4
56
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Ukifanikiwa kuondoka TANZANIA usije ukarudi Tena💔🥺
ROSALINE🦋 tweet media
42
25
172
6K
Sina
Sina@all_areSINA·
@drygha1 io movie kuna vitu vimefichwa ndomana wamempa na Oscar award ila sio nzuri sana
1
0
1
6
The Zinja
The Zinja@drygha1·
@Adv_innocent Watu kama Onana ndio amepoteza imani kwa makipa wa kiafrika kabisaaa
Filipino
1
0
1
9
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Makipa Bora Ulaya kwa sasa..NB, Raya angekuwa no 1, kama TC angepata majeraha.. 1.Thibaut Courtois 2.David Raya 3.Gianluigi Donnarumma 4.Alisson Becker 5.Jan Oblak 6.Mike Maignan 7.Unai Simón 8.Yann Sommer 9.Joan García 10.Emiliano Martínez
Suomi
15
21
90
1.6K
The Zinja
The Zinja@drygha1·
Nidhamu ya kula na kufanya mazoezi ni vitu ambavyo vitaon̈ekana ķwenye mwali wako. Mwili wako utaonesha jinsi unavyojipen̈da na kujali afya yako.
Indonesia
0
2
3
34
The Zinja retweetledi
R.M
R.M@shibobo___·
Leo kuna mawili KUPIGA PESA au PESA KUKUPIGA.
Filipino
4
9
41
610
The Zinja retweetledi
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
Filipino
30
172
177
4K
The Zinja
The Zinja@drygha1·
Kwenye mahusiano ikitokea umesalitiwa badala ya kutaka kulipiza kisasi jiulize ilkuaje mpaka ukashindwa kuziona red flag. Yaani ulivumiliàje ? Hapo utagundua shida ni wewe uliempa nafasi mtu asiestahili. Ukishajua hivyo unaapa kutorudia kosa halafu unasonga mbele
Indonesia
0
1
2
45
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hakuna Kitu Kinatia Stress Kama Jamaa Lenye Hela Linamfuatilia Pisi Yako, Unajua Kabisa Haliwezi Kumkosa..🥹
Indonesia
36
35
232
7.1K